Kitu gani kinafanya mtu awehuke katika baadhi ya matendo?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,578
3,039
"Kuuliza si ujinga"

Elimu ni kubwa sana tunatofautiana katika uelewa wa kila jambo mfano mimi nilipokuwa form four wakati tunasoma kitabu "Pass like shadow" nilikuwa najua kuwa main thesis ya kitabu ni ukimwi ambaopo kuna mdada alikutautana na jamaa Mwenye HIV (Nimemsahau) Ila hakuathirika ila wakati ila wenzangu katika kujadiliana waliniambia kuwa maana ya kitabu imetokea pale watu wanavyokuwa wanakufa kutokana na gonjwa la ukimwi.

Let go straight to the point,kuna maswali hua najiuliza sana,

-Kitu gani kinawafanya watu waingiwe na hamu au kuwehuka akili katika baadhi ya mambo kama mziki ,dini n.k mfano utamkuta jamaa ni serious ila akienda kwenye show za Diamond na hatumii kilevi chochote ila anawehuka,piga kelele nyingi,kucheza,anaimbishwa naye anaimba licha ya kulipa pesa.

-let say upo ndani then akaingia friend wako then he/she smell bad hujataka kumwambia ila baadae unakuta ile harufu inapotea kidogo kidogo what a situation inayopelekea mpk harufu kupotea.


Nawasilisha
 
Back
Top Bottom