mtu

  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Msumbiji: Akutwa na kichwa na viungo vya siri vya mtu kwenye mfuko

    JESHI la Polisi nchini Msumbiji linamshikilia mwanaume mmoja baada ya kumkuta na kichwa na sehemu za siri za mwanaume ambaye amekiri kuuua mtu na kukata viungo hivyo. Msemaji wa kamandi ya polisi ya Sofala, Dércio Chacate, amesema Watoto waligundua sehemu za miili hiyo kwenye mfuko wa plastiki...
  2. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Vyuma ambavyo vinawekwa mwilini mtu akivunjika ni mali ya nani?

    Vyuma ambavyo vinawekwa mwilini mtu akivunjika ni mali ya nani? Kwanini huwa vinafuatiliwa?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada kwa mtu yeyote anayefanya kazi ofisi za halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kuna jambo nataka kuuliza!

    Ndugu zangu wana Jamiiforums, mimi ndugu yenu naomba kama kuna mtu yoyote humu anayefanya kaz ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti nahitaji nimfate DM tuzungmze nina shida ya muhimu sana Ahsanteni
  4. T

    JamiiForums Tanzania Namna nyingine ambayo kikundi, taasisi au mtu binafsi unaweza kuitumia kukuza biashara yako

    Kila mtu, kikundi au taasisi ni tamanio lake kuona ikikukua kufikia ubora au malengo waliyojiwekea. Namna bora ya kukua ni kutoa huduma au kuuza huduma huku ukiwafikia walengwa katika ubora ule ule. Wengi wetu imani kubwa tulijiwekea ni kuongeza walaji wa bidhaa au huduma zetu ili kuweza kufikia...
  5. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Jinsi ya Kumpatia Mtu Mtaji na Kumasaidia kukuza Biashara yake

    Habari za wakati huu wadau Ufuatao ni muendelezo wa mada niliyoandika siku kadhaa zilizopita yenye kichwa - Jinsi ya kushiriki katika Uwekezaji Huria (Venture and Angel Investment) Mada hii ni mtiririko wa mada kadhaa ambazo huwa naziandika mara kwa mara kwa lengo la kuchangia katika...
  6. Engager

    JamiiForums Tanzania Mume wake ni mtu wa kusafiri

    Nimekaa nikatafakari. Sisi wanaume ambao harakati zetu za kupata mkate wa kila siku zinahusisha kusafiri safiri, tunachapiwa sana wake zetu. Nimesoma nyuzi nyingi sana hapa JF vijana wakieleza ilikuwaje wakatembea na mke wa mtu, hichi kipengele cha 'mumewe ni mtu wa kusafiri sana' kimetajwa...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Leo nimelia sana. Kweli Cha Mtu.... Sidhani kama nitaweza kula

    Jamaa yangu aka yake KIMBU. Huyu jamaa kauli mbiu yake siku zote ni kuwa "kama huna pesa usioe mke mzuri baadaye uje wavika watu ubaya" Jamaa alikuwa na operation ya kuchakata sana wake za watu.allahmdulilah si haba kazini tunapata vijisenti vya kununua magari na kujenga. Kwa sasa anakula...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mwenyenzi Mungu ananituma kusema; Kama unaweza kumtuma MTU kwenda kuua akakutii, ipo siku MTU huyo atatumwa kukumaliza na atatii;

    Kwa binadamu yeyote miongoni mwetu ambaye anaamini kuishi kwake litakuwa Bora Kwa kuwaondolea mbali na uso WA Dunia wale asiowapenda basi namweleza wazi kwamba; watu wale wale anaowatumia kuwaondolea mbali wenzake ndio hao hao watakaotumika kumwondoa yeye au familia yake. Watu wale wale...
  9. Desierto

    JamiiForums Tanzania Umewahi ishi na mtu ambaye akilewa ni Kiingereza tu?

    Kuna bwana mmoja nilikuwa naishi naye maeneo ya Msasani beach, akiwa hajalewa hajui kabisa Kiingereza ila akinywa anasahau kabisa Kiswahili!
  10. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua dawa ya kumfanya mtu ajiamini

    Yaani kiujumli hili tatizo la kutojiamini limenianza toka nikiwa mtoto mpaka kufikia sasa japo nahisi limepungua kidogo labda kutokana na kukutana na watu wa tofauti tofauti kila wakati. Kwa mfano kuna kitu nimewahi buni nikapeleka shuleni veta nikaambiwa nikitolee maelezo nilishindwa kabisa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta softwares

    Naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia softwares OS na designing softwares Naomba sana wakuu 0744210614
  12. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Mume wa mtu ananitaka

    Nimetoka tu nje ya geti kununua mafuta ya kupika chakula, nikasikia gari ikipiga honi, kuangalia ni mubaba muzuri ananiulizia wapi kwa fulani, gari kali nyie, ananukia. Eti dada samahani, eti kwa fulani ni wapi? Nikamjibu sijui labda matoyo tuwaulize, anakataa. Nikamwambia haya siku njema...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Sina uhusiano wowote, na sipendi kuhusishwa na mtu anayejiita Kigogo

    Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi TAARIFA KWA UMMA MWENYEKITI Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi anapenda kuuhakikishia umma kwamba hana uhusiano wowote na asingependa kuhusishwa kwa namna yoyote na mtu anayejiita Kigogo katika mitandao ya kijamii...
  14. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Ukristo ni Dini ya AMANI SANA, asikwambie mtu!

    Huu upande una raha sana asikwambie. ukikosea unasamehewa saba mara sabini.. unaingia kanisani Hata mara 1 kwa mwaka and no one cares.. Hakuna kufuatiliana hata ukibadili msimamo wako wa kidini na kwenda kwingine, ukirudi unapokelewa vizuri tu Mkristo kipindi cha mfungo hakuna purukushani za...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

    Mimi ilikuwa hivi, Ilikuwa kama ajali tu. Mimi nilikuwa nasali nae kanisani mume wake engineer kuwepo nyumbani ngumu mtu wa kusafiri safiri kwa hiyo ili mke asiwe mpweke nilikuwa kama namsaidia maana mimi sio mchoyo akija anaendeleza 🤣🤣 akitoka namfanya mke wake asitoke kwa wengine ila Mimi tu...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Sifa ya wanawake kuwa wepesi kutoa penzi siyo kwa kabila zima bali ni tabia ya mtu binafsi, Tuache kujumuisha tabia hii ionekane ni ya wote

    Huwa nashangaa sana watu wenye akili finyu wana mawazo ya kizamani kwamba mabinti wote wanaotokea makabila yenye asili ya uenyeji kwenye mikoa ya Singida, kondoa na Bukoba kwamba wote wana tabia ya kuwa wepesi sana na kugawa kirahisi. Tabia ya mtu binafsi ni yake haiwezi kufanywa kuwa ya...
  17. Shujaa Nduna

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kama mtu amepanda mahindi kwenye eneo langu akidhani ni pake. Nimemwambia ang'oe

    Pale ambapo mtu kavamia na kupanda mti katika eneo la nyumba (uwanja wangu) kwakuwa nasafiri sana. Hata baada ya kumwambia ang'owe akakubali atatoa au kuruhusu hata mimi nitowe lakini baada ya miezi5 hajatowa. Je, mimi niking'oa nitakuwa na kesi?
  18. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Bishoo ni mtu wa aina gani?

    Wasalaam, Kwa wale vijana wa kale yaani 1970s and early 1980S kuna hii sentiment ambayo mtu akiupara (akitupia pamba kwa lungha ya leo) au akiwa namna gani mwenye babes wakali (pisi) na ndinga kali basi anatupiwa neno la bishoo. Utasikia yule kaka bishoo sana, sasa nimekaa hapa natafakari...
  19. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Je, ukifa account yako itaandikwa RIP?

    Usiri wetu unapelekea kimya cha baadhi ya members ambao hatujui waliishia wapi? Walifanya vizuri kwa muda mfano Mpembawise wa kimasihara Swali kwako kunamtu anakujua ukikata moto chap atoe taarifa ili tukutambue kama marehemu tusije mention mtu ambaye hatokuja kuwepo Binafsi sina ila ndio...
  20. USSR

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari

    Kuna taarifa za ndani juu ya ajali ya Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange kupata ajali ambapo inadaiwa ameumia sana. UPDATE Jioni hii makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefika hospitali ya mkoa Dodoma maarufu kama General hospital kumjulia hali naibu waziri wa TAMISEMI (afya) Dk...
Back
Top Bottom