Benki kuto-update Account ya mtu ukifanya transaction kwa muda mrefu, tatizo nini?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Mfano mtu una credit transfer benki nyingi zina tabia ya kuchelewa kupitisha hiyo credit tatizo nini? Haya matatizo yako hasa kwenye mabenki madogo siyo makubwa yenye majina makubwa.

BOT fuatilieni hizi benki ndogo sysyem zao hazi update haraka. Transaction yaweza hana muda mrefu na kuleta usumbufu kwa wateja sababu balance kwenye account hai reflect credit transactions zao.
 
Back
Top Bottom