Kwanini watu wanakwepa kukiri kutoa haki kwa kila Mtanzania ila wanaomba kila mtu atunze amani?

Brightg

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
373
660
Kila mtu kwa mdomo wake awe tayari kusema nitatoa haki kwa kila mtanzania, haya ya kusikika amani ikiombwa itawale si jambo zuri sana, watu wegine wana tabia ya kudhulumu sana na si wana utayari wa kutoa haki.

Kwanini imekuwa ngumu kwa wagombea kutuhakikishia Haki anapewa kila Mtanzania na kila chama, unafikiri ni kwanini? Je, wana maslahi binafsi au wana maovu waliyo yatenda ndiyo huwafanya wasiwe tayari kutoa haki maana hawajajiandaa.
 
Kwanini imekuwa ngumu kwa wagombea kutuhakikishia Haki anapewa kila mtanzania na kila chama, unafikiri ni kwanini, je wana maslahi binafsi au wana maovu waliyo yatenda ndiyo huwafanya wasiwe tayari kutoa haki maana hawajajiandaa.
Sasa kwa nini wewe usiseme hiyo haki unayonyimwa? Hapa upo mtandaoni nani kakunyima haki ya kufanya hivyo? Je, ni haki gani nyingine ambayo hutendewi?
 
Sijamsikia kabisa mgombea uraisi wa ccm akitanka neno haki kwenye kampeni za 2020
Kila dikteta yupo hivyo. Neno HAKI ni msamiati. Hawajui kuwa ni upumbavu kuhubiri AMANI bila kwanza kutoa HAKI. Amani ni tunda la HAKI. Bila kuwepo mwembe (haki) huwezi kupata maembe (amani).

Magufuli, please be guided.
 
Amani uja pindi kundi moja dhaifu linapokubali kuonewa na kundi lenye nguvu.
Na haki uja pindi kundi moja dhaifu linapokataa kuonewa na kundi lenye nguvu..
Hapo ndipo Ile kauli nitaingiza watu barabarani inapokuja..
Vurugu, visasi na Vita na machafuko ya kila aina.
Kumbuka hapo Tena AMANI HAKUNA inatafutwa HAKI..
sasa tuchague MOJA. Haki au AMANI.
 
Mithali 34:14
Haki huinua Taifa na dhambi ni aibu ya watu wote

Pia imenenwa kuwa AMANI NI TUNDA LA HAKI
 
Kila mtu kwa mdomo wake awe tayari kusema nitatoa haki kwa kila mtanzania, haya ya kusikika amani ikiombwa itawale si jambo zuri sana, watu wegine wana tabia ya kudhulumu sana na si wana utayari wa kutoa haki.

Kwanini imekuwa ngumu kwa wagombea kutuhakikishia Haki anapewa kila Mtanzania na kila chama, unafikiri ni kwanini? Je, wana maslahi binafsi au wana maovu waliyo yatenda ndiyo huwafanya wasiwe tayari kutoa haki maana hawajajiandaa.
Wanajua wametenda maovu wanaogopa hasira za watu.
 
Back
Top Bottom