Dunia ina mambo ya ajabu hii, nikisikia mtu kajiua sishangai kabisa

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,118
3,004
Habari wadau, hebu waza hii kwanza umezaliwa kwenye familia ya nje na hio familia ya nje ina familia za nje mmmmh apo siongei sn jiongeze mwenyewe

Halafu baba na mama yako na wao pia watoto wa nje ambazo zina familia za nje yaan ni maelezo tu hawa wameshare baba hawa wameshare mama

Famiia imejaa roho za kibinafsi chuki na kucheka nje tu na kwenye sherehe after that ni matus asubuh had jion

Braza mkubwa ambae baba anamuamin sn ana mama yke na kwake kazaliwa peke yke jamaa anabond na mding yaan awez fanya kitu bila kumshirikisha yaan ili project zako ziende au upate msaada kwa mding lazima iwepo sain yke afu jamaa ana roho ngumu sasa na anajiona bora kiasi anajiita MUNGU na pesa ameshapata nying tu upo tayar kukununulia bia kret zima na kitimoto juu lakin ukimuomba nauli anakupa buku tu tena kwa dharau na ukipeleka project zko kwa mding lazima azikate yy ndio yy mding ata umwambie nn akuelewi

mding ana pesa nying tu ila neno sina pesa ndio salamu na ata akipata hakukumbuki wala nn upo busy na nyumba kubwa na mbaya zaid huko kuna watoto kibao apo sasa

huku upande wa maza huku wapo wenye uwezo ila hawatak kukusaidia wakiamin baba yako anazo mmmh neno be patience ndio salamu

maza nae ana watoto wengine ambao baba zao sijui wako wapi hata sijawah kuwafuatilia mm kila akipewa pesa na mding hakupi anawapa wao kisa ni watoto wa kiume ww kidume unq koromero !!!!!

afu kuna tetesi step maza ni mtata upo vzr kwenye mambo ya kina mshara jr eeeeeh afu mzee ana pesa sasa kiasi hata kina ba mdogo wanamuogopa hata wazee wa kijiji wanamuogopa afu upo vzr kwenye kuchangia mirad kijijini kwao huku wanae wanakufa njaa dunia ina mambooooooooo

mwandiko mnisamehe

UPDATE
Jinsia yangu ni me chengine wadau mtambue nimeficha vitu ving mno kuna ndugu zetu wawili walijiua na misiba yao iligharimu pesa nying sn mpaka tshirt ziliprintiwa watu wako vzr kwenye kurestishana in peace mpaka nimeweka uzi duuuuh yaan ni basi tu wanaume haturuhusiw kulia na hzo roho za ubinafsi ni km zinahama tu yaan ikitokea kwenye familia uenu kuna watu watatu tu wabinafsi basi tarajia after 5 years watakua 15
 
Mmh hata sitoi pole maana watoto wa nje nawachukia sana,michepuko inaharibu familia za watu
 
sure, kutegemea wazazi/ndugu wasiokutaka mwisho miaka 18
unapambana lkn wanzio wamepewa mteremko na wanajitamba wao ndio wao uwez jua maumivu yke labdw ikutokee wana kaz lkn kila siku mzee anawafungulia project ziwaingizie pesq zaid
 
unapambana lkn wanzio wamepewa mteremko na wanajitamba wao ndio wao uwez jua maumivu yke labdw ikutokee wana kaz lkn kila siku mzee anawafungulia project ziwaingizie pesq zaid
pesa ya mtu huna haki nayo, tafuta yako bila kuangalia yakwake anatumiaje wala anampa nani,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom