Hivi ni kweli Picha ya Yesu ni mzungu halafu picha ya Shetani ni mtu mweusi?

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Jun 20, 2022
1,215
2,992
Yesu ni mfano wa wema na upendo na Mambo mazuri Hilo liko upande wa watu weupe (wazungu)

Shetani ni mfano wa dhambi, roho mbaya na mabaya yote yapo upande wa mtu mweusi (Africa)

White people (wazungu) wanatuchklia katika upande wa shetani mtu mweusi (Africa) ni kiumbe chenye roho mbaya, laana,umaskini, ujinga, na maradhi, vita, hatupendani, watumwa.
Ndo Mana wanamfanya kila mbinu kutuletea vitu vya ajabu ili waharibu kizazi chetu.

Muda mwingine Dini nazo zipo kibaguzi.

Don't take it as a picture, take it for reality, it's true?

Naomba kuwasilishaa.

images (23).jpeg
images (24).jpeg
 
Kwenye Uislamu ,Waarabu walijipendelea wao wenyewe kuanzia kuturidhisha mavazi yao, vyakula, vyao, majina yao na tamaduni zao kiujumla

Kwenye Ukristo Wayahudi walijipendelea wao wenyewe kuanzia kuturidhisha mavazi yao na hasa Ukristo ulivyoenea Ulaya, vyakula vyao, majina yao na tamaduni zao

Kwa kuwa waliandika vitu vilivyoaazunguka hivyo sishangai,kwani kule kwao hakuna mtu mweusi.
 
Kwenye Uislamu ,Waarabu walijipendelea wao wenyewe kuanzia kuturidhisha mavazi yao,vyakula ,vyao,majina yao na tamaduni zao kiujumla

Kwenye Ukristo Wayahudi walijipendelea wao wenyewe kuanzia kuturidhisha mavazi yao na hasa Ukristo ulivyoenea Ulaya,vyakula vyao,majina yao na tamaduni zao

Kwa kuwa waliandika vitu vilivyoaazunguka hivyo sishangai,kwani kule kwao hakuna mtu mweusi
Uko fact mkuu
 
Back
Top Bottom