Ni nuksi Kwa taswira ya mtu kuonekana kwenye Gari lililo beba mwili wa marehemu

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
14,937
26,647
Wataalamu wa mambo wanasema ni nuksi kwa taswira/image ya mtu kuwa reflected kwenye kioo au sehemu yoyote ya Gari lililobeba mwili wa marehemu " funeral car"

Suluhisho ni nini?

Kufanya maombi mazito kama ni mkristo...

Kufanya Dua Na visomo vizito kama Ni muislamu

Kufanya tambiko Zito la kimila Kwa wewe unayeamini katika Mila.

Au kufanya vyote Kwa pamoja.

Kinga?

Kaa Mbali Na Gari lililobeba mwili wa marehemu...
NB: WATU WANAO FANYA KAZI KWENYE FUNERAL SERVICES COMPANIES WANAJUA KUHUSU MIIKO HII NA WANAJUA NINI CHA KUFANYA .. HATA MADEREVA WA HAYO MAGARI PIA WANAJUA NINI CHA KUFANYA. HATA WANAO SAFIRISHA MAITI KUPELEKA MIKOANI WANAJUA NINI CHA KUFANYA . TARATIBU ZA KUFUATA MWILI WA MAREHEMU UNAWEKWA VIPI KWENYE GARI.KICHWA KINA ANGALIA WAPI, MIGUU INAANGALIA WAPI...

Shida Ni pale inapotokea Kwa Bahati mbaya Yani ulikuwa unatembea barabarani au unaendesha Gari halafu buu baa Gari Hilo hapo pembeni umepiga jicho kwenye Gari Na taswira yako imekuwa relfected either kwenye kioo au kwenye Gari... That is a very bad omen. Linapotokea Jambo Hilo unashauriwa kufanya Moja WaPo Kati ya mambo niliyo yataja hapo juu au vyote kwa pamoja...

N.b: hiyo picha Ni kwenye msiba wa Hanspope.

20210914204024_6.jpg
 
Wataalamu wa mambo wanasema ni nuksi kwa taswira/image ya mtu kuwa reflected kwenye kioo au sehemu yoyote ya Gari lililo beba mwili wa marehemu " funeral car"

Suluhisho Ni Nini?

Kufanya maombi mazito kama Ni mkristo...

Kufanya Dua Na visomo vizito kama Ni muislamu

Kufanya tambiko Zito la kimila Kwa wewe unae amini katika Mila.

Au kufanya vyote Kwa pamoja.

Kinga?

Kaa Mbali Na Gari lililo beba mwili wa marehemu...

View attachment 1937747
Mkuu rudisha avatar picha yako ya awali tuliyokuzoea ya yule mchezaji wa Cameroon utadhani amevaa miba kichwani
 
Itakuwa ulitaka utuonyeshe picha za gari la maiti Tu mkuu

Mfano huyo dogo hapo asipofanya hayo maombi/kisomo nn kitamkuta
Anajua Mungu mkuu but that one is not a good omen at all. Haya mambo ya funerals Na wafu Kwa ujumla Yana taboos nyingi Sana Na wengi Ina wa cost Kwa kutozingatia , kupuuzia, kutokujali, mazoea au Kwa kutokujua.

Mfano kama mmepatwa Na msiba kaburi linatakiwa kuchimbwa siku hiyo hiyo anayo zikwa marehemu. Alipaswi kulala wazi. Likilala wazi kitakacho itokea hiyo familia anajua Mungu na Malaika zake
 
Chief mbona hueleweki? Kwa hiyo tuyakimbie magari yaliyobeba miili ya marehemu? Tusikaribie kushusha majeneza kwenye magari misibani? This is too low from you!
Wear beza ila omba yasikukute. Tutakukuta Kwa Mwamposa unapiga makofi" Wamilele Wamilele ni mungu wa Baraka Ni yesu bwana x 2. Sitomuacha yesu anasumbukia Maisha yangu x2.

Anasumbukia maisha yangu x 4
 
Wataalamu wa mambo wanasema ni nuksi kwa taswira/image ya mtu kuwa reflected kwenye kioo au sehemu yoyote ya Gari lililo beba mwili wa marehemu " funeral car"

Suluhisho Ni Nini?

Kufanya maombi mazito kama Ni mkristo...

Kufanya Dua Na visomo vizito kama Ni muislamu

Kufanya tambiko Zito la kimila Kwa wewe unae amini katika Mila.

Au kufanya vyote Kwa pamoja.

Kinga?

Kaa Mbali Na Gari lililo beba mwili wa marehemu...

Shida Ni pale inapotokea Kwa Bahati mbaya Yani ulikuwa unatembea barabarani au unaendesha Gari halafu buu baa Gari Hilo hapo pembeni umepiga jicho kwenye Gari Na taswira yako imekuwa relfected either kwenye kioo au kwenye Gari... That is a very bad omen. Linapotokea Jambo Hilo unashauriwa kufanya Moja WaPo Kati ya mambo niliyo yataja hapo juu au vyote kwa pamoja...

N.b: hiyo picha Ni kwenye msiba wa Hanspope.

View attachment 1937747
Kama taswira kuonekana kwenye gari lililobeba maiti ni nuksi, Je watoto waliotokana na huyo maiti si ndiyo watakua nuksi kali zaidi?
Yaani tusimkaribie marehemu, are you serious?
Hizo imani za kishirikina zinazolebga kujenga hofu na mtafaruku ndani ya jamii.
 
Wataalamu wa mambo wanasema ni nuksi kwa taswira/image ya mtu kuwa reflected kwenye kioo au sehemu yoyote ya Gari lililo beba mwili wa marehemu " funeral car"

Suluhisho Ni Nini?

Kufanya maombi mazito kama Ni mkristo...

Kufanya Dua Na visomo vizito kama Ni muislamu

Kufanya tambiko Zito la kimila Kwa wewe unae amini katika Mila.

Au kufanya vyote Kwa pamoja.

Kinga?

Kaa Mbali Na Gari lililo beba mwili wa marehemu...

Shida Ni pale inapotokea Kwa Bahati mbaya Yani ulikuwa unatembea barabarani au unaendesha Gari halafu buu baa Gari Hilo hapo pembeni umepiga jicho kwenye Gari Na taswira yako imekuwa relfected either kwenye kioo au kwenye Gari... That is a very bad omen. Linapotokea Jambo Hilo unashauriwa kufanya Moja WaPo Kati ya mambo niliyo yataja hapo juu au vyote kwa pamoja...

N.b: hiyo picha Ni kwenye msiba wa Hanspope.

View attachment 1937747
Kataa au Kubali, moja ya malengo yako kuleta hii post ni ili uandike hiko kipengele..

Tubu, shetani mwenyewe tu anakuonea huruma.
 
Wataalamu wa mambo wanasema ni nuksi kwa taswira/image ya mtu kuwa reflected kwenye kioo au sehemu yoyote ya Gari lililo beba mwili wa marehemu " funeral car"

Suluhisho Ni Nini?

Kufanya maombi mazito kama Ni mkristo...

Kufanya Dua Na visomo vizito kama Ni muislamu

Kufanya tambiko Zito la kimila Kwa wewe unae amini katika Mila.

Au kufanya vyote Kwa pamoja.

Kinga?

Kaa Mbali Na Gari lililo beba mwili wa marehemu...

Shida Ni pale inapotokea Kwa Bahati mbaya Yani ulikuwa unatembea barabarani au unaendesha Gari halafu buu baa Gari Hilo hapo pembeni umepiga jicho kwenye Gari Na taswira yako imekuwa relfected either kwenye kioo au kwenye Gari... That is a very bad omen. Linapotokea Jambo Hilo unashauriwa kufanya Moja WaPo Kati ya mambo niliyo yataja hapo juu au vyote kwa pamoja...

N.b: hiyo picha Ni kwenye msiba wa Hanspope.

View attachment 1937747
Sasa hili gari linabeba wafu wakiwa wamevaa barakoa? halafu, wamekaa, kisha wanakuwa me na ke?

Hata hivyo haya mambo yashapitwa na wakati,hayana usayansi wowote. Kile mnaamini kwenye jamii yenu ni kibaya, kwa jamii nyingine ni bahati. Bundi ulaya ni mnyama pendwa, wakati huku kwetu jamii nyingi hutafsiri mlio wake ama hata kuonekana kwake ni uchuro. Paka mweusi kwa wavuvi wa kizungu ni balaa, wakati huku kwetu ni kawaida tu, japo tuna tabia ya kuwahusisha paka na uwanga. Aidha, kwa mdada wa Kizungu kuvunja kioo cha kujitazama ni nuksi, huku kwetu hakuna hiyo kitu.

Hata hivyo, baada ya uelewa kwa jamii, mengi yashatelekezwa.
 
Bro, kifo kipo tu. Usipokufa leo utakufa kesho. Tena kifo sio mwisho wa maisha, kifo ni mwanzo wa maisha mengine. Muhimu ni kuwa safi moyoni.
Wataalamu wa mambo wanasema ni nuksi kwa taswira/image ya mtu kuwa reflected kwenye kioo au sehemu yoyote ya Gari lililo beba mwili wa marehemu " funeral car"

Suluhisho Ni Nini?

Kufanya maombi mazito kama Ni mkristo...

Kufanya Dua Na visomo vizito kama Ni muislamu

Kufanya tambiko Zito la kimila Kwa wewe unae amini katika Mila.

Au kufanya vyote Kwa pamoja.

Kinga?

Kaa Mbali Na Gari lililo beba mwili wa marehemu...

Shida Ni pale inapotokea Kwa Bahati mbaya Yani ulikuwa unatembea barabarani au unaendesha Gari halafu buu baa Gari Hilo hapo pembeni umepiga jicho kwenye Gari Na taswira yako imekuwa relfected either kwenye kioo au kwenye Gari... That is a very bad omen. Linapotokea Jambo Hilo unashauriwa kufanya Moja WaPo Kati ya mambo niliyo yataja hapo juu au vyote kwa pamoja...

N.b: hiyo picha Ni kwenye msiba wa Hanspope.

View attachment 1937747
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom