mtazamo

  1. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa jamii kuhusu ushoga kunaupigia chapuo pengine bila kujua

    Mabibi na Mabwana! Siku za nyuma kidogo, kulikuwa na wimbi la kuona kila mtu mwenye mafanikio ni Freemason. Hii ilienda kisha ikapotea, sina uhakika ilipotelea wapi ila siku hizi sio habari tena. Sijui ndo agenda ilishatimilika au ilishakufa! Kwa sasa upepo umegeuka kwa kasi ya kimbunga, kila...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Arsenal atamaliza bila taji msimu wa 2023/24

    Leo ratiba ya UCL imetoka na Arsenal amepangwa na Bayern Munich. Baada ya kuona ratiba hii, nikawaonea huruma mashabiki wa Arsenal kwani wanaenda kumaliza msimu tena bila taji lolote. Arsenal ataanzia nyumbani Emirates kisha kwenda Allianz Arena ambapo huko atakufa nyingi si mnajua Harry Kane...
  3. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Nini mtazamo wako kuhusu hii picha?

  4. UKWAJU WA KITAMBO

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa msanii Balozi juu ya muziki wa hip hop duniani

    Mwanamziki wa Muziki wa Bongo Fleva na Hip Hop Balozi Dola maarufu kwa jina la Dola Soul ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani amesema muziki wa Hip Hop katika nchi hiyo umepoteza uhalisia wake wa mashairi yenye ujumbe wa maisha badala yake sasa wamejikita zaidi kibiashara. Balozi aliyewahi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuelekea mechi Young Africa vs CR Belouizdad

    Kwa hii game Young anaenda kushinda kwa asilimia 100% na belouizdada anajua anakuja kufungwa lkn anakuja kupunguza idadi ya magoli. Kwasababu anajua pia ili kusonga mbele atua ya robo fainali magoli yanaweza kuamua so watacheza kwakujilinda zaidi kupunguza idadi ya magoli na kushambulia kwa...
  6. Buzi Nene

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Misamaha ya matibabu katika vituo vya kutolea huduma za afya ndio chanzo cha huduma kuzorota

    Katika vituo vya kutolea huduma za afya za msingi kwa yaani vituo vyote ambavyo vipo chini ya Tamisemi yani, Zahanati,vituo vya Afya, Hospitali za wilaya kuna utaratibu wa misamaha kwa makundi watoto chini ya miaka 5, wajawazito ikijumlisha na huduma ya kujifungua,na wazee wasio na "uwezo "...
  7. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Kero anazotatua Makonda zinamuhitaji azunguke nchi nzima miaka 60 ijayo

    Mimi ni mtu wa imani, mpenzi wa Biblia na mqmbo chanya kwenye Quran. Kwa upeo wangu hafifu kisiasa nimeangalia malalamiko anayotatua Mh Makonda nimeona anahitaji kuzunguka nchi nzima miaka 60 ijayo angalau hadi 2084 Feb. Kwanini? 1: Matatizo anayoletewa mtu kukatwa mapanga, kunyimwa malipo na...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu Mahojiano aliyofanyiwa Rais Putin

    https://twitter.com/TuckerCarlson/status/1755734526678925682?t=UwfeRAPB-CHAYR0o6V6Jig&s=19 -Putin anajua historia sana -Putin anaendesha ndege ya kiakili juu ya wanasiasa wote wa Amerika -Putin anaonekana kutaka ushirikiano lakini nchi za Magharibi zimeitenga Urusi -Putin hataki kuivamia Poland...
  9. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Kataa Ndoa School of Thought, ni upi mtazamo wenu juu ya Masuala haya?

    Inatambulika dunia kote, toka dunia hii imeanza—haijalishi kwa dhana ya Uumbaji wa Mungu au Evolution ya kisayansi— Baba, Mama na Watoto (Familia), ndio imekua jumuiko la kwanza, kuu na la msingi la wanadamu. Siku hizi kumeshamiri wimbi [si geni kihistoria] la kupinga Uwepo wa Familia ya Baba...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu; Viongozi wenye ushawishi zaidi kwa mwaka 2023

    1. Samia Suluhu Hassan Huyu ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,pia mwenyekiti wa chama cha mapinduzi,chama kikongwe na cheye heshima kubwa sana barani Afrika,taarifa zisizo rasmi zinasema chama hiki kina wafuasi zaidi ya millioni 35 ndani na nje ya mipaka ya Tanzania,kwa mtazamo...
  11. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu juu ya suala la Tanzania kujiandaa kuwafanya watu wake kuwa raia wa Dunia "Global citizen"

    Tanzania inatazamia kuhakikisha raia wake wanatoka nje ya boksi na kushiriki kikamilifu bila kujifungia mipaka juu ya ustawi wa Dunia, yaani Raia wa Dunia. Kupitia jukwaa hili nimetamani sana kutoa mtazamo wangu ambao unaweza pia kuwa ushauri. Lengo ni kuhakikisha ushiriki wetu kama Taifa...
  12. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Dhambi ni mtazamo.

    Wakuu habari za uzima? Kama kichwa cha habari kinavyosema, binafsi naona suala la dhambi ni mtazamo na sio kitu universal standard. Dhambi ni uasi na uasi ni kwenda tofauti na sheria.Na kinyume cha uasi ni UTII. Embu tuangalie mfano wa kabila la banyankole nchini 🇺🇬 Uganda. Banyankole wanakitu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tukio gani lilitokea maishani likabadilisha mtazamo na imani yako?

    Nilipokuwa mdogo, miaka kadhaa iliyopita nilipoteza kamera ya rafiki yangu mmoja aliyekuja kututembelea nyumbani kwetu. Nilikuwa bado mwanafunzi nikiishi pamoja na wazazi. Rafiki huyu aliipata kamera hiyo kama zawadi kutoka kwa ndugu yake aliyekuwa akiishi ughaibuni. Tulipiga picha nyingi naye...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Labda ni mtazamo wangu ila naiona Tanzania ni nchi isiyokua na yenye kuzorota kadri miaka inavyosonga mbele

    Achilia mbali ongezeko la idadi ya watu, Tanzania ni nchi ya ajabu kwenye karibia nyanja zote inachechemea, mfano viongozi wenye kumbukumbu za kitaifa toka uhuru ni mabubu, mazezeta, wanapigwa mkwara na vigedere vya juzijuzi. Taasisi za muhimu zimekuwa machawa, nyanja za uchumi uwezo wa kifedha...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Mpenzi, Mume au Mke akicheat mara moja asamehewe bila kinyongo.

    Wasalaam wana wa Mungu, Kosa au dhambi unayoichukia kwa mwingine basi nawe usifanye kwa maana machukizo mbele ya Mungu ni yale yale. Wanadamu sisi sote tu wana wa Mungu na makosa yote tumeumbiwa sisi, panapo safari iwayo yoyote ikiwemo ya urafiki wa mapenzi kukosana na kukosea ni sehemu ya...
  16. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Wachezaji wengi wa Simba SC wana vitambi na ni goigoi wajiandae kwa aibu kubwa 20.10.2023

    Sina haja ya kuandika maneno mengi itoshe kusema siku ya ufunguzi wa African football league tarehe 20.10.2023, Simba SC wanaenda kupigwa kipigo cha aibu sana. Wachezaji wengi wa Simba SC wana vitambi na ni goigoi wa kutupwa. Watanzania jiandaeni kwa aibu ya kitaifa inaenda kuletwa na Simba...
  17. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa Rais Samia kuhusu Mashirika ya Umma si sahihi

    Serikali ya Samia eti inatazama mashirika ya umma kama uwekezaji wa kibiashara ambapo serikali haistahili tena kuwekeza ila watu binafsi. Msimamo huo sio sahihi kwa sababu mashirika ya kibiashara ya umma yalikwisha binafsishwa yote tangu awamu ya Mkapa. Yale yaliyobakia ni yale ya kimkakati kwa...
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa mtazamo wa ushirikiano kibiashara na nchi nyingine duniani!

    Msimamo na vitendo vya mama Samia, Rais wa JMT, vinaongea zsidi kuliko maneno. Mama Samia kahudhuria kwa niaba ya nchi yetu kongamano za Kilimo, biashara na maendeleo kwa ujumla. Karibuni mama Samia alikuwa Doha kuendeleza ushirikiano katika kilimo na biashara, na sasa yuko India kwa...
  19. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kumbe huu ndo mtazamo wa Wazungu kuhusu watawala nchi za kiafrika?

    Nilikaa sehemu hivi hapa Morogoro sehemu inaitwa Amadia nikisubiri passport size pictures nilizokua nimepiga moja ya studio maeneo haya. Pembeni alikua amekaa Mzungu mzee wa makamo 70 years + kumkadiria. Nikamsalimia na yakaanza maongezi ya hapa na pale. Kuna mambo kadhaa aliongea...
  20. L

    JamiiForums Tanzania China inaiangalia Afrika kwa mtazamo wa ushirikiano wa kunufaishana

    Ulimwengu unakubali kuwa Afrika ni bara lenye utajiri mkubwa wa asili ambao bado haujatumika ipasavyo, nchi ya China imekuwa karibu mno na bara hili na kujenga uhusiano mwema hasa katika uwekezaji na ushirikiano wa kiuchumi. China imekuwa nchi ya kwanza duniani inayoamini kwamba njia pekee ya...
Back
Top Bottom