Au nasema uongo?
Tazama ana umuhimu gani kwako...kama hana faida yoyote kwako....huyo hakufai....unataka mume mwajibikaji kwa familia nae anatimiza ipasavyo ila ana tatizo la kupenda michepuko....usimwache bali mkumbushe kucheza salama....kinyume chake kwa mwanaume umepata mke uliyekuwa unamtaka...
Jamani watu wa humu jf naomba kuwaambia kuwa kuna kakikundi cha watu kameamua kunichafua kisa tu nmeweka id fake, nachojiuliza kwan ni lazma au muhimu kias gani kujmaliza hapa jamii forum kujaza full details zangu na tunajua humu ndani wakuda wengi na wazee wa kitengo wengi. SWALI JE KAMA...
Habari, wadau leo sipo sawa ninaumwa vibaya alafu Sina pesa kabisa nimejipoza na vipanado nk ila wapi ninahofia zaidi usiku
Naomba mtu anikope 10,000 tu niande pharmacy chap nitamrejeshea few days nikipokea vipesa kwenye mishe zangu uhakika, dharula sijajiandaa.
NB: Moderator uzi huu utatuta...
Neno Pele limeingizwa katika kamusi ya Michaelis ya kireno.
Neno hilo limetafsiriwa kama ifuatavyo:
"Kitu au mtu ambaye siyo wa kawaida, kitu au mtu ambaye kwa mujibu wa ubora, thamani au ubora wake hawezi kuwa sawa na kitu chochote au mtu yeyote, kama Pele, jina la utani la Edson Arantes do...
Mfano kuna kijana anatengeneza vifaa vya umeme kama radio na tv, ana ofisi nzuri tu inayoaminika. akitengeneza tvau radio yako inarudi katika hali yake na unaweza kuendelea kuitumia bila tatizo
Huyu kijana tayari ana elimu ya umeme ila hajasoma akafaulu mtihani wowote unaohusu umeme, kama...
Huu Uzi wa kubadilishana contacts za kazi / baishara, mfano ww ni muuza duka unahitaji msaidizi wa kukuza, au una biashara flani unahitaji supplier ,
Taja aina ya mtu unayemuhitaji, wahitaji wakiona mna kubalina mfanye kazi.
Huu Uzi wa kubadilishana contacts za kazi / baishara, mfano ww ni muuza duka unahitaji msaidizi wa kukuza, au una biashara flani unahitaji supplier ,
Taja aina ya mtu unayemuhitaji, wahitaji wakiona mna kubalina mfanye kazi.
Habari zenu wakuu,
Hivi kwa jitihada za kuboresha elimu yetu hapa nchini kwanini chama cha walimu nchini wasiweke paper ya mchujo kama ya law school ili kila mwalim fresh from college ni lazma afanye paper hiyo ili aweze kuwa certified na kupata usajili kwajili ya kufundisha watoto wetu.
Habari zenu wakuu, hapa bongo soko la nguo kuna baadhi yetu lishatutoa knock out, unaweza kwepa midosho ya elf 15 ukaenda kwenye duka la cadet za elf 40 ukazani hapa ndio penyewe kumbe mambo yale yale tu, ukifua mara mbili tatu ishakuwa bwanga, pindo hohe hahe, rangi imechuja.
Sasa basi mimi...
Waovu hawazaliwi wakiwa hivyo bali ni matokeo ya uminywaji wa haki na Uonevu katika Jamii. Hata magaidi au wanaotekeleza mauaji ya kinyama, lazima Kuna sababu nyuma yao.
Miaka ya nyuma nilienda shuleni kuchukua cheti Cha O-level. Nilfunga bahasha kwenye baiskeli nikawa nikiendesha speed. Kuna...
Kupaliwa kwa mfumo wa hewa ni hali hatari na inahitaji hatua za haraka ili kumuokoa mtu. Hapa ni hatua za kwanza ambazo unaweza kuchukua ili kumuokoa mtu aliyepaliwa mfumo wa hewa:
Tathmini hali ya mgonjwa: Angalia hali ya mgonjwa na kubaini ikiwa yupo katika hali ya hatari. Kama mgonjwa...
Je, kupitia hii taaluma ya Kiswahili na kingereza, nawezaje Kupata Kipato?
Hasa Kupata Kipato kupitia lugha yetu ya Kiswahili.
Najua ntapata msaada hapa JF panapo Majaliwa.
umeshawahi kupimwa au kujaribiwa imani na mtu, kuna siku nimdenda zangu kununua earphone nilipo rudi jioni yake mdada wa kazi akaniomba asikilize radio,
nikampa akabaki nazo mpaka kesho asubuhi,
sasa kufika asubuhi nimeamka nafanya usafi akanifuata na kuniambia zile earphone alipitiwa na...
Kuna nyakati katika maisha yetu inatubidi au utokea tuseme uwongo ili kuzuia hatari mbalimbali pamoja kuokoa maisha yetu au ya watu wengine.
Je kufanya hivyo ni dhambi na ni chukizo kwa mwenyezi Mungu?
Mithali 6:16-17 inasema
16Kuna vitu sita ambavyo Yehova anachukia;Naam, vitu saba...
Hawa scamers sasa wamezidi.
Asubuhi hii napata ujumbe toka namba ambayo imekuja na logo name ya NMB na sina akaunt huko. Hii scam imekaaje wadau!?
Hawa watu kweli ni piracy programmers.👇
Leo nimesikia kuwa na Wamisri wamegomea movie inayomzungumzia Cleopatra kama mwanamke mweusi.
Kuna mifano mingi tu ya kusema hapa ni jinsi gani weusi unachukiwa, tunachukiwa. Tatizo nini haswa? Kuna siri gani? Ni huu huu ukosefu wetu wa maarifa au kuna jingine?
Habari,
-> nipo dar (kibamba)
Napenda vyombo vya moto kijumla sana, nina ujuzi wa mechanical engineering diploma. Pia nina ujuzi mambo ya marketing (masoko) - online & offline
Biashara ya magari ya kununua, kupata mteja, connection za madalali, ninauzoefu... Kwa anayehtaji mtu serious wa...
Mitaani kuna mabinti wachache sana ambao wanafaa kuwa wife materials, ila wengi ni shida..nimeona ili mwanaume upate mke inabidi aidha umwombe Mungu sana, au ukubaliane na ujinga wa mwanamke Kama vile
1)Ukimtongoza leo kesho akikuomba hela, ingawa unajua hii ni red flag, we mpe kama unayo, kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.