mtaani

  1. xavieen

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to you Ryan Conner

    hongera kwa kutimiza miaka 50 tunazidi kukukumbuka kwa wema wako juu yetu hasa vijana unastahili pongezi kubwa sana
  2. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Mtaani ni mwendo wa kupishana na costal za maua tu, tunachimba tunazika

    Habari za Jumamosi Haya mambo haya ndani ya wiki mbili hizi hatujazoea, kupishaha na magari sana sana coastal zenye waombolezaji kiasi hiki, barabarani unaweza kupishana na coastal zilizobeba miili ya wafu zaidi ya 9 kwa siku, hali hii sikuizoea kabisa. Unaweza kujiuliza kuna ajali gani...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya; baada ya pesa kukosekana mtaani watu wameanza batter

    TRA mtasubiri sana tumeamua mwendo wa mali kwa mali.
  4. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Nimebisha sana leo; ni kweli kuna Madaktari mtaani hawana kazi?

    Kuna mtu nilikuwa nabisha nae sana leo, mimi ni muhitimu wa level ya degree kwenye coz zetu hizi ambazo kila chuo ukienda zipo, ila MEDICAL DOCTOR Kiukweli kabisa kutoka moyoni siamini kama kweli kuna mtu amemaliza hiyo course hana ajira, labda mnisaidie wenzangu wa JF.
  5. Ack

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uchaguzi: Uganda magari ya jeshi yasambazwa mtaani

    Huku harakati za uchaguzi zikiendelea majeshi ya uganda na magari yao wameonekana wakipita mitaani leo kama wanaenda vitani kwa nini majeshi huhusishwa na siasa kweli ni sahihi??
  6. R

    JamiiForums Tanzania New Year ndio nimeona faida ya kufahamiana na wahuni wa mtaani

    Habari za mwaka 2021 wadau Twende kwenye mada, nikiwa somewhere nausubiri mwaka mpya nilipata msala nadhani wengi mnajua maeneo unayoishi mtu lazima kunakuwa na vijana wahuni wanaokaa hapo mtaani, hawa watu wakikuzoea sometime ni shida wanaombaomba usipime kila akikuona iwe baa iwe njiani...
  7. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Acha kutumia maneno haya mtaani nii matusi makubwa sana

    Tukumbuke kuwa lugha yoyote imebeba utamaduni wa wazawa wa lugha husika. Na matusi hutofautiana kutoka lugha moja hadi nyingine. Neno ambalo ni tusi katika lugha ya Kiswahili huenda lisiwe tusi katika lugha ya Kiingereza. Pengine umekuwa ukiyatumia kwa ‘kuiga ’, yaani umeyasikia kwenye "movies"...
  8. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu TIGO, AIRTEL, VODA NK. Msiifuate hii amri itatuumiza watumiaji wenu na FL wenu mtaani

    Kwanza naomba kueleweshwa hii ya TCRA kutoa amri na kupanga bei/kupandisha bei katika kampuni binafsi huru ambazo si za kiserikali hii imekaaje, maana sielewi kupitia hili tamko. ====== Mamlaka ya mawasiliano TCRA imeyataka makampuni ya mitandao kulipa kodi adi asilimia 30% ya bidhaa za laini...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wezi na wavuta bangi wamekithiri Kawe Mtoni, tunaomba Polisi mtusaidie

    Niliwahi andika miezi kadhaa, .... Nirudi kwa mkuu wa kituo Kawe, ndugu yangu naomba niwajulishe kuna wizi unatokea Kawe Mtoni na maeneo ya bar za Soweto mpaka kanisa la Victory. Kila siku wamama wanaporwa wanabakwa majuzi tumekuta nguo za ndani njian.... Vigenge vya wahuni mnavijua kule Mtoni...
  10. Mackanackyyy

    JamiiForums Tanzania Hali ngumu sana mtaani, unaweza kuuawa kwa sababu ya Elfu 20

    Tukiacha kundi dogo la Viongozi wa Kisiasa wa Chama kilichojimilikisha madaraka, kwa kweli hali ya maisha kwa Wananchi ni ngumu sana huku mtaani,tuache kuvunga.. Hela hakuna wakuu, Ukitoka nyumbani na sh. laki moja unarudi huna hata sh. 100...bila shaka hali hii hainikabili mimi peke yangu...
  11. share

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mkuu awa ombaomba mtaani baada ya kustaafu

    Mwalimu Losia aliyekuwa mwalimu Mkuu wa shule ya msingi mjini Moroto amekuwa ombaomba mtaani baada ya kumaliza utumishi wa umma.Hakulipwa pensheni yake. Kuna wangapi wa aina hii nchini Tanzania ambao wamekufa kwa stress, wamepooza mwili, na wanasononeka kwa kupata madhila haya? Wengine...
  12. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni wakati gani JWTZ inapaswa kuingia mtaani kushiriki shughuli za kisiasa na kutuliza ghasia?

    Zamani tulikua tunafundishwa majukumu ya ulinzi yalivyogawanyika. Kwa kumbukumbu zangu mgawanyo ulikuwa hivi: 1. Usalama walikua na jukumu la kukusanya kuchakata na kushare taarifa kwa jamii na vyombo vingine kuhusu viashiria mbalimbali vya uvunjifu wa amani au fursa ambazo Kama nchi tunapaswa...
  13. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Hivi Ukiamua kutafuta kazi kwa Mikoa ya Tanzania kwenye makampuni, ofisini, viwandani, mtaani, kwa siku tatu utakosa kweli

    Maana mimi sina kazi na nipo kanda ya ziwa elimu yangu ni darasa la saba mkondo 'B' niseme tu hivyo sababu nina cheti cha primary school sina cha Secondary. Kufika nilifika ila niliishia form two nikaachia hapo kwa sababu ya utukutu wangu acha maisha yanipige tu.
  14. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu akili nyingi, alichokisema kuhusu pesa kupotea mtaani

    Huyu bwana akili zake nyingi sana pamoja na kua na ufahamu mkubwa wa masuala ya katiba na sheria lakini hayupo nyuma pia kwenye kuyafahamu masuala kazima ya kiuchumi. UNAJUA ALISMAJE? Lissu alisema kua pesa zimeadimika mtaani siyo eti kwa porojo za CCM kwamba dili hakuna, alisema kua pesa...
  15. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania JF Scheduled Maintenance - October 2020

    ====== UPDATE: Marekebisho yamefanywa Oktoba 6, 2020 around 23:00hrs na yamechukua dakika 15 ====== Wakuu, Kuna maboresho yanafanyika chini kwa chini, search functionality inaweza isifanye kazi vema kwa siku moja au mbili (tangu jana). Tunatarajia hadi kesho muda kama huu mambo yatakuwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hapa Mtaani CCM hawapo tena siwaoni

    Sio kama siku za mwanzo za mwezi huu wa hekaheka za uchaguzi njano na kijani utafikiri msimu wa maua, ila hivi sasa wanaovaa njano na kijani hapa mtaani wamekuwa adimu sana. Wengi niliokuwa nawafahamu wamebadilika kimawazo na fikra zao sasa zinaona mbali,wamegundua shida na dhiki za maisha...
  17. OLS

    JamiiForums Tanzania Ajira Mpya za Walimu zinaweza kuwaumiza zaidi wasio na kazi kabisa mtaani

    Sio muda mrefu Serikali imetangaza ajira 13000 kwa walimu wa sekondari na shule za Msingi. Jambo hili ni tumaini jipya kwa walimu hasa wale ambao walikuwa hawana 'michongo' tangu wamehitimu elimu zao Nawaza wale ambao wamejichimbia kijijini jinsi watakavyopata 'Bundle cost' (The newest form of...
  18. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba yako unaiita "kakibanda kangu"? Mungu hapendi kujishusha sana. Having too much humility is self destructive

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania jifunzeni kujishusha lakini isiwe too much. Mungu hapendi mjishushe sana. Having too much humility is self destructive; Unakuta mtu alikuwa anaishi katika nyumba ya kupanga vyumba viwili chumba na sebule, lakini kwa...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Siku hizi ualimu ni kazi iliyopoteza heshima mtaani

Back
Top Bottom