Kutoka Kambini Baharini: Kuna Mtu kakimbia baada ya Mganga kusema anatakiwa Yeye kwa Kafara ili Mfalme wa Nyika Afe Jumamosi

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Si ulisema kuwa huko ndiko ulikokuwa ukikupenda? Sasa mbona tokea jana unaogopa Kusogelea hiyo Kambi baada ya kuambiwa unaweza ukaondoka duniani Kikafara ili unaowapenda Washinde Jumamosi?

Na Mightier nimetonywa kuwa Option ziko Mbili tu ama itafutwe Maiti ya hivi karibuni ikafukiwe Temeke Stadium na ikishindikana basi utumike Wewe kwa Kuuaga Ulimwengu ili Wananchi waliobaki wapate Furaha ya Ushindi Jumamosi.

Na ninavyowajua Watu wa huo upande uliopo wanavyoitolea macho hii Mechi ili kurudisha Imani kwa Mashabiki wao baada ya Kuumbuka huko Nigeria hawakawii au hawashindwi kukubali Wewe uondoke ili Washinde na Kusiibuke Mgogoro na Mpasuko mkubwa kwa Kipigo itakachokipata Jumamosi.

Wewe si Mwamba? Kwanini unakimbia?
 
Mbona hutoi update za timu yako mtani???!!! Halafu baadae mnalalamika oooh mashibiki wa Simba ndo wanajaza kwenye mechi za Yanga wanasahau mambo yanakuwa kama hivi deile mnaifuatilia hata mazoezini kuliko wenye timu yao
 
Halafu sijui kwanini hii ya kufukia maiti uwanjani huwa inapendwa sana, kuna jamaa aliniambia hii kitu nikiwa mkoa fulani, kwenye mechi ya ligi nilishangaa sana, nasikia wanaenda mortuary wanachukua maiti inaenda kufukiwa uwanjani, baadaye maiti inarudishwa ilikotolewa.
 
Hakika jamaa anatusaidia sana kuitangaza timu tena bure kabsa.
 
Halafu sijui kwanini hii ya kufukia maiti uwanjani huwa inapendwa sana, kuna jamaa aliniambia hii kitu nikiwa mkoa fulani, kwenye mechi ya ligi nilishangaa sana, nasikia wanaenda mortuary wanachukua maiti inaenda kufukiwa uwanjani, baadaye maiti inarudishwa ilikotolewa.
Huu ndiyo Uchawi mkubwa wa Yanga SC na wamekuwa wakifanya hivi kwa miaka mingi tu sasa hasa katika Mechi ya Watani ( Derby ) na zile za Kimataifa.
 
Mkuu Mightier juzi kati ulikuja na thread ya kutuaminisha kua yanga alitoa 'mkwanja' mnono na angeshinda ile mechi dhidi ya Rivers.

Pia nyuma ukaja na hekaya kua wazee wa Simba wamecharuka na wamemmaimdi sana Haji Manara na ukatuambia hapa jukwaani kua siku za Haki Manara zilikua chache sana hapa duniani.

Siku si nyingi leo umekuja na hii thread,

Je huoni kama unajipunguzia uaminifu hapa jukwaani?
 
Anayekukaza nae pia ni Muaminifu au?
 
Si ulisema kuwa huko ndiko ulikokuwa ukikupenda? Sasa mbona tokea jana unaogopa Kusogelea hiyo Kambi baada ya kuambiwa unaweza ukaondoka duniani Kikafara ili unaowapenda Washinde Jumamosi?

Na Mightier nimetonywa kuwa Option ziko Mbili tu ama itafutwe Maiti ya hivi karibuni ikafukiwe Temeke Stadium na ikishindikana basi utumike Wewe kwa Kuuaga Ulimwengu ili Wananchi waliobaki wapate Furaha ya Ushindi Jumamosi.

Na ninavyowajua Watu wa huo upande uliopo wanavyoitolea macho hii Mechi ili kurudisha Imani kwa Mashabiki wao baada ya Kuumbuka huko Nigeria hawakawii au hawashindwi kukubali Wewe uondoke ili Washinde na Kusiibuke Mgogoro na Mpasuko mkubwa kwa Kipigo itakachokipata Jumamosi.

Wewe si Mwamba? Kwanini unakimbia?
Hivi Manara kaifanya nini Simba haimsahau?
 
Mkuu Mightier juzi kati ulikuja na thread ya kutuaminisha kua yanga alitoa 'mkwanja' mnono na angeshinda ile mechi dhidi ya Rivers.

Pia nyuma ukaja na hekaya kua wazee wa Simba wamecharuka na wamemmaimdi sana Haji Manara na ukatuambia hapa jukwaani kua siku za Haki Manara zilikua chache sana hapa duniani.

Siku si nyingi leo umekuja na hii thread,

Je huoni kama unajipunguzia uaminifu hapa jukwaani?
Mightier
Krav maga
Mzukulu
Generalist
Gentamycine
Poisonous
All-rounder

Sent from my G3121 using JamiiForums mobile app
 
Si ulisema kuwa huko ndiko ulikokuwa ukikupenda? Sasa mbona tokea jana unaogopa Kusogelea hiyo Kambi baada ya kuambiwa unaweza ukaondoka duniani Kikafara ili unaowapenda Washinde Jumamosi?

Na Mightier nimetonywa kuwa Option ziko Mbili tu ama itafutwe Maiti ya hivi karibuni ikafukiwe Temeke Stadium na ikishindikana basi utumike Wewe kwa Kuuaga Ulimwengu ili Wananchi waliobaki wapate Furaha ya Ushindi Jumamosi.

Na ninavyowajua Watu wa huo upande uliopo wanavyoitolea macho hii Mechi ili kurudisha Imani kwa Mashabiki wao baada ya Kuumbuka huko Nigeria hawakawii au hawashindwi kukubali Wewe uondoke ili Washinde na Kusiibuke Mgogoro na Mpasuko mkubwa kwa Kipigo itakachokipata Jumamosi.

Wewe si Mwamba? Kwanini unakimbia?
Sahau kuhusu Manara,utadhoofika...afya njema muhimu kwa kijana,mwache kabisa Manara.

Mwezio ana pesa,maarufu ana marafiki matajiri,KALAGABAHO
 
Back
Top Bottom