mtazamo

  1. Petro Masunga

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mtazamo wangu...

    Mapungufu ya mtu, yanaonekana katika ubinadamu wake, kwa kile anacho kifanya, hata hivyo tuna uwezo wa kufanya yote, kuwa makamilifu bila ya kurudia makosa yoyote. Jifunze. Unapotaza mapungufu ya mtu, fanya bidii sana wewe kuyasawazisha mapungufu yake, na huu ndiyo uwajibikaji. Hivyo uwajibikaji...
  2. Mhina Martin

    JamiiForums Tanzania TAFADHARI PITA HAPA KWA MAONI MTAZAMO NA USHAURI.

    Mimi nimuajiriwa wa Kijijini chenye idada ya Watu 2300 ,shughuli zao kubwa ni kilimo cha mahindi Kwa Sana maharage Na Mpunga kidogo ,zao la mkonge limetawala baadhi wazee wanapga pesa za mkonge so hichi kijijini kilikuwa hakina umeme muda, Ila kwa sasa tangu May 2 Tanesco wameanza Kazi kuleta...
  3. marehem x

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Rais bado unatembelea mvuke wa mtangulizi wake

    Nisikuchoshe, Nimeona waziwazi maisha yalivyo mambo ni kama ya mwendazake, pamoja na muendelezo wa alipoishia hayati, bado hujapindua changamoto, kuna kufeli maeneo mengi. Zaidi na zaidi unatumikia bahati njema alizoziacha jamaa yule. Mbaya zaidi wahuni na wajanja wamekurubuni. Wanakula...
  4. MWANAFIKRA WA KIMKAKATI

    JamiiForums Tanzania Ni upi mtazamo wetu Wanaume juu ya mwanamke?

    NibupibUkimtazama mwanamke unamuonje kwa mtizamo wako? Sisi kama wanaume na wanawake Wana mtazamo Gani juu yetu?
  5. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa wazungu mambokale kuhusu maadili asilia

    Mchoro wa mtu anayefanya udadavuzi wa fikira Na Dkt. Ada LOVELACE, Pambazuko Toleo Na. 0031 1. Usuli Maadili asilia ni kanuni za kuongoza tabia za watu zinazopatikana kutokana na kuangalia maumbile ya watu wenyewe yanataka wafanye nini kusudi waweze kubaki wazima na kustawi hadi ukomo wa juu...
  6. T

    JamiiForums Tanzania A way forward: Mtazamo wangu juu ya Elimu ya sekondari ya juu(A-Level) na Elimu ya ufundi(VETA)

    Kipekee kabisa nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya siku nyingine mpya katika maisha yetu. Pia, nichukue nafasi hii kumpongeza Katibu mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo kwa ushauri aliotoa juu ya wahitimu kwenda VETA kupata ujuzi wa kujiajiri. Ni ushauri mzuri na wenye kutoa picha kubwa ya...
  7. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu siasa za Rais Samia, Je CCM ipo tayari?

    Good morning members. Heri ya siku ya wanawake. Ukiangalia Kwa jicho la kawaida kabisa ni kwamba Mh. Rais ana ndoto ya kuona siasa za bara na Zanzibar zinakuwa Sawa 2025. Inaonekana Rais anataka kuona Serikali ya umoja wa kitaifa ikiundwa baada ya uchaguzi mkuu 2025. Kwa kwenda mbali zaidi...
  8. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Serikali ina mtazamo gani kwenye matukio haya kwa watoto?

    Habari zenu Kumezuka tabia ya wazazi au walezi kufungua akaunti za mitandao ya kijamii huku walijipatia umaarufu kupitia video za watoto wao. Kwangu mimi si busara mtoto kumuingiza katika dunia ya mitandao wakati bado anahitajika kusoma na kujifunza mambo mengi lakini kinachotokea wazazi...
  9. Independent Prosecutor

    JamiiForums Tanzania Mtazamo juu ya vijana wa sasa

    Ninawaza ni jinsi gani maisha yamebadilika na kwa jinsi ninavyokaa na vijana kuwasikiliza mawazo yao, ninapata majibu kuwa miaka 10 ijayo kutakuwa na ongezeko kubwa la watoto wa mitaani na vifo kutokana na changamoto ya Afya ya akili vitaongezeka sana.
  10. Analyse

    JamiiForums Tanzania Vijana wasasa, bikra tunazichukulia tofauti sana kulinganisha na enzi za wazee wetu

    Inapotokea kwenye mahusiano kuna sintofahamu ya aina yoyote, hapo ndio strength ya bond huwa inapimwa. Mengi hutokea, usaliti, dharau, uongo n.k ambavyo vinaweza pelekea uhusiano kuvunjika. Na panapotokea mgogoro mzito sana, yule aliyekosewa huwa na option mbili, asamehe au achukue hamsini...
  11. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu Mpya wa TISS, Said H. Masoro, na Mtazamo wangu

    Pengine huu ni mwanzo mpya wa mageuzi ya Idara ya Usalama wa Taifa. Mabadiliko haya ya uongozi yana maana kubwa sana kwa Idara yetu, ni matumaini yangu kwamba mabadiliko yatakwenda mbali zaidi kuguza muundo wa idara, mfumo wa idara, sheria na kanuni za idara ili kuendana na ulimwengu mpya wa...
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Matokeo ya vita Urusi-Ukraine ni Marekani kuitawala Dunia kikamilifu

    Nionavyo mimi 1: Kwa hatua ya sasa, anaweza kushambulia popote na chochote ndani ya Russia kupitia mgongo wa Ukraine bila Russia kumjibu moja kwa moja. Mfano Mashambulizi na milipuko ya kigaidi ndani ya Russia kila kona. 2: Vita inaidhoofisha Ulaya huku US iliyo mbali kabisa na Vita ikiwa na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Goli la Messi: Uchambuzi na utangazaji wa soka ni jambo lisilo na misingi ya kuzingatia bali ni kila mtu na mtazamo wake

    Katika mechi inayoendelea muda huu, mshambuliaji Messi kafanya kazi ya ziada iliyopelekea Argentina kupata bao la kuongoza baada ya kutoa pasi nzuri kwa mfungaji. Kazi kubwa aliyofanya Messi ingefanywa na mchezaji mwingine, sifa zingeenda kwa mfungaji wa bao(mmaliziaji) na sio alietengeneza...
  14. Gaddaf i06

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu mrefu wala mfupi, ni mtazamo wako tu

    Habari, Nimeleta mada hii makusudi kabisa, karibuni wale mnaojiita warefu, ruksa kutuma bomu lolote[emoji4] Mimi naamini hivi: kujiona mrefu/mfupi inategemeana na mtu uliejilinganisha nae. Huko nyuma nimesema hivi, umbo la mtu linaweza kufanya mtu aonekane mfupi (hasa watu wanene) hata kama...
  15. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa na mtazamo gani kuhusu kuzika

    Habari za mchana Naenda direct kwenye mada Ulikuwa na mtazamo gani kuhusu kuzika na mala yako ya kwaza kuzika hilikuwaje Mimi nilikuwa najua mtu akizikwa basi anakutokea usiku unapolala Nakumbuka mara yangu ya kwaza kwenda kuzika nilikuwa darasa la tano mwezetu alifiwa na baba yake kwaiyo...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania ‘Mwanaharakati’: Msamiati uliopewa mtazamo hasi - Tunahitaji mgongano wa kimawazo ili Nchi iweze kusonga mbele

    ‘Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati. ‘(2) Kila raia anayo haki ya...
  17. Bengal

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kwa wana JF kwenye ushiriki wa mijadala ya kitaifa

    Habari wanajukwaa, ni muda kidogo nimeshuhudia mabadiliko katika namna ya uchangiaji wa hoja, hasa zaidi zile zinazogusa maisha ya kila siku ya Mtanzania, hili linanipa hofu, kuwa huenda zile sheria za mwendo kasi, zimeshika nafasi kiasi cha hata jukwaa lililojipambanua kwa weledi linaangaliwa...
  18. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Jamii na mtazamo hasi kuhusu kuoa/kuolewa

    Ningependa kuwakaribisha wadau wote wa Jamii Forums mtakaopendezwa kushiriki katika huu mjadala wenye maswali/changamoto kadhaa zenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu. Awali ya yote ningependa kufahamu haya kuhusu mtazamo wa jamii kuhusu kuoa au kuolewa kwa vijana wa kuanzia miaka 30 mpaka 40 na...
  19. Sijali

    JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wako, tunaendelea au tunarudi nyuma?

    Vigezo vya maendeleo vikiwa: Pato la mtu binafsi. Lishe, angalau milo miwili yenye virutubisho vyote kwa watu wa mjini, mitatu mashambani. Urahisi wa kupatikana elimu inayokidhi na huduma za afya angalau za msingi (basic health services) Maji safi, umeme, angalau kwa 50% ya Watanzania...
  20. Mtini

    JamiiForums Tanzania Nabi na Yanga wamefanya wameleta mtazamo tofauti na uliozeleka africa

    Moja ni kitu kinachoboa katika timu za africa ni kukomaa na ushindi wa nyumbani pekee. Africa imekuwa na utamaduni huu kwa muda mrefu sana, silaha ya timu za Africa ni ushindi wa nyumbani tofauti na timu za ulaya. Kanuni ya africa ni ugenini paki basi, komaa nyumbani. Kitendo cha Yanga...
Back
Top Bottom