Ni kazi gani mtu anaweza kwenda kufanya ughaibuni akalazimika kupokonywa passport na kuzuiliwa kutumia WhatsApp?

ryaniza

Member
May 4, 2021
9
12
Kuna jirani yangu mmoja mwanae hakufanikiwa sana kimasomo kama wa kwangu Mimi nimepambana amefika mpaka chuo amepata degree ajira ndo Hana mpaka anatia huzuni Sasa mtoto wa jirani yangu aliishia form four alifeli akawa haeleweki tu sasa juzi kati kwenye story mbili tatu na jirani yangu nikamwambia hongera aisee naona maendeleo nyumba umekarabati imekuwa mpya kabisa na afya yako inavutia ndio hapo ananiambia mwanae amekwenda nchi ya Malaysia.

Maisha yake yamebadilika sana amekuwa na mafañikio nikamuuliza ameenda kwa issue Gani akasema alimwambia ameenda kusoma chuo amepata mfadhili kuna wafadhili wanachukua wanawalipia ada ila ukifika huko unapewa kibarua na passport yako inachukuliwa, nikapata wasiwasi kidogo nikamuuliza ameenda na form four yake hiyo hiyo akasema ndio nikamuuliza anasomea chuo gani na fani gani hakuwa na majibu ya kunipa nikasema kwasababu ni mwenzangu na mimi tulioishia la nñe enzi hizo hawezi kujua.

Sasa nikamwambia nipe namba nikampe mwenzake kule nyumbani wawasiliane, akanipa cha ajabu mwanangu anasema ile namba haipo Whatsapp. Nikiunganisha na alivonambia wamechukuliwa passport bado namba haipo Whatsapp napata sintofahamu.

embu niambieni wanaJF huyo binti itakuwa ni kwema uko Malaysia au ni vipi maana jirani nilimrudia nikamueleza akasema huwa wanawasiliana nae normal calls ila Bado nna doubt.
 
Kuna jirani yangu mmoja mwanae hakufanikiwa sana kimasomo kama wa kwangu Mimi nimepambana amefika mpaka chuo amepata degree ajira...
Nimeona hapo umeeleza kuwa ni binti, basi kuna uwezekano mkubwa itakuwa anatumikishwa kingono huyo. Kuna nchi ukahaba unawalipa sana hawa dada zetu.

Huku india wapo wengi sana, wengine wamenyanganywa passport na waliowaleta, wanapata pesa nyingi tu kupitia ngono na kiasi fulani cha pesa inakuwa ni malipo ya waliowaleta huku.

Wazazi chungeni sana mabinti zenu mnaowapeleka kusoma abroad, kuna nchi kutokana na thamani ya pesa yake kuwa juu kuliko pesa yetu, hivyo unakuta ngono inawalipa sana. Imagine unakuta binti usiku mmoja tu kwa kichwa kimoja anakuingizia si chini Tsh 250, 000/=. Bado wale wa short time bao mbili tu si chini ya Tsh 70,000/=. Sasa kwanini binti kama huyo kama ana-akili asipeleke maemdeleo kwao.
 
Kuna jirani yangu mmoja mwanae hakufanikiwa sana kimasomo kama wa kwangu Mimi nimepambana amefika mpaka chuo amepata degree ajira ndo Hana mpaka anatia huzuni Sasa mtoto wa jirani yangu aliishia form four alifeli akawa haeleweki tu sasa juzi kati kwenye story mbili tatu na jirani yangu nikamwambia hongera aisee naona maendeleo nyumba umekarabati imekuwa mpya kabisa na afya yako inavutia ndio hapo ananiambia mwanae amekwenda nchi ya Malaysia.

Maisha yake yamebadilika sana amekuwa na mafañikio nikamuuliza ameenda kwa issue Gani akasema alimwambia ameenda kusoma chuo amepata mfadhili kuna wafadhili wanachukua wanawalipia ada ila ukifika huko unapewa kibarua na passport yako inachukuliwa, nikapata wasiwasi kidogo nikamuuliza ameenda na form four yake hiyo hiyo akasema ndio nikamuuliza anasomea chuo gani na fani gani hakuwa na majibu ya kunipa nikasema kwasababu ni mwenzangu na mimi tulioishia la nñe enzi hizo hawezi kujua.

Sasa nikamwambia nipe namba nikampe mwenzake kule nyumbani wawasiliane, akanipa cha ajabu mwanangu anasema ile namba haipo Whatsapp. Nikiunganisha na alivonambia wamechukuliwa passport bado namba haipo Whatsapp napata sintofahamu.

embu niambieni wanaJF huyo binti itakuwa ni kwema uko Malaysia au ni vipi maana jirani nilimrudia nikamueleza akasema huwa wanawasiliana nae normal calls ila Bado nna doubt.
Kinachokusumbuwa ni umbea tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom