Naogopa kumpa mtu hii pesa

Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
6,359
2,000
Hii hela nimepewa bila kujua upande wa pili nini kimeandikwa., badae natoa pesa kwenye wallet naona hayo maandishi,
Naona aibu mimi
DSC_0666.JPG
 

Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
9,556
2,000
Hii hela nimepewa bila kujua upande wa pili nini kimeandikwa., badae natoa pesa kwenye wallet naona hayo maandishi,
Naona aibu mimi View attachment 1731805


Hiyo noti tayari kwa sheria za bank kuu imeshakuwa "desolete" itakapofika Bank kuu, sasa na wewe andika neno "MWENYEWE" upande huohuo kumjibu huyo mshenzi aliyeandika hayo matusi na uitumie muda wa usiku kwa tahadhari ili usije kukamatwa na kupewa msukosuko. Lengo la kuitumia ni ili usipate hasara isitoshe ili ifike Bank kuu kwa ajili ya kuharibiwa, kama hutojali basi ipotezee.
 

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
11,481
2,000
Sioni tusi hapo hiyo hela ikienda kwa mwanamke
"kum.ayakounaeshika hii hela"....!
na k unayo kweli
labda ukipeleka kwa mwanaume...
ushauri wangu hiyo hela itumiwe na wanawake tu
 

black short

JF-Expert Member
Nov 16, 2019
422
1,000
Unaweza jikuta unakuwa maskini maishani kwa vitu vidogo vidogo kama hivi kisa tu uliandika noti ya buku
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom