mtu

  1. Japo anaonekana mtu wa kawaida tu ndani ya CCM, Humphrey Polepole sio mtu wa kawaida!, He is extra ordinary very powerful!

    Wanabodi, CCM ndio chama tawala na kwa Tanzania, tukubali tukatae, CCM ni chama dola. Tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa rais na wabunge October 25, mgombea akiishapitishwa kuwa mgombea kwa tiketi ya CCM, then huyo ndio tayari ni mshindi, zoezi la uchaguzi ni kukamilisha tuu taratibu za uchaguzi ili...
  2. F

    Tumeharibu Taifa letu sisi wenyewe kwa kukubali ulimbukeni wa kumwacha mtu mmoja afanye atakavyo

    Nchi yetu imekuwa kituko sana siku hizi. Ukisikiliza hata vyombo vya habari vya nje jinsi wanavyoizungumzia nchi utafikiri wanaizungumzia Sudani ya Kusini, DRC au nchi zile zilizotawaliwa kimabavu. Imeonekana viongozi wetu wengi wamepoteza weledi na wamekuwa wachumia tumbo na matapeli mbele ya...
  3. Askofu Dkt. Bagonza amshukia Lugola kwa kumfananisha Magufuli na Yesu. Asema hii laana lazima itafune mtu na Taifa

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ___________ Kufuru haina kinga. Kwa Wakristo, dhambi isiyosameheka katika Agano Jipya ni kumkufuru Roho Mtakatifu. Na katika Agano la Kale ni ibada ya sanamu (idolatry). Amri ya kwanza aliyopewa Musa inasema...
  4. Unakuta unachat na mtu kwa hisia ya sura ya Beyonce au Rihanna kumbe ni profile photo tu!

    Kuna profile unaziangalia unataman kabisa kama Kasie cariha yna2 kumbe si za kwao hapo tunachanganyana. Jamani wadada tumia angalau sura zenu
  5. S

    TISS mmenda Mirembe kuchunguza kama kweli huyu mtu ana file Mirembe

    Kuna video/clip ikimuonyesha kiongozi mmoja mkubwa akidai kuwa ana file Mirembe na kuonya anaowaongoza wasimcheze bila shaka akimanisha yeye mgonjwa wa akili hivyo anaweza fanya lolote(sijui kama alikuwa anatania ila kaonekana kuongea serious). Lakini pia tukumbuke ni mtu huyu huyu aliwahi...
  6. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi na wenzake wafikishwa mahakamani

    Mkurugenzi wa halimashauri ya wilaya ya Itigi, Pius Luhende(54) na washitakiwa wengine 6 wamefikishwa katika mahakama ya haikmu mkazi mkoani Singida leo kwa tuhuma za kumuua Isaka Petro februari 2, 2019 katika kijiji cha kazikazi. Upelelezi wa kesi haujakamilika. Kitendo cha mkurugenzi huyo...
  7. Majibu gani ya kukera umewahi kukutana nayo katika kutongoza?

    Samtaimz Katika harakati za kusaka vipochi manyoya huwa tunakutana na miiba, ingawaje baadhi yao mwisho wake huwa tunafanikiwa lakini mwanzo unakuwa mgumu. Sitosahau siku moja nilipomtongoza mwanamke mmoja (LIVE) mbele ya macho yake. Jibu alilonipa mpaka mzee mwenyewe akalala. "Kalale kwanza...
  8. Natafuta mtu wa kufanya naye kazi. Nina ujuzi wa kutengeneza bidhaa za aina mbalimbali lakini sina mtaji

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22, Elimu yangu ni ya secondary nimemaliza mwaka 2017.Nashukulu mungu nilipata ufaulu mzuri ila sikuweza kupata chaguzi.Kutokana na uchumi sikuweza kuendelea na masomo bali nikajiingiza kwenye ujasiriamali kwa bahati mzur nikapata ujuzi wa kutengeneza bidhaa...
  9. Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

    Pamoja na imani kwamba mahusiano bora huwezekana kwa kukutana na mtu sahihi, na ni dhahiri kwamba mwanamke yeyote anaweza kabisa kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote kwa amani ikiwa kila mmoja wao atakuwa 'motivated' kujua mahitaji ya mwenzi wake huyo na kuyajibu ipasavyo, na hapa ndipo kunakuwa...
  10. Kwa Familia ya Freeman Mbowe na CHADEMA: Kinachoitwa "unabii wa Mungu" wa mtu anayejiita "Nabii Mashimo" hautoki kwa Mungu, ni tego hatari kwenu!!

    Akitoa taarifa rasmi za shambulio na kujeruhiwa kwa M/kiti CHADEMA taifa, KUB na Mbunge wa jimbo la Hai - Kilimanjaro Mh. Freeman Aikael Mbowe, katibu Mkuu wa CHADEMA ndugu John Mnyika alitumia fursa hiyo pia kutoa wito kwa jeshi la polisi kumkamata na kumhoji mtu mmoja anayejiita "Nabii"...
  11. J

    Hii ya Mwanasheria mkuu (AG) kushtakiwa kwa makosa yaliyotendwa na Rais kama taasisi au mtu binafsi akiwa madarakani nimeikubali

    Jana nimesikia kupitia mjadala bungeni kwamba sheria inarekebishwa na sasa Rais hatoshtakiwa kama mtu binafsi kwa mambo aliyoyatenda wakati akiwa madarakani na badala yake atashtakiwa Mwanasheria mkuu ( AG) Mimi siyo mwanasheria lakini nakubaliana na haya marekebisho. Maendeleo hayana vyama!
  12. F

    Natafuta mtu wa kufanya naye biashara

    Mimi ni Kijana mwenye bachelor yangu ya IT lakini nimeamua kujikita kwenye biashara ya ununuzi wa mazao kama soya, ufuta na mahindi kwa kipindi hiki cha mavuno kutokana na kuwa na uzoefu na biashara hii kwa muda mrefu sababu nimekulia mazingira ya kijijini. Lengo langu nipate mtu atakayekuwa...
  13. Kusema hakuna mtu wa kuvaa viatu vya Urais baada ya Dkt. Magufuli ni kukosa akili

    Kuna watu wataleta nyuzi za kishamba sana eti haoni mtu wa kuvaa viatu vya Urais baada ya miaka 5 au 10 ya Dr Magufuli. Sisemei Dr Magufuli hajafanya kazi , la hasha, Kajitahidi na kachapa kazi ila Tanzania ina watu mil 58 , naamini kuna watu Zaidi ya mil 1 wanaoweza kufanya vizuri kwenye kiti...
  14. C

    Ombi: Serikali ya Tanzania ipeleke agenda African Union (AU) ya kuwakatia eneo la makazi waafrika waliochukuliwa utumwani ili warejee nyumbani

    Wananzengo, waswahili walisema maji hufuata mkondo. Mwenzako akinyolewa wewe tia maji. Akumulikaye mchana, usiku akuchoma. Nakadhalika na kadhalika. Tumeshuhudia kasi ya mateso na chuki kwa watu weusi ikipanda kiwango kila bara. Mtu mweusi anaonakana kama ni mtu ambaye utu wake ni wa kiwango...
  15. Issa Shivji: watu wasiojulikana hawatajulikana kwa sababu wanajulikana asiyejulikana sio mtu ni jitu

    Sio Kila Anayekuja Kukupa Pole Ukiwa Mgonjwa/Msibani Anamaanisha Wengine Wanakuwa Wamekuja Kujionea Matokeo ya Kazi Walioifanya Gizani.
  16. L

    Natafuta mtu wa kufanya naye biashara

    Napatikana( Simanjiro) mji mdogo wa Orkesumet natafuta mtu mwenye mtaji tufanye biashara ya mazao kipindi hiki cha mavuno, mazao ya Mahindi na Maharage. Mawasiliano zaidi ni 0688057418 na 0757057873
  17. Unafiki kwenye siasa zetu na hatma ya maisha yetu; tukiendelea hivi ni suala la muda tu, kila mtu atalia kwa wakati wake

    Dunia kwa asili yake ina machanguo mawili, wema au ubaya, haki au dhuluma, ukweli au uongo, unafiki au kutokuwa mnafiki, na kila mtu au jamii ina hiari ya kuchagua upande. Aidha, kila mbegu ioteshwayo na mtu mmoja mmoja, kundi au jamii huzalisha matunda yafananayo na mbegu husika. Kinachotokea...
  18. Je, Mwanafunzi huyu anaweza kubadilisha jina lake kama limekosewa?

    Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha nne 2019 na matokeo yangu yametoka mwaka huu 2020 na yanaruhusu mimi kuendelea mbele na jina langu kwenye cheti cha kuzaliwa limekosewa na ninahitaji kubadilisha. Je, inawezekana kubadilisha?
  19. CHADEMA hawajali protocol, yeyote aweza hutubia taifa. Duni Haji alikuwa sahihi CHADEMA kila mtu ana sharubu

    Chama makini huwa na protocol mfano kuongea na taifa nani anatakiwa kuongea. Ni mwenyekiti wa chama taifa. Lakini CHADEMA hata mbunge aweza ibuka akaita vyombo vya habari kuongea na taifa hata diwani aweza jiibukia tu na kuongea na taifa. Mfano mtu anayeomba kuteuliwa na CHADEMA kugombea...
  20. Bernard Membe: Sitaomba msamaha!

    Mwamba wa Kusini amenena moja kwa moja kupitia ukurasa wake wa Twitter. Kuna maswali?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…