Kuna vipimo vinavyoweza kubaini Mtu ambaye hawezi kuambukizwa UKIMWI?

Kwitogelo

JF-Expert Member
Jan 18, 2023
310
440
Habari za humu ndani?

Kuna mazingira niliyokuwa nayaishi miaka mitano iliyopita hayakuwa mazuri kiufupi nilikuwa nakula matunda kimasihara sana afu bila hata ya kuangalia types za matunda yenyewe(kiufupi watu wenyewe tulikuwa hatuendani kabisa yaani)

Sasa bwana kuna kipindi nilijiendekeza kupitiliza mno. Picha linaanza kuna mdada nilimtongoza akakubali chap,mzee kama kawaida yangu naingia bila hata kinga. Baada ya kumaliza show naona yule dada anajikuna mwilini na kumshika ni vipele sijawahi kuona mpaka nliogopa. Kumuuliza akasema ni alegy,baada ya wiki mbili nikaskia amedondoka na alipopelekwa hospital akakutwa na HIV viruses wamezidi kiwango na ndyo chanzo cha kudondoka. Aisee mm baada ya kuskia nilichanganyikiwa kabisa,sikuwa hata na hamu ya kula. Nilianza kukonda huku nikijiona baada ya mm mwenyewe kuthibitisha yule dada anatoka kuchukua dawa za kufubaza virusi katika kituo kimoja kule nyumbani.

Sikumlaum mtu yoyote na nikajisemea nikikutwa nao nitaishi nao tu kwasababu nilichokuwa nakitafuta nitakuwa nimekipata.

Sasa bwana shetani huwa hachezi mabli na sisi binadamu bwana,siku zilivosogea mbele ile ishu ni kama nikawa nmeshasahau. Nikatongoza dem mwingine na nikamla kavu hivohivo. Baada ya muda kidogo kama miezi sita au saba hivi nikamtafuta yule dem kwa lengo la kutaka utelezi kwa amra nyingine,lakini dem kila nikizunguka anachomoa(yaani hataki).

Kuna siku imepita kama wiki hivi akanipigia akitaka mm nikutane nae. Sasa mm nilidhani anataka tukutane kwasababu labda nilionesha kumchukia sana baada ya kunikatalia utelezi(ukweli nilimchukia sana) nadhani wanume wenzangu mnalijua hili suala la kuaktaliwa na demu.

Jioni nilijiandaa nikaenda kwao yule dem (alikuwa bado anaishi kwa wazazi wake),nilimkuta pale na akanitaka nitafute sehem iliyotulia ana jambo la kuzungumza na mimi. Kuna baa moja kule mtaani kwetu,nikamuuliza kama tunaweza kwenda hapo na akakubali.

Tulivofika hakutaka kugiza chochote zaid ya maji tu. Baada ya kuagiza maji akaanza kuniekeza kwamba mwez mmoja nyuma alikwenda kuchek afya yake baada ya kuona hayupo sawa akakutwa na HIV viruses kwahyo ndyo maana anakataa kila nikimuomba utelezi na hivyo alitaka aniweke wazi na akanionesha na kadi kabisa.

Brothers and sisters,nilianza kutetemeka huku jasho likinitoka mithiri ya mtu anaeumwa malaria kali sanaa kwasababu nilihisi ni mimi ndo niliyemuambukiza kwa kudhani kwamba niliutoa kwa yule mdada niliyekutana nae mara ya kwanza (aliyeniambia an a vipele mwilini kwasababu ya alegy). Yule dada alishituka kuona natoka jasho akaniuliza kwanini nmebadilika ghafra na mm nikajirud haraka ili nisanze kutolea maelezo mengi sana,lakini kiufupi nilianza kjuta kwa kudhani ninmm ndyo nmemuambukiza yule dada na kujihisi kama ni mtu mkosaji mkubwa sana kwa yule dada. Kikao chetu kilimalizika na nilimpa pole nyingi sanaa lakini moyo wangu ukiniuma sana.

Siku zikaenda,miezi na hatimae mwaka ukakata. Wazo la kujua afya yangu lilinijia haraka sana kwa kuhofia homa zisije zikaanza ghafra nikabakia na kilo mbili ikawa kwanza kujidharirisha alafu pili kuidhalilisha familia pia. Nilienda kuchek na hatimae majibu yalitoka negative. Nilienda katika vituo vitatu ili kujiridhisha na majibu ya awali lakini kote ilisoma negative.

Sasa kutokana na mazingira hayo niliyopitia nikajihisi kama na mm ni mmoja ya watu ambao hawawezi kuambukizwa vvu kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zilizofanywa tangu mwaka 1994 (nimeambatanisha na picha maelezo hapo chini kwanini mtu kama huyo hawezi kuambukizwa vvu).

Swali;
Ni je,kuna vipimo vyovyote vinavyoweza kubaini mtu wa aina hyo? Na kama vipo,ni hosptal zipi?
FB_IMG_1681074852129.jpg
 
Oooh yaweza kua ila Ni mungu tu kakuokoa mkuu.
Kuna jmaa yeye alifikia hatua Hadi akasema hatapata HIV Kwa namna alivokula totos nyingi na zingine ni +, hajui kua ni bahati tu haikupita mwezi akaanza kubadilika na kujigundua ni HIV+.

Iko hv Kuna watu wao kwenye Helper T cell zao hawana receptors ambazo ndio zinazo ruhusu virus kuingia ndani ya cell Kisha kuanza Transcription ya DNA ya cell hio.
Zipo receptors kama za aina tatu hv ukikosa moja unakua na aina nyingine.
Sasa basi Kuna watu wanabahati ya kukosa hzo receptors ikiwa ni kama tatzo ila linaloweza kusidia nyakati kama hzi, virus akiingia ndani ya mfumo wa damu anakosa ni njiagani anaingilia ndani ya cell mana hawezi toboa. Hapa ndipo mtu hapati maambukiz labda Mumroge.
 
Shukrani sana
 
Pia lazima kuwe na mbadilishano wa damu baina ya mwenye HIV + na asiekuwa na Positive HIV....
Na ndo maana unaweza ukanyanduana na mwenye positive na usipate kama hujachubuka...

Pia kuna faida kubwa sana kwa wanaume kutahiriwa, hii nayo inasaidia kuufanya uume usichubuke kirahisi na kuweza kupokea Viruses ....
 
Mkimroga ndiyo anapata?
 
Sio lazma iwe damu hata vaginally fluid au semen km mgonjwa hazingatii dawa
 
Mi nadhani nina hiyo kinga au ukimwi ni dhana tu

Mademu ambao nimemega tena sio kidogo yaani unakamu haswa bila zana na wakaja kuumwa wakakonda na tukazika nabikasadikiwa ni ngoma wapo wawili

Huu ni mwaka wa 11 sasa nimeo na nina watoto watatu
Mimba zote wife kapima yupo fresh

Sielewi kabisa haya mambo yakoje

Ila wale mademu ni ngoma live kabisa
 
Back
Top Bottom