Vitu vingi umevipa ubaya na kuvilaani kwa sababu ya mtazamo wako lakini havina huo ubaya uliovipa.
Inawezekana vinaweza kubadilika pale unapoamua kubadili mtazamo wako na siyo wewe kuvibadilisha.
Behaviour ya Kiboko ya Wachawi kuwakejeli victim wake inatoa taarifa moja tu kuhusu hali ya kiakili ya kiboko ya Wachawi. Amechanganyikiwa. Inaweza kuwa ni kazi ya Mungu mwenyewe au kazi ya miungu wa victim wake (probably walienda kulalamika kwenye madhabahu zao)
Pia inaweza kuwa kazi ya...
Mkakati wao wa kushinda mechi ya leo ulianzia airport jana, sisi tunaojua fitna za nje tuliona, hakuna aliyeona hii, mganga wao aliwaambia mechi vs Kagera ni ngumu cha kufanya pale airport kila mtu atoke kwake kivyake mkutane pale, msipande basi la pamoja, mitego inaanzia airport, ndo maana kila...
Hii ngoma iliyokutanisha manguli wa muziki wa Rap hapa Tanzania Kwa miaka hiyo kiukweli ilipikwa,ikasukwa na ikasukika ki kwelikweli!
Kiukweli ninayo Jeuri kusema ya kwamba "Kama Kuna mtu anadhani Kuna ngoma Kali kuizidi hii naomba aiweke hapa na nitampatia Tsh 100,000/=
Hii ngoma iliachiwa...
Habari za Leo Waungwana. Nawasilisha hoja yangu kama ifuatavyo.
Hivi sasa kila mtu anadai hoja, anasema wengine hawana hoja, ukitoa maoni unaambiwa hauna hoja. Binafsi sielewi kwamba wanao dai hoja wanamaanisha au wanapuuza yaliyosemwa kwa excuse ya kukosa hoja?
katika namna ya pande mbili...
IKISIRI
Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha mawazo yaliyo katika fikra za binadamu. Kwa mujibu wa Mulokozi (2017), anaianisha aina tatu za Sanaa ambazo ni sanaa ghibu (Muziki na mashairi), sanaa za maonesho (uchoraji, ususi na ufinyanzi) na Sanaa za vitendo (maigizo na tamthiliya). Katika andiko...
Wanasubiri tufungue accounts za benki kwao (Ulaya) ili siku moja watwambie fanyeni hiki, fanyeni kile, vinginevyo tunawafungia. Sisi hatujali… Hatuna accounts huko na hatuhitaji kuwa na accounts… Hatuna chochote huko na haitokaa itokee tukamiliki chochote huko.
Kila tunachokifanya ni kwa ajili...
Matumizi ya Akili Bandia (AI) yanatarajiwa kuwa sehemu muhimu ya nguvu za kiuchumi na kijeshi duniani katika siku za usoni. Ushindani wa matumizi haya ya teknolojia umeifanya Marekani ianze kudhibiti mauzo ya nje kwenye chip za hali ya juu, na kuiondolea uwezo China wa kupata chip za hali ya juu...
Jamii inatakiwa kubadili mtazamo dhidi ya watu wenye ulemavu.
Kwani baadhi ya watu kwenye jamii zetu wanawachukulia watu wenye ulemavu kama kiumbe dhaifu.watu wenye ulemavu kwenye jamii wanoonekana kuwa hawawezi chochote kwenye jamii kitu ambacho sio sahihi
Watu wenye ulemavu sio kwamba...
Ili tuweze kujenga Tanzania mpya katika miaka ijayo inabidi serikali ibadali mtazamo hasa katika suala la elimu licha ya mabadiliko mbalimbali yanayofanywa ili kubadili mtazamo wa vijana ambao ni nguvu ya taifa ikiwemo kuanzisha somo la ubinadamu,
Somo hili lifundishe utu, maadili, uzalendo...
JACKSON MMARI (Taasisi ya WAJIBU): Utafiti wangu niliofanya nimebaini tatizo la Rushwa linaanza na muono wa Mwananchi mwenyewe, mazingira yanaonesha anakuwa hatarini kutoa Rushwa kutokana na mazingira na tabia yake
Huku mitaani kuna tabia nyingi ambazo zinafanyika mtu anakuwa anajitengenezea...
Habari za mda wanajukwaa.
Moja kwa moja niende kwemye mada husika.
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wanafunzi wa elimu ya juu hapa nchi kuwa wamecheleweshewa stahiki zao( fedha za kujikimu) kutoka bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu.
Ifahamike ya kuwa hizo...
Najiuliza sana ni nani aliyeweka huu utaratibu wa kuripoti matukio ya kiuhalifu ?Je utaratibu huu unasaidia nini,?
Lengo la kuripoti matukio haya ni nini?
Nani aliyeweka format ya kuripoti.?
Kwa maoni yangu huu ni utaratibu mbovu na unasiriba haiba za mikoa au wilaya bila sababu ya msingi.
Leo...
Shalom,
Kama mdau wenu mimi Wadiz naandika yafuatayo katika Hali ambayo naamini ndiyo ipasayo katika hoja mbalimbali zenye mashiko na kulinda uhalali wa baadhi ya wenye kukataa kuoa.
Na katika hili sipo hapa kusema msioe bali iwe ni afya kujadili na kutambua haki ya kila mtu kupanga na...
Bila shaka utakubaliana nami kwamba, kwa kipindi Cha hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la comedians Tanzania ukilinganisha na miaka ya nyuma kidogo, zamani comedian wengi walikuwa agego, yaani wenye umri mkubwa kidogo japo hata Vijana wachache walikuwemo.
Lakini ni tofauti kabisa na...
Kwanini wanaojihusisha na biashara ndogondogo (wafanyabiashara wadogo) hasa wajasiriamali wanaonekana kuuza vitu vyenye ubora mdogo hata kama vinafanana na wenye biashara kubwa tena kwa bei nafuu zaidi?
Shalom,
Kwenye injini ya gari ubora wa Piston ndio injini yenyewe.
Maisha ni ladha, raha na utamu nao utamu ni pamoja na kuusikilizia. Sasa Mkataa kuoa kama kuna namna ya kupindua mtazamo basi oa mwanamke mwenye Piston zote 4 (4S) wa umri wa miaka 22-25 juu ya hapo wanaobaki wote ni mabibi...
Habari waungwana Wana jamii forum wenzangu.
Inshu ya vita mashariki ya kati imekaa kimkakati sana. Ukweli ni kwamba mhusika mkuu Bado hataki kujulikana ambaye ni mmarekani, lengo limekwisha julikana. Ambalo kumpiga muiran, lakini Kuna mtu anasubiliwa ambaye mrassia, yeye akithubutu kumsaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.