Huwa unamchukuliaje mtu anayekuandikia ujumbe kwa herufi kubwa?

Raymanu KE

JF-Expert Member
Jan 20, 2022
6,819
12,569
Suppose someone sends you a lengthy message in capital letters, how will you respond/react to it?

Binafsi huwa nachukia sana kuona mtu amenitumia ujumbe kwa herufi kubwa. Yaani hiyo ni sawa sawa na mtu kukusiztizia (stressing) kwamba lazima uusome ujumbe wake na kuutilia maanani.

Watu wanaoandika jumbe kwa herufi kubwa mara nyingi huwa nawaona kama malimbukeni waliotukuka, na nilishajiapia kwamba I shall never give a damn to a capital - lettered information in anyway whatsoever nor reply back to it.

Kwani ukiandika tu kwa herufi ndogo ina maana ujumbe wako hautaeleweka. Ni majina ya watu na sehemu (nouns) pekee ndio yanaweza kuandikwa kwa herufi kubwa ila sana sana mwanzoni mwa kila jina, I mean only the first letter should be written in capital bt the rest in Lower case form.

For your information, if you want me to respond/reply positively to your message, you must write it in lowercase form.
 
Wengine si wajuzi sana wa simu,ile kubadilisha input style kuanza na herufi kubwa au ndogo tu,wengine uvivu,wengine mazoea,wengine hupenda tu,wengine haina umuhimu sana kwao.

Jizuie,usikwazike na kitu kidogo kama hicho,ni hali tu tofauti ambayo wengine wanayo,kama wewe ulivyo tofauti katika hali vingi na watu wengine.

Kama umeelewa alichoandika inatosha.
 
Nimekuelewa mkuu
 
Suppose someone sends you a lengthy message in capital letters, how will you respond/react to it?

Binafsi huwa nachukia sana kuona mtu amenitumia ujumbe kwa herufi kubwa. Yaani hiyo ni sawa sawa na mtu kukusiztizia (stressing) kwamba lazima uusome ujumbe wake na kuutilia maanani.

Watu wanaoandika jumbe kwa herufi kubwa mara nyingi huwa nawaona kama malimbukeni waliotukuka, na nilishajiapia kwamba I shall never give a damn to a capital - lettered information in anyway whatsoever nor reply back to it.

Kwani ukiandika tu kwa herufi ndogo ina maana ujumbe wako hautaeleweka. Ni majina ya watu na sehemu (nouns) pekee ndio yanaweza kuandikwa kwa herufi kubwa ila sana sana mwanzoni mwa kila jina, I mean only the first letter should be written in capital bt the rest in Lower case form.

For your information, if you want me to respond/reply positively to your message, you must write it in lowercase form.
nachukulia ananigombeza…ila watu wababu wa wabibi ndo wanatumiaga maherufi makubwa sababu ya macho
 
Suppose someone sends you a lengthy message in capital letters, how will you respond/react to it?

Binafsi huwa nachukia sana kuona mtu amenitumia ujumbe kwa herufi kubwa. Yaani hiyo ni sawa sawa na mtu kukusiztizia (stressing) kwamba lazima uusome ujumbe wake na kuutilia maanani.

Watu wanaoandika jumbe kwa herufi kubwa mara nyingi huwa nawaona kama malimbukeni waliotukuka, na nilishajiapia kwamba I shall never give a damn to a capital - lettered information in anyway whatsoever nor reply back to it.

Kwani ukiandika tu kwa herufi ndogo ina maana ujumbe wako hautaeleweka. Ni majina ya watu na sehemu (nouns) pekee ndio yanaweza kuandikwa kwa herufi kubwa ila sana sana mwanzoni mwa kila jina, I mean only the first letter should be written in capital bt the rest in Lower case form.

For your information, if you want me to respond/reply positively to your message, you must write it in lowercase form.
Na mtu akichanganya tu lugha mbili kwenye maelezo nami napitaga tu
 
Back
Top Bottom