mtazamo

  1. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu siasa za Tanzania na Rais Magufuli

    Mimi binafsi sina chama, si kwa sababu nataka iwe ivyo, ni kwa sababu sijaona chama Tanzania chenye misimamo nayotaka mimi. Rais Magufuli na Bunge: Kwa mtazamo wangu nadhani si kwamba raisi Magufuli anapinga mhimili wa bunge, hili limedhihirishwa na mkataba alioingia Muheshimiwa Kangi Lugola...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tufahamishane juu ya mtazamo wa wanyama kwa binadamu

    nataka kujua katika akili za wanyama a.k.a ufahamu wao, sisi binadamu wanatuonaje au wanatufahamu vipi..........je, wanatufahamu kama wanyama? wanatuchukulia kama viumbe flani vya ajabu? wanatucheka tumeumbika vibaya? au ipoje ipoje? mwenye ufahamu tafadhali nikiwa kijijini enzi hizo za...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na CCM mpya kwa Tanzania imara: Falsafa inayojenga mtazamo chanya kwa watanzania juu ya CCM

    Tukiwa tumeuanza mwaka 2020, mwaka wenye tukio muhimu la uchaguzi mkuu , uchaguzi unaotazamiwa na wengi kuwa ndio uchaguzi utakaoanzisha mwanzo wa mwisho wa siasa za upinzani hasa wa vyama vya uchaguzi kama Katibu Mkuu wa CCM ndg.Dkt. Bashiru anavyopenda kuviita na muendelezo wa falsafa wa CCM...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu Diamond na Dk. Tulia jana Mbeya

    Jana Dk. Tulia Ackson alimpokea Diamond na Rayvanny Mbeya na baadhi ya mashabiki wa CHADEMA kiliwauma na kuuliza kwanini Mbunge wao Sugu asiwe mgeni rasmi badala ya Dk. Tulia Ackson. Kwanza kabisa Dk. Tulia ni fan wa Diamond na hilo lipo wazi na amekuwa akimsapoti Mondi kwenye kazi zake nyingi...
  5. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Watu milioni 50 wameshakufa mpaka leo hii tangu mwaka uanze

    Watu laki moja na nusu (150,000) hufa kila siku hapa duniani, watu 6300 hufa kila dakika hapa duniani, na kwa mwaka hufa zaidi ya watu milioni 50.
  6. Mr Njovu

    JamiiForums Tanzania Wadau Mwenye ufahamu juu ya gari za Audi a4 tafadhali

    Wasalam aleykum ndugu na jamaa.. twende moja kwa moja kwenye Hoja. Ninavutiwa miaka mingi sana na hizi Audi a4 na mungu akijalia kabla mwezi haujaisha natarajia kuchukua moja beforward. Wenye elewa na hizi gari mnisaidie mawili matatu je ni gari inayomudu masafa marefu kwakua naishi mwanza na...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Hongera Clouds Plus kwa kipindi cha Mtazamo

    Katika vipindi ambayo naviona vinazidi kuwa bora katika runinga ya cloudplus ni kipindi cha mtazamo. Nafurahia maudhui ya kipindi kwani yanaelimisha na kuhabarisha. Na haswa wanavyowaaliaka wachambuzi mbalimbali ambao kiukweli wana uweledi na ujuzi kwa wanayochambua. Ushauri boresheni kwenye...
  8. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Web Developers + multi-item carousel/slider

    Unapotumia multi-item carousel/slider bila kufanya tafiti ili kujua limitation zake pale unapotaka tumia database ku retrieve data na kuzi display kwenye interface basi unaeza tumia nguvu nyingi hatimaye ukaadili muundo wa interface ili kukidhi haja yako hata kama muundo unavutia kiasi gani...
  9. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu : Rais/serikali live imeleta faida kuliko Bunge live

    1: Wananchi wametatuliwa matatizo yao kwa wakati. 2: Watendaji na macontractors wanaofanya kazi na serikali hawana uhakika wa kudanganya na kukwepa mkono wa serikali muda wote. 3: Wabunge wamepata fursa ya kuwa maarufu majimboni kwao kwa uwepo wao huko sio kupitia vipaza sauti vya vya Bungeni...
  10. SANCTUS ANACLETUS

    JamiiForums Tanzania Ndugai na Musukuma: Mungu yupo popote mlipo; hata mkiwa Mbinguni; hamtatumikiwa, mtalazimika kutumikia wala hamtakuwa na Jeuri ya miongozo ya kanuni

    Wataaalamu wa Kufikiri,tujadiliane hivi: Si lazima Mungu awatokeeni Spika Ndugai na Mbunge Msukuma katika maisha yao physically kama ilivyotokea kwa mama Bikra Maria au Zakaria (mzazi wa Yohana Mbatizaji), ili kuwapasha wote hao wawili ujumbe mahususi. Nasema si lazima Mungu afanye hivyo kwa...
  11. SANCTUS ANACLETUS

    JamiiForums Tanzania Raisi Magufuli likatae pendekezo la kuwashughulikia mitume na lile la kujenga makanisa mpaka kwenye vituo vya usafiri wa Mwendokasi.

    Wataalamu wa mawazo na wanazuoni: Inaelekea watu wengine sifa za msingi na Kuu za Mungu hawazijui. Inaelekea kana kwamba baadhi ya dini hazijachukua wala kutenga muda wa kutosha kusoma Falsafa kabla ya kuamua kusoma Teolojia. Ingalikuwa wahusika waliwekeza muda wa kutosha kusoma Falsafa ili...
  12. Jesuitdon

    JamiiForums Tanzania Vatican inamiliki dunia

    KWANZA UKISOMA KWA PC AU COMPUTER NYINGINE IPO BORA KULIKO KWA SIMU Fanya Research yeyote ya underground utagundua All Roads lead to Rome Vatican. Diplomatic roads .Nk Kati ya vitu vilivyo wahi nishangaza kuhusa kanisa Katoliki ni uwepo wa hawa Masister wenye DOWNS SYNDROME sijawahi ona dini...
Back
Top Bottom