Kuna mtu anaifahamu taasisi ya Nuru Arts Organization?

Kuna mtu anaifahamu taasisi ya Nuru Arts Organization?

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,269
Reaction score
25,309
Wadau naomba msaada Je, kuna mkulungwa humu anaifahamu Taasisi inaitwa NURU ARTS ORGANIZATION, Inahusiana na kutoa elimu ya ujasiriamali bure, ipo KAWE, kwa watu wenye mazingira magumu.

Naomba msaada kuna ndugu yangu anatafuta kazi, kuna malalamiko nimeyasikia nataka kujua kama ni taasisi ya ukweli au kuna magumashi ndani.

Nashukuru..
 
Back
Top Bottom