PCB 3.13 kuenda kusoma udaktari nje

Ali Hemed

Member
Jul 9, 2021
11
45
Nimemaliza kidato Cha sita nimepanga kusoma md uganda,

Je, Kuna athari gani kwenda kusoma nje ya nchi bila no objection certificate ya tcu maana sijatimiza vigezo vya D tatu ya tcu na nimekosa chuo.hapa.nchini. Nimepata phy D chem D bioE 3.13
 
Mwalimu wa tuisheni

JF-Expert Member
Oct 19, 2019
2,045
2,000
Kidatu ❌
Kidato ✔️

Kabla hujasafiri nenda kaombe muongozo tcu, kwamba hicho chuo unachotaka kwenda kusomea huko Uganda ukija na cheti kitakuwa equivalent na graduate hata wa Bugando achilia mbali muhas, wakikujibu utapata pakuanzia

Binafsi yangu nakushauri kasome diploma ya clinical medicine
 
Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
780
1,000
Kidatu ❌
Kidato ✔️

Kabla hujasafiri nenda kaombe muongozo tcu, kwamba hicho chuo unachotaka kwenda kusomea huko Uganda ukija na cheti kitakuwa equivalent na graduate hata wa Bugando achilia mbali muhas, wakikujibu utapata pakianzia

Binafsi yangu nakushauri kasome diploma ya clinical medicine

Pakianzia ❌
Pa kuanzia
 
Eng peter pan

JF-Expert Member
Sep 15, 2021
1,018
2,000
Kidatu ❌
Kidato ✔️

Kabla hujasafiri nenda kaombe muongozo tcu, kwamba hicho chuo unachotaka kwenda kusomea huko Uganda ukija na cheti kitakuwa equivalent na graduate hata wa Bugando achilia mbali muhas, wakikujibu utapata pakuanzia

Binafsi yangu nakushauri kasome diploma ya clinical medicine
Dah hukosei mkuu watu makini kama ninyi mnahitajika sana
 
Eng peter pan

JF-Expert Member
Sep 15, 2021
1,018
2,000
Kidatu ❌
Kidato ✔️

Kabla hujasafiri nenda kaombe muongozo tcu, kwamba hicho chuo unachotaka kwenda kusomea huko Uganda ukija na cheti kitakuwa equivalent na graduate hata wa Bugando achilia mbali muhas, wakikujibu utapata pakuanzia

Binafsi yangu nakushauri kasome diploma ya clinical medicine
Mwalimu hadi spelling unazingatia
 
Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
780
1,000
😃😃😃🙌🏽🙌🏽 sawa mkuu naedit sasa hivi

Mkuu, kwenye haya maisha tujijengee sana tabia ya kupenda kusaidia, ku-support, kutoa muongozo, kuwezesha......yaani tuangalie kitu in a positive way kuliko in a negative way mkuu.

Tusipende kukosoa, kudhihaki, kukebehi mtu anayekuomba msaada aisee, msaidie kama una UWEZO wa kumsaidia ila kama hauna UWEZO wa kumsaidia ni bora ukamuangalia tu mkuu.

Kuna watu huwa ni kweli wapo kwenye shida au tatizo anahitaji msaada kiukweli kabisa, analeta hapa jukwaani, sasa unakuta mtu anakuja anaanza ku-comment in a negative way. THIS IS NOT RIGHT MKUU.

Tujijengee moyo wa kupenda kusaidia hata kwa watu tusiowajua aisee.

Karma is real bro...!

Those Goes Around Comes Around.

Do Unto Others As Would Others Do Unto You.

This Is A Golden Rule.

Cheers...!

✊🏾👊🏾
 
  • Thanks
Reactions: Ilu

Naona unalalamika tuu, shida ni nini boss..?
 
Ilu

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
1,148
2,000
Mkuu, kwenye haya maisha tujijengee sana tabia ya kupenda kusaidia, ku-support, kutoa muongozo, kuwezesha......yaani tuangalie kitu in a positive way kuliko in a negative way mkuu.

Tusipende kukosoa, kudhihaki, kukebehi mtu anayekuomba msaada aisee, msaidie kama una UWEZO wa kumsaidia ila kama hauna UWEZO wa kumsaidia ni bora ukamuangalia tu mkuu.

Kuna watu huwa ni kweli wapo kwenye shida au tatizo anahitaji msaada kiukweli kabisa, analeta hapa jukwaani, sasa unakuta mtu anakuja anaanza ku-comment in a negative way. THIS IS NOT RIGHT MKUU.

Tujijengee moyo wa kupenda kusaidia hata kwa watu tusiowajua aisee.

Karma is real bro...!

Those Goes Around Comes Around.

Do Unto Others As Would Others Do Unto You.

This Is A Golden Rule.

Cheers...!

I can't agree with you more
 
Bunyamboh

Senior Member
Sep 22, 2017
136
250
Kafanye Foundation program Open University kaongeze qualifications
Acha acha kumdanganya kabisa hata apate A zote Foundation certificate ya open University hawezi kupata udaktari Wala pharmacy.Ile kozi nikwaajili ya kozi nyingine tu !Kwa sababu ya ushindani uliopo
 
  • Thanks
Reactions: Ilu

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom