mtaani

  1. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

    Hatimaye mfalme wa taarabu Alhaji Mzee Yusuph ametangaza rasmi ujio wake kwa mara nyingine kwenye muziki wa taarabu. Kwa kifupi tangu mfalme akae nje ya muziki wa taarabu , muziki wa taarabu ulikosa radha kabisa maana waimbaji waliobaki wanapiga piga kelele tu cha maana wanachokiimba hakuna...
  2. C

    JamiiForums Tanzania OMBI: Serikali idhibiti bei kwenye vifaa vya kujikinga na kupambana dhidi ya Virusi vya Corona

    Tatizo kubwa hapa nchini ni kwamba pale inapotokea janga, mlipuko wa ugonjwa basi wafanya biashara hutumia nafasi hiyo kujinufaisha. Kuna vifaa kama hand sanitizer, medical face masks vimekuwa katika uhitaji mkubwa sana kwa ajili ya kujikinga na virusi vya corona. Serikali kupitia waziri wa...
  3. OLS

    JamiiForums Tanzania Wafungwa wakitumika kulipa madeni ya magereza, walioko mtaani wataajiriwa vipi?

    Leo nimesoma gazeti la HabariLeo, limeandika 'MKUU wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi ametoa wito kwa Jeshi la Magereza Iringa kuruhusu wafungwa wake kuchimba mitaro ya miradi ya maji inayosimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Iruwasa) ili kupunguza deni la zaidi ya Sh milioni 300...
  4. the kind

    JamiiForums Tanzania Mwizi aliekamatwa na vyandarua na kuiba baadhi ya dawa zahanati ya Kerenge yuko mtaani kwa dhamana na kesi bado iko Polisi

    Idara ya afya mlione hili, mwizi ambae alikamatwa na wananchi wa kata ya Kerenge kitongoji cha kilole wilaya Korogwe ambae alikutwa na vyandarua vya zahanati ya Kerenge ambayo ni Zahanati ya serikali yuko huru kwa dhamana na kesi haipelekwi mahakamani tangia tarehe 29/11/2019 mpaka leo hii...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Ukitaka polisi waje mtaani kwako haraka kama kuna tukio

    MKITAKA POLISI WAWAHI KWENYE TUKIO MTAANI AU KIJIJINI KWENU; WAAMBIENI CHADEMA HAWA HAPA WANATAKA KUFANYA MKUTANO TUKIO likitokea huku Mtaani kwetu Siku hizi, huwa hatupati shida kupata msaada wa haraka kutoka Polisi, ni fasta tu wanatia timu eneo husika. Wakishuka tu kwenye Gari wanaanza...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Vituko mtaani kila ukihoji watu wanauliza una Digrii ngapi?

    Wadau,Tanzania kwenu! natumaini hapo ulipo ni kwema, giza likizidi kushika kasi nakutana na watu wanabishana alafu kila mmoja anakomaa yeye anajua, basi ikafuatia muda nasikikia "kwani wewe una jiwe(degree)ngapi?" Nimebaki nastaajabu sana. Ngoja nikapate kahawa kwanza maana nasikia baadhi ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nikioa mke wangu ataongea na nani hapa mtaani?

    Katika mtaa niliyo bahatika kujenga banda langu la kuishi nime-"wachapa" mno wanawake. Si wake za watu, si mabinti za watu wala mabeki tatu, wote nimeburuza Kila anayejibebisha anapata bakora anaondoka. Mtaani kwangu nimebatizwa jina la la utani naitwa "Mashine" Sasa naona kilomita zimesonga...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Chagua CHADEMA upate Demokrasia na maendeleo Mtaani kwako

  9. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Hili la Wakorea kutoa 400,000/-Tshs kwa kila wanandoa Mitaani vipi?

    Wikiendi hii nimerudi Bongo na nimekuja kutembelea Uswahilini kwetu huku Mtaa wa Azimio, Kigogo Luhanga nimepata habari zenye Kiulizo inabidi niulize Wanajamvi humu ndani. Serikali ya Mtaa ya huku Mtaani imekuwa ikiandikisha wakazi wa hapa ( Wanandoa)/ (Wenza wanaoishi pamoja) na kuwapiga Picha...
  10. Kassimu Mchuchuri

    JamiiForums Tanzania Mwambie mdogo wako anaenda shule kusomea taaluma sio kazi, anaweza kusoma uhasibu akawa dobi

    1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi. 2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha. 3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi. 4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara, tena...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Maisha yamekuwa magumu sana mtaani

    Mkuu wetu tumeona jitihada zako kuanzia kutumbuwa kule bandarini na kushughulikia wakwepa kodi,kushughulikia waliovamia viwanja na ubomoaji hapa Dar es Salaam, kuzuiya vibali vya kuagiza sukari nje na kubana matumizi ya serikali.Nadhani ilikuwa lengo ni kuimarisha maisha ya wananchi na kuleta...
Back
Top Bottom