Kila mtu ana namna anapata hisia (nyege) ili ashiriki tendo, kuna namna nyingine huwa ni magonjwa ya afya ya akili na hamjui. SOMA

Bonge La Afya

Member
Dec 19, 2016
31
71
Leo utayafahamu haya magonjwa ya afya ya akili yanayoitwa Paraphilic disorders.

Haya magonjwa pia uhusisha matamanio ya kingono ambapo mtu hupata hisia (nyege) katika hali ambayo sio ya kawaida aidha kwa mawazo, vitu au tabia fulani ambazo zinaweza kumletea madhara au kumuweka katika hatari ya madhara Zipo hali tofauti katika kundi hili.

Acha tuanze kuzichunguza.

Fetishistic disorder au fetishism ni pale mtu anakua na hisia kali au matamanio ya kushiriki tendo na vitu visivyokua na uhai, mfano ni vitu kama midoli, viatu, nguo n.k au inaweza kuwa sehemu za mwili (mfano miguu, matiti, makalio)

Exhibitionistic Disorder au Exhibitionism ni ugonjwa wa afya ya akili ambapo mtu anakua na hamu ya kuonesha sehemu za siri za mtu mwingine aidha kwa kupiga picha na kurusha kwa umma (public) au hata kumvua mtu hadharani ili watu wote waone.

Frotteurism yenyewe mtu huwa na hisia kali, matamanio yasiyo ya kawaida au tabia ya kujiridhisha mwenyewe kwa kujishika au kusugua sehemu za siri dhidi ya kitu fulani (sio kama wanavyofanya wanaosagana), hapa inakua dhidi ya object mfano sink la choo, benchi la kukalia, mto n.k

Sexual mesochism disorder, ni hali ambapo mtu hupandisha hisia pale tu anapofanyiwa kitendo fulani mfano kwa kupata maumivu fulani kama kupigwa, kuteswa au muda mwingine hata kudharirishwa yeye ndio hisia zinapanda. - Spanking au whipping (kupigwa makofi makalioni au mijeledi)

Voyeuristic disorder mtu anakuwa na matamanio ya kuona wengine ama wakiwa uchi au wanashiriki tendo, hawa ni wale wazee wa chabo. Chabo ni ugonjwa wa afya ya akili, yani raha yake ni kuona watu wakiwa wanafanya yao, au wanavua nguo, wanaoga ili aone tu utupu wa mwingine.

Pedophilia au pedophilic disorder, hawa sio wageni katika jamii, ni pale mtu mzima anavutiwa kingono na watoto wadogo. - Mtu mzima anapandwa na hisia za kingono akimuona mtoto mdogo.

Sexual Sadism Disorder ni pale mtu ili apandishe hisia ni lazima asababishe maumivu, amtese au kumdharirisha mtu mwingine. - Ni tofauti na Sexual mesochism disorder ambapo yeye ndio inabidi afanyiwe vitendo hivyo, hapa yeye ndio anataka afanye kwa wengine kupandisha hisia zake.

Zipo nyingine kama coprophilia (unavutiwa na kinyesi), necrophilia (unavutiwa kufanya mapenzi na maiti), urophilia (unavutiwa na mkojo wa mtu), au kuvutiwa kushiriki tendo na wanyama (zoophilia).

However, kuwa na tabia au hali moja au zaidi kati ya hizi haimaanishi una ugonjwa wa afya ya akili bali pale tu ukiona; - Ni intense, inakupata zaidi ya kawaida mpaka inasababishwa kukwama kwa baadhi ya shughuli au majukumu yako au inakuletea madhara.

Ahsante.
 
Source ya haya mambo ni hamu za kufanya penzi kwa mhusika mwenyewe na mwitikio wake pa1 na mazingira kama siku akijiridhisha wakati wa kuoga akienda kuoga atafanya icho kitu kama kuna siku alitumia mdoli na akajiridhisha kila auonapo ule mdoli hisia zitampanda au kama huwa anatumia simu kuona picha za kusisimua hamu kila ashikapo simu hisia zitamjia anaanza kukumbuka anavyovionaga na kuvitafuta hii inaitwa ( Technolophism) yote ya yote mungu kumnyima mwanamke hisia alikuwa na kusudi la kuokoa wanaume kwa matatizo yanayotokana na kushiriki tendo au kujiridhisha mara kwa mara katika mwili wa mwanaume hiki kitendo sio kizuri kina madhara makubwa sana
(Masterbation addiction)
Uraibu wa punyeto ndo mambo kama haya
 
Sexual masochism naona ipo kwa wanawake japo sio sana ni pale wanaofanyiwa vitendo vya kingono kwa njia ya ambayo ni kama kukomoana , mfano wengine wanapenda wafanywe kwa nguvu kiasi kwamba inaweza pelekea madhara, au kufanyiwa vitendo vitu va kidhalilishaji mfn. Kutukanwa ,kufungwa kamba au pingu wakati wa kungonoka n.k
 
No spanking on the wenches ... Hii kauli ilikuwa inatumika sana huko uingereza kwenye baadhi ya vilabu vya pombe miaka ile ya zamani sana. Nimeielewa baada ya kusoma huu uzi
 
Kwenye hitimisho nilitegemea ungeandika fani yako Ili tujue credibility ya haya uliyoandika
 
Leo utayafahamu haya magonjwa ya afya ya akili yanayoitwa Paraphilic disorders.

Haya magonjwa pia uhusisha matamanio ya kingono ambapo mtu hupata hisia (nyege) katika hali ambayo sio ya kawaida aidha kwa mawazo, vitu au tabia fulani ambazo zinaweza kumletea madhara au kumuweka katika hatari ya madhara Zipo hali tofauti katika kundi hili.

Acha tuanze kuzichunguza.

Fetishistic disorder au fetishism ni pale mtu anakua na hisia kali au matamanio ya kushiriki tendo na vitu visivyokua na uhai, mfano ni vitu kama midoli, viatu, nguo n.k au inaweza kuwa sehemu za mwili (mfano miguu, matiti, makalio)

Exhibitionistic Disorder au Exhibitionism ni ugonjwa wa afya ya akili ambapo mtu anakua na hamu ya kuonesha sehemu za siri za mtu mwingine aidha kwa kupiga picha na kurusha kwa umma (public) au hata kumvua mtu hadharani ili watu wote waone.

Frotteurism yenyewe mtu huwa na hisia kali, matamanio yasiyo ya kawaida au tabia ya kujiridhisha mwenyewe kwa kujishika au kusugua sehemu za siri dhidi ya kitu fulani (sio kama wanavyofanya wanaosagana), hapa inakua dhidi ya object mfano sink la choo, benchi la kukalia, mto n.k

Sexual mesochism disorder, ni hali ambapo mtu hupandisha hisia pale tu anapofanyiwa kitendo fulani mfano kwa kupata maumivu fulani kama kupigwa, kuteswa au muda mwingine hata kudharirishwa yeye ndio hisia zinapanda. - Spanking au whipping (kupigwa makofi makalioni au mijeledi)

Voyeuristic disorder mtu anakuwa na matamanio ya kuona wengine ama wakiwa uchi au wanashiriki tendo, hawa ni wale wazee wa chabo. Chabo ni ugonjwa wa afya ya akili, yani raha yake ni kuona watu wakiwa wanafanya yao, au wanavua nguo, wanaoga ili aone tu utupu wa mwingine.

Pedophilia au pedophilic disorder, hawa sio wageni katika jamii, ni pale mtu mzima anavutiwa kingono na watoto wadogo. - Mtu mzima anapandwa na hisia za kingono akimuona mtoto mdogo.

Sexual Sadism Disorder ni pale mtu ili apandishe hisia ni lazima asababishe maumivu, amtese au kumdharirisha mtu mwingine. - Ni tofauti na Sexual mesochism disorder ambapo yeye ndio inabidi afanyiwe vitendo hivyo, hapa yeye ndio anataka afanye kwa wengine kupandisha hisia zake.

Zipo nyingine kama coprophilia (unavutiwa na kinyesi), necrophilia (unavutiwa kufanya mapenzi na maiti), urophilia (unavutiwa na mkojo wa mtu), au kuvutiwa kushiriki tendo na wanyama (zoophilia).

However, kuwa na tabia au hali moja au zaidi kati ya hizi haimaanishi una ugonjwa wa afya ya akili bali pale tu ukiona; - Ni intense, inakupata zaidi ya kawaida mpaka inasababishwa kukwama kwa baadhi ya shughuli au majukumu yako au inakuletea madhara.

Ahsante.
Haya masuala yapo, ila nafikiri hii mada ilitakiwa kubeba kichwa cha habari kinachoonyesha kasoro/disorders mbalimbali katika kupata hisia kingono. Kwa jinsi ilivyo inaleta mkanganyiko.
 
Back
Top Bottom