Hello JF,
Unaposhangaa vioja vya jana Kuna watu hushangaa vioja vya Leo na juzi , na wengine hushangaa vyote. Ipo hivi wakati upo na Halima Nyerere square hapa dodoma Kuna Halima mwingine ndani ya Halima katika mwili kabaki ndani amelala, Halima mwingine yupo Chuo Cha mipango yupo discussion na...
Sewa Haji Paroo alijenga jengo la kutoa huduma za afya kwa watu mbalimbali. Picha na Charles Kayoka.
===================
Sewa Haji, soma historia ya mtu alietukuka. Ndie alietajwa katika moja ya wodi ama majengo ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili... Inasadikiwa Hospitali ya Muhimbili ndie...
Ukweli ni kwamba Hayati Magufuli alikuwa anaipenda hii nchi na Ndoto yake ilikuwa na kuifanya Tanzania kama Ulaya.
Bado tunahitaji Rais kama Magufuli.
Mungu ibariki Tanzania.
Sijasoma vitabu vingi sana, lakini alau nimevisoma soma kidogo.
Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita, nimeweza kusoma Vitabu vichache, vikubwa kwa vidogo, vinavyozidi mia nne.
Nimeiona faida yake. Kuna faida sana. Ni CHAKULA muhimu sana cha akili, hakika!.
Mara tu baada ya kuianza hiyo...
Huwa nashindwa kuelewa hili tatizo husababishwa na nini, yaani unakwenda kwenye duka la mtu kununua kitu kama pikipiki au tv lakini mtu yule unaona kabisa kama anaumia roho kukuuzia kitu kile.hii husababishwa na nini wakuu?
Watu ukiwasikiliza story zao zimejaa uongo sana.
Elimu ya zamani na ya sasa hakuna utofauti wowote nasema, maana jaribu kuwaangalia hao waliosoma zamani, ni mambo gani wamelifanyia hili Taifa?
Nchi inakwama kwa kukosa watu wenye akili na fikra pana na sio Elimu, vijana wanalaumiwa bure tu.
Jamani nimeota ndoto nipo kwenye basi akapanda Mzee fulani na kuku, nilipomuangalia yule kuku kumbe alikuwa amekufa. Nikamuuliza mbona umebeba kuku mfu, akawa hana majibu.
Basi abairia wengine wakawa wanampa vipande vya Misaafu kuhusu kibudu, jamaa akagoma kabisa akasema anapelekea familia.😭...
DC Mstaafu Simon Odunga anaandika
Endelea kutabasamu CHUMA, mpaka sasa bado hakuna wa kulinganisha na wewe. Najua hayupo aliyekamilika 100% lakini najua hata miaka 50 ijayo bado itakuwa vigumu kumpata Rais wa watu kama wewe. Ulijitoa Mhanga kwa ajili ya Taifa hili, "Legacy" yako itaishi hata...
Klabu nyingine moja kubwa mara Nne ilishafanya hivi katika Mechi Ngumu za Kimaamuzi na Viongozi wake Maarufu Watatu Kufariki Wiki Moja kabla ya Mechi na Mmoja wa Shabiki wake Maarufu nae Kufariki na walipocheza hizo Mechi zao zote walishinda.
Hivyo basi hata na Wenzao hivi sasa nao Wanahaha kwa...
Mtu yoyote anayesema bingwa keshapatikana naamini bado haujui mpira vizuri, ninaamini bado hajauona ubora wa Yanga. Zipo dakika 90 nyingine za kutetea hiki kilichotokea jana uwanja wa Mkapa.
Njoo nikejeli, nitukane ila Jumamosi utakuja kusema nilitabiri. Naandika hivi nikifahamu vyema home...
Yaani iko hivi mimi hua namwamini mtu yeyote ili mradi tu hajawahi nifanyia ubaya lakini cha kustaabisha watu wabaya siku hizi hawaji tena kwangu yaani wanakuja watu wema tu na hata nikiwafanyia kazi za kudaiana wananilipa kati ya watu 10 ni wawili tu ndo wanaweza kunidhulumu au kusiwepo kabisa...
Suma jkt na tff lazima wabebe lawama hii kulikuwa na haja Gani ya kutumia polisi ..maji ya kuwasha na virungu kwa raia wasio na hatia na viingilio wamelipwa?
Bila shaka hii ndiyo product ya Dodoma University faculty ya political Science.
Mtazameni na msikilizeni mwana CCM tegemewa akijibu hoja za CHADEMA hususani Tundu Lissu.
Nimejaribu kufatilia vijana Kutoka CCM na wazee nimehitimisha kuwa hiki chama kinapendwa na watu wengi wasiojitambua.
Hapa nazungumzia wafuasi wake na sio Viongozi Maana ili Mtu upate uongozi Unaweza weza kuingia Ccm kimkakati ukapata cheo na usiwe mfuasi wa ccm
Hii nchi inahitaji Miaka 100...
Wanawake chonde chonde tupunguzieni kesi na lawama, mko siriazi kweli?
Mke wa mtu analazimisha aje aangalie movie za karate na Judo ghetto kwangu hivi hii ni nini?
Maadili yameenda wapi heshima imeuzwa wapi.
Uchumi wa Dunia uyumbe na umakini pia wa kujiheshimu nao uyumbe.
Tafadhali tuyaepuke...
Habari wanajamii,
Hili suala sasa limekuwa likinitatiza sana na kunipa hofu sana kwa kipindi kirefu mno sana.
Hapo awali nilikua na mahusiano na binti flani hivi na tulipendana sana katika mahusiano yetu, Kila mmoja alimweshimu na kujali hisia za mwenzake hata ilifikia kuamua kuishi pamoja kwa...
Nilichogundua Kama upo na circle ya watu waliofanikiwa Kama ukiwa mtu wa kuwaomba hela Basi Fahamu watakupa bloko au watakuchukulia Kama msumbufu tu.
Yaani haijalishi mtu analipwa sh ngapi au anaingiza sh ngapi usithuhubutu kumjengea mazoea ya kumuomba hela ni hatari Sana. Labda uwe unafanya...
Vs
Unaweza kusema ni mpambano kati ya wanaume 9 (G7 wako 7 + NATO + EU) dhidi ya mwanamume mmoja aliyefungwa mikono (kuwekewa vikwazo lukuki vya kiuchumi)-URUSI. Lakini wanashangaa inakuwaje tumeshindwa kumwangamiza wakati tumemfunga mikono? Wakagundua kichwa hakijafungwa!! akili inafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.