Mwalimu Mkuu awa ombaomba mtaani baada ya kustaafu

share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
6,062
10,461
Mwalimu Losia aliyekuwa mwalimu Mkuu wa shule ya msingi mjini Moroto amekuwa ombaomba mtaani baada ya kumaliza utumishi wa umma.Hakulipwa pensheni yake.

Kuna wangapi wa aina hii nchini Tanzania ambao wamekufa kwa stress, wamepooza mwili, na wanasononeka kwa kupata madhila haya?

Wengine wanapata pension ndogo kwa sababu ya kutopandishwa madaraja wakati wanastaafu miaka hii 5?
 
Asilimia 80% ni wasimamizi wa uchaguzi ,,na wamepigwa beat wakibandika matokeo mpinzani kashinda wajiandae Ku suffer
Mnawaonea tu walimu sababu wanazitaka/wanashida na hizo hela za ajira za muda kama msimamizi wa uchaguzi, Ukweli ni kwamba hakuna mwalimu anaeitaka CCM labda kwa wale wachache wanaopiga dili kupitia connection za CCM.

Kituoni kura zitapigwa vizuri tu na kuhesabiwa kwa haki maana mawakala wa vyama watakuwepo. Shida iko kwenye kupata matokeo ya jumla(kujumlisha kura za vituo) hapa mwalimu hata hausiki.
 
Watakuambia mitano tena mtaji wa CCM ulikua watu wajinga ili waendelee kutawala kimabavu na ku exploit Tanzania ila kile kizazi hakipo, kabisa, wamebaki wachache "mabaki, au mazalia, au makapi" na ndio mana wanatumia njia zote hata kwa kuiba kura ili tu waingie madarakani, lakini tunaanza na Mungu tunamaliza na Mungu, CCM walishakufa tunasubiri kuzika tu.
 
Kuna watu wanajiangalia wao tu.

Kura mpeni Lissu tu hao wengine ni kujiongezea ufukara wa kiwango cha 8G.
 
Back
Top Bottom