Mwalimu Nyerere aliwahi kusema ukila nyama ya mtu huwezi kuacha, ukianza kutembea na wake za watu huwezi kuacha

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,326
Huu msemo wa Mwalimu wa ukianza kula nyama ya mtu huwezi kuacha, iko sahihi kabisa.

Ukianza kula wake za watu huwezi kuacha.

Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita nilianza kula mke wa binamu yangu, miaka hiyo nilikua nasoma chuo, likizo ndogo ndogo nikawa naenda pale kwa binamu yangu nikaishia kumtafuna mke wake na mimba juu ingawa mimba tuliitoa.

Baadae nilijilaumu sana na nikaapa kutokula mke wa mtu asilani, hamadi jumbe ndio nilikua nimefungulia milango ya mafuriko ya kula wake za watu, toka miaka hiyo imekua ni bandika bandua wake za watu.

Kula wake za watu ni rahisi kuliko kitu chochote. Yaani mke wa mtu ni wewe uamue kama unataka kumla ama hutaki.

Kwa uzoefu wangu, wanaume wengi tukishaoa wake zetu hatuwapi attention kama ile tuliyokua tunawapa siku za uchumba. Wanawake wanataka attention muda wote.

Kama mwanamke humsikilizi basi atatafuta mtu ambae atamsikiliza na atakua anamueleza mambo yake hata kama hana msaada lakini ile kumsikiliza tu aongee anachotaka kuongea inamtosha kabisa. Na wanawake walivyo akishapata mtu anaemsikiliza basi hawachelewi kumtunuku utamu.

Kuna mke wa mtu mwingine nimewahi kuishi nae nyumbani kwangu zaidi ya mwaka maana mumewe alikua mkoa wa mbali kikazi anakuja baada ya miezi 3, anakaa siku 2 hadi wiki, akiondoka mke anarudi kwangu na hata jamaa akiwepo napewa mechi mchana kweupe jua limewaka.

Wanaume wenzangu wasikilizeni wake zenu, wapeni muda, tengeni muda wa kuwasiliza na pia wahudumieni vyote.

Ahsante.
 
Mwalimu aliwahi pia kusema "Kwa hii katiba ya tanzania ilivyo na madhaifu, akipatikana kiongozi mpumbavu, basi atajiona ni mungu".

Ila bado nakosa majibu, kwanini Mwalimu Nyerere hakupambana kwa ushawishi wake aliokuanao ibadilishwe. Akatuachia sisi hilo sekeseke.
 
Aliwahi pia kusema kwamba katika harakati za kujenga uchumi wa kweli, kuleta ustawi na maendeleo, lazima kutakuwa na makelele mengi kutoka ndani na nje -- lakini kiongozi madhubuti hapaswi kabisa kuyasikiliza wala kugeuka nyuma. Anapaswa kusonga mbele, akichapa kazi na kukamilisha mipango na mikakati kwa ajili ya miradi ya taifa. ^Kuna hadithi fulani niwahi kuisikia mimi juu ya binti fulani mrembo ambaye vijana wengi walijaribu bila mafanikio kwenda kwao ili wakamfanyie posa. Watanzania, mimi sikubali kugeuka mawe!^
 
Mwalimu aliwahi pia kusema "Kwa hii katiba ya tanzania ilivyo na madhaifu, akipatikana kiongozi mpumbavu, basi atajiona ni mungu".

Ila bado nakosa majibu, kwanini hakupambana kwa ushawishi wake aliokuanao ibadilishwe. Akatuachia sisi hilo sekeseke.
"Kwa hii katiba ya tanzania ilivyo na madhaifu, akipatikana kiongozi mpumbavu, basi atajiona ni mungu
 
Bado ww kuliwa I swear soon utapata unachotafuta.
Hii huwa ni kauli ya watu waliokata tamaa.

Ni sawa na kuamini kuwa mtu akikufanyia ubaya lazima na yeye apate mabaya, hii sio guarantee, mtu anaweza kukufanyia ubaya na asipate mabaya maisha yake yote.
 
Mwalimu aliwahi pia kusema "Kwa hii katiba ya tanzania ilivyo na madhaifu, akipatikana kiongozi mpumbavu, basi atajiona ni mungu".

Ila bado nakosa majibu, kwanini Mwalimu Nyerere hakupambana kwa ushawishi wake aliokuanao ibadilishwe. Akatuachia sisi hilo sekeseke.
Usimsikilize mwalimu mimi kwa viutafiti vyangu kidogo tu nimegumdua yeye ndo mtubalieiharibu hii nchi kuliko mtu mwingine yyte ni vile watu wengi hawatafiti mambo ya hii nchi tu.
 
Mwalimu aliwahi pia kusema "Kwa hii katiba ya tanzania ilivyo na madhaifu, akipatikana kiongozi mpumbavu, basi atajiona ni mungu".

Ila bado nakosa majibu, kwanini Mwalimu Nyerere hakupambana kwa ushawishi wake aliokuanao ibadilishwe. Akatuachia sisi hilo sekeseke.
Nyerere ni kiini cha utawala mbovu tulionao
 
Mwalimu aliwahi pia kusema "Kwa hii katiba ya tanzania ilivyo na madhaifu, akipatikana kiongozi mpumbavu, basi atajiona ni mungu".

Ila bado nakosa majibu, kwanini Mwalimu Nyerere hakupambana kwa ushawishi wake aliokuanao ibadilishwe. Akatuachia sisi hilo sekeseke.
Ogopa wanasiasa wanachoongea sio walicho nacho moyoni.Ni wazuri wa kucheza na akili za watu huku wakiwasikilizia.Nyerere ndiye aliyetufikisha hapa amini usiamini.Waulize akina Kambona, Tuntemeke, Hans pope na wenzao ndo utajua
 
“Kula nyama ya mtu” ni kuua.

Ukizoea kuua watu kisa unamadaraka utaendelea kuua tu. Utasahau kwamba na wewe ni mtu tu!!

Waulize vijana wapumbavu wanaoua/ kutesa watu kwa kisingizio cha amri kutoka juu/ eti mamlaka za uteuzi.

Haijalishi wewe ni nani ama nani kakutuma Kuua ni kuua hakuna exemption...
 
Sasa kwanini unakula wake za watu??
Kwa sababu ya urahisi wa kupatikana kwao??
Umwamba??
Wanakupenda wenyewe??

Yote kwa yote unachokifanya si sawa mkuu, ni haki yako kuuawa endapo wenye wake wakikufuma, sitasikitika kwa hilo.
 
Back
Top Bottom