Natafuta mtu wa kufanya naye mkataba wa kusimamia Playstations...

Comrade 255

Member
Oct 22, 2020
19
28
Wakuu habari.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22. Nina wazo la muda mrefu wa kuanzisha kituo cha michezo ya video kwenye playstations.Ila kinachonipa ugumu ni mtaji wa kuanzia.

Npo sehemu ambayo ni mji mdogo ila huduma hii haipo na utafiti mdogo nilioufanya vjana wengi wanatamani playstation zingekuwepo.

Wakuu kwa wale ambao wako tayari tufanye mkataba anipe playstations nizisimamie.

Kwa mawasiliano zaidi ni PM.
 
Anza hata na PlayStation 2 moja bosi ili ukamilishe utafiti vizuri.

Itakupa urahisi hata kutumia tv ya chogo as PS3 na 4 ni mwendo wa hdmi so with ps2 utaweza nunua hata tv used kwa elfu 50.

Chini ya laki mbili unaweza kuanza na hizo deals.

Kama utaanza na ps2 na unahofia games utapata wapi naoffer kukuwekea games kwenye flash for free.

Game yeyote kati ya nilizo nazo.
 
Ps3 inatumia hata chogo mkuu, na hio ps4 kuna kifaa chake nahisi ni elf 2 kinakubali tv ya chogo
 
Anza hata na PlayStation 2 moja bosi ili ukamilishe utafiti vizuri.

Itakupa urahisi hata kutumia tv ya chogo as PS3 na 4 ni mwendo wa hdmi so with ps2 utaweza nunua hata tv used kwa elfu 50.

Chini ya laki mbili unaweza kuanza na hizo deals.

Kama utaanza na ps2 na unahofia games utapata wapi naoffer kukuwekea games kwenye flash for free.

Game yeyote kati ya nilizo nazo.
Uko wapi
 
Back
Top Bottom