Pengo lako lipo wapi? Mdomoni au mkononi?Mapengo yote yatazibika.
Kazi itakua kuziba pengo langu
Exactly, hilo kweli huwezi kuwa nam mbadala wa mtoto wako uliyemzaa, lakini hawa wa kisiasa yanazibika.Ni maneno ya kuwafariji watu tu,lakini mara nyingi hayana uhalisia, labda kama ni mzazi,mtoto au ndugu ndiye aliyefariki.
Ndio unafiki wa watu akina JiweWewe si uko kinyume Siku nenda msibani ukaseme pengo litazibika uone utakavokimbizwa na kinyesi juu,kila njia uliyopita ukiwa unakimbia itakuwa na vinyesi.
Lilizibika pengo la Mahiga kabla hajashushwa kwenye udongo. Na imani na huyu litazibwa kabla mwili wake haujavuka mto WamiSiamini kuwa hakuna pengo lisilozibika. Ni kudanganyana kumpamba mtu lakini ukweli ni kuwa kila pengo linazibika.
Ukiondoka anakuja mwingine, maisha yanaendelea.
Umesema kweli, Maiga mpaka watu walimshangaa kwanini anamchagua mrithi wakati hata matanga baado. Wami mbali, Chalinze tuLilizibika pengo la Mahiga kabla hajashushwa kwenye udongo. Na imani na huyu litazibla kabla mwili wake haujavuka mto Wami
Wanachadema wanasema katika utawala huu ambao ni wa kishetani kwa kurubuni watu kwa fedha, ni vema wakaacha kugusa uongozi wa juu. Vinginevyo Mbowe kuwa kumrithi katika mazingira ya demokrasia wapo wengi sana.... Kwenye udikiteita hapana, ngoja Mbowe awepo kidogo.Kweli kabisa, hata Mimi huwa nakataa wanachadema wanapossema eti hakuna Kama mbowe kwenye uenyekiti. Ni ujinga kabisa
Pengo litazibika ila halitakua kama lile la awali, utaziba na jino bandia kimafano hai kabisa, hata kama ni mtu atakae ziba nafasi ya yule alietangulia ataziba lakini hatakua kama yule alietangulia huo ni ukweli usiopingika acha kujifariji na maneno marahisiSiamini kuwa hakuna pengo lisilozibika. Ni kudanganyana kumpamba mtu lakini ukweli ni kuwa kila pengo linazibika.
Ukiondoka anakuja mwingine, maisha yanaendelea.
Eti hakuna wa kufanya kazi zake, wapo wengi sana.Kwahiyo ww ukifa atazaliwa mwingine kama ww wakufanana na wewe kwa kila kitu?.. Au unahisi wanamaanisha nini
wapo wengi sana wa kuziba hizi nafasi za kisiasa.Pengo litazibika ila halitakua kama lile la awali, utaziba na jino bandia kimafano hai kabisa, hata kama ni mtu atakae ziba nafasi ya yule alietangulia ataziba lakini hatakua kama yule alietangulia huo ni ukweli usiopingika acha kujifariji na maneno marahisi
Inategemea na pengo lenyewe.Siamini kuwa hakuna pengo lisilozibika. Ni kudanganyana kumpamba mtu lakini ukweli ni kuwa kila pengo linazibika.
Ukiondoka anakuja mwingine, maisha yanaendelea.
Hata wakiwepo hawawezi kufanya hiyo kazi kama alivyofanya mwendazake...eti hakuna wa kufanya kazi zake , wapo wengi sana