mtu

  1. JamiiForums Tanzania Mjue Mtu aliyekaa na risasi kichwani muda mrefu zaidi

    William Lawlis Pace aliyezaliwa Februari 27, 1909 alipigwa risasi kwa bahati mbaya Oktoba 1917, akiwa na umri wa miaka 8. Risasi hiyo ilipelekea apoteze uwezo wa kusikia kwa sikio la kushoto, na uwezo wa kuona kwa jicho lake la kulia. Mbali na ulemavu huo aliishi kawaida, alifariki Aprili 23...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kufanya naye mkataba wa kusimamia Playstations...

    Wakuu habari. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22. Nina wazo la muda mrefu wa kuanzisha kituo cha michezo ya video kwenye playstations.Ila kinachonipa ugumu ni mtaji wa kuanzia. Npo sehemu ambayo ni mji mdogo ila huduma hii haipo na utafiti mdogo nilioufanya vjana wengi wanatamani...
  3. JamiiForums Tanzania Mtu Mweusi ataendelea kuwa mtumwa wa Mabeberu, huu ndio ukweli wenyewe

    Habarini za mchana bandugu, natumaini nyote wazima wa afya telee. Nadhani mutakuwa mmeelewa head inavyosomeka. Kwanini, mtu mweusi hususani mtanzania hupenda kuongea kiswahili na kupitishia kiingereza, wakati anaeongeanae ni mtanzania mwenzie ama mswahili mwenzie!! Kwanini Mzungu anaongea...
  4. JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana ukifanya biashara na mtu aliyeficha Last seen na Read Receipts kwenye WhatsApp

    Umuofia Kwenu wana JF, Kwa uchunguzi na utafiti nilioufanya,wengi wa watu walioficha Last seen na Read receipts kwenye whatsapp wana makandokando katika mishe wanazofanya...Ukitaka kujua mtu kama ni wa magumashi angalia whatsapp ,kama kaficha last seen na read receipts kuna kitu anakimbia...
  5. JamiiForums Tanzania habari natafuta mtu ambaye yupo tayari kukodisha laptop kwa mwezi

    habari wadau natafuta mtu anayeweza kukodisha laptop kwa mwezi, kuna kazi nataka kuifanya mara moja,tutaingia mkataba na nitamlipa pesa yake kama tutakavyo kubaliana ,ambaye yuko tayari anicheki kwa namba yangu 0687234549 asanteni. note:laptop iwe na ram 4 na processor 2 kuendelea,yani iwe...
  6. JamiiForums Tanzania Blue ticks za whatsapp: Ni kwamba huyo mtu yupo busy sana au ameamua tu kukuonesha dharau za waziwazi?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Wewe binafsi unalichukuliaje hili suala la blue ticks za whatsapp kukaa muda mrefu (wiki moja)? Ni kwamba, huyo mtu yupo busy sana au ameamua tu kukuonesha dharau? MFANO MDOGO APRIL 2018 =========...
  7. JamiiForums Tanzania Je, aliyetoa 'Taarifa' hii ya 'Majonzi' kwa Vyombo hivi 'Viwili' vya Habari alikuwa ni Mtu Mmoja tu au wapo wengi?

    Nipashe Online Diwani mteule wa Kata ya Kikongo (CCM) Wilaya ya Kibaha, Fatuma Ngozi amefariki dunia na wajukuu wake wawili usiku wa kuamkia leo baada ya nyumba yake kuchomwa moto na watu wasiojulikana. HabariLeo Online DIWANI MTEULE AFARIKI KWA MOTO KIBAHA Diwani Mteule wa Kata ya Kikongo...
  8. JamiiForums Tanzania Mungu akitaka kukuokoa humtuma mtu yeyote yule

    Kaka mmoja anaishi Ughaibuni, alikuja likizo nyumbani. Siku moja akiwa matembezini alikutana na kijana wa miaka 15-16 amebeba mtoto mdogo wa mwaka mmoja. Mtoto yule alikuwa anaumwa sana. Yule kijana alikuwa anatafuta usafiri wa kwenda Mwananyamala hospital. Daladala zikiwa zimejaa na...
  9. JamiiForums Tanzania Niko na mtoto wa mtu tunakula maisha hapa Nairobi Kempisk hotel Westland

    Ni Toto moja la kimasai nimelipata sehem moja maeneo ya Kimara ,kwao geti kali sana,.juzi tukapanda pipa hadi arusha kwao then tukapanda Noah za namanga, tukafika mpakani wakasema lazima turudi arusha kupata Covid 19 certificate, tukakomaa kuhonga 500 ya Kenya wakatupa za kufoji, Tukaanza...
  10. JamiiForums Tanzania Ndani ya Tanzania hakuna mtu aliyewahi kuingia bungeni na akawa mzalendo kama Zitto Zuberi Kabwe

    Toka Richmond Epa Escrow Operations tokomeza Katiba mpya Funga zote ambalo hamna mwingine zaidi yake ni lile la kuchukua mshahara wake tu na kuagiza posho ziingizwe kwenye mfuko wa jimbo Hivyo aproximately ni kama majimbo yake yalikuwa yanapata 150M zaidi ya watanzania wengine kwa mwaka...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye kitabu hiki nakiomba

    Mwenye kitabu cha Evarist Chalali kinachousiana na Afisa usalama ni nani, naomba anisaidie. 🙏🙏🙏
  12. JamiiForums Tanzania 2020 GEORGIA BANK ROBBERY: Mtu mmoja (inasemekana ni mwanajeshi muasi) anawezaje kuwachukua mateka watu zaidi ya 40 kwa wakati mmoja bila kizingiti?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Eti ndugu zangu watanzania; Mtu mmoja (inasemekana ni mwanajeshi muasi) anawezaje kuwachukua mateka watu zaidi ya 40 kwa wakati mmoja bila kizingiti? Polisi katika jamhuri ya zamani ya Soviet ya Georgia walikuwa wakimtafuta jambazi wa benki...
  13. JamiiForums Tanzania FACT CHECK: Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa CHADEMA katika Jimbo la Nachingwea, Dkt Mahadhi Mmoto hajauawa, yupo Mahabusu Gereza la Lindi

    Kuna taarifa zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai aliyekuwa mgombea Ubunge katika Jimbo la Nachingwea kwa tiketi ya CHADEMA, Dkt Mahadhi Mmoto ameuawa. Usahihi: Kwa mujibu wa Kiongozi wa CHADEMA katika Kanda hiyo, taarifa hizi si za kweli na zimesababisha panic isiyo ya lazima...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Sheria zinasemaje kuhusu Polisi kuvamia ubalozi na kukamata mtu bila ruhusa ya balozi husika?

    Kiutaratibu naona jeshi la Polisi ni kama wamefanya uvamizi nje ya ubalozi wa Ujerumani na kukamata mtu akiwa kwenye ombi la kuonana na balozi husika. Mbaya zaidi balozi wa Ujerumani nchini hakuwa na taarifa hizo. Sijui sheria zinasemaje ila nahisi jambo hili litazua hisia sana kutoka kwa pande...
  15. JamiiForums Tanzania Maandamano 2.0 - Yenye ufanisi, nchi nzima na haumizwi mtu

    Vurugu na ukatili wa Vyombo vya Dola ni sehemu muhimu ya Serikali za kidikteta katika kupambana na wapinzani wao kwa kisingizio cha kulinda amani na usalama. Kuna kila dalili maandamano yaliyoandaliwa leo yatajibiwa kwa nguvu kubwa ya dola ili kutisha wananchi, maana yakiruhusiwa yatawapa...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

    Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo. Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya. Matokeo ya uchaguzi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Afisa wa Umoja wa Mataifa hapa nchini akana gari zilizotumia namba za UN huko Hai kwenye tukio la kushambulia walinzi wa Mbowe

    Ni Zlatan Milisic ambae ni UN Resident Coordinator kwa hapa nchini na ameandika hivi kupitia twitter: Fake UN plates! I wish to clarify that cars with UN license plates reported in Hai today at more than one location have nothing to do with the UN. They are not UN cars; these are not official...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanakwepa kukiri kutoa haki kwa kila Mtanzania ila wanaomba kila mtu atunze amani?

    Kila mtu kwa mdomo wake awe tayari kusema nitatoa haki kwa kila mtanzania, haya ya kusikika amani ikiombwa itawale si jambo zuri sana, watu wegine wana tabia ya kudhulumu sana na si wana utayari wa kutoa haki. Kwanini imekuwa ngumu kwa wagombea kutuhakikishia Haki anapewa kila Mtanzania na kila...
  19. JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio Rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi...

    "Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi, kujimwambafai mwambafai kwingi, kujitutumua kwingi, kuona wengine hawana maana, lakini Dkt. Mwinyi hana hiyo, isitoshe ni mwana CCM ambaye imani yake haina chembe ya shaka"
  20. JamiiForums Tanzania Je ni sawa kumruhusu mume/mkeo kutolewa out na mtu wa jinsia tofauti?

    Wanabodi.. Je ni sawa kwa mkeo au mumeo kutolewa out na MTU wa jinsia tofauti? Yaani mkeo atolewe out na mwanaume ambaye anadai ni rafiki yake... Na mumeo nae atolewe out na mdada ambae ni rafiki yake. Kibongo bongo inawezekana hii yaani mkeo kwenda kwenye sherehe usiku unamruhusu/mumeo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…