Kama miaka 2 hivi imepita kwa I'd nyingine nilishauri kidato cha sita badala ya kwenda JKT kwa mujibu wa sheria waende VETA kwa mujibu wa sheria ikiwezekana wakae huko mwaka au miezi sita .
VETA watarudi na ujuzi kamili ambao utaweza kuwachallenge mafundi wa mtaani.
VETA cheaper ukilinganisha...
Serikali za mitaa zina wajibu wa kuandaa bajeti, kutunza fedha na kutoa taarifa katika vikao husika na kubandika katika mbao za matangazo kuhusu mapato na matumizi ya fedha kwa kila kipindi cha mwaka wa fedha kinapoisha.
Ni wajibu wa kila mwananchi kufuatilia taarifa hizo ili kulinda maendeleo...
Mtaani kwetu maji yamekatika week ya 2 sasa. Inasemekana lkn eti, baada ya mh rais aliyepita kuondoka kuna watu washaanza michezo ile ya zamani ya kukata maji ili wawe wanauza kwenye maloli!
Hebu tuambie kama na mtaani kwenu maji yamekatwa kwa muda mrefu. Huwezi jua labda mama ataliona kisha...
Maalim ni mwanasiasia mkongwe Mwenyezi Mungu marehemu, hajawahi kusakamwa na kauli za wanachama wake wala wapinzani wake licha ya kuwa mwanasiasa wa muda mrefu. Tuna la kujifunza hapa.
Katikati na mwishoni mwa awamu ya JPM
1: Ninashangaa kuona mtaani watu wanajenga nyumba hadi wanahamia bila kupumzika.
2: Jamaa wamefungua mahardware,maduka ya madawa, salooni kali, Bucha, Bar, carwash na nyumba za kulala wageni.
3: Vituo vya bodaboda viwili vikubwa ambavyo miaka mitatu...
Tanzania ni nchi ambayo tumependelewa na Mungu. Nchi ambayo wananchi wake ni wapole na taasisi zake ikiwemo idara ya ujasusi na vyombo vya usalama ni imara mno na ambavyo haviwezi kuruhusu mtu yeyote wa mamlaka na cheo chochote achezee hatma njema ya nchi yetu.
Ukifanya hivyo, wananchi wa...
Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.
Kesho (30-03-2021) saa 4 asubuhi ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana.
Tulifanya written Interview tukiwa watu 20, tumechujwa na kubaki 9 ambao kesho ndio tunapambania...
Jamaa mmoja huko SA amebadilisha kabisa maisha ya mwanamke mmoja kijana---yaani kile ambacho wazungu wanaita u-turn. Alikutana na mwanamke huyo mtaani akiwa mchafumchafu akamuomba rand 50 kwani alikuwa na njaa sana.
Badala ya kumpa hela akale akambeba na kwenda naye nyumbani akamuogesha...
Ni kawaida kwa watanzania walio wengi kuona suala la kawaida kama halijamgusa moja kwa moja. Hali hii iko hivyo kwa baadhi ya maeneo hapa nchini
Je, hali ikoje kwenye mtaa wako?
Watu wanachukua tahadhari au wanapuuzia ugonjwa?
Je, unachukua hatua yoyote kuwaelimisha zaidi?
Suala la ajira limekuwa ni kilio kwa makundi yote katika jamii hasa wenye vipato vya chini ikiwemo wenye ulemavu wa aina mbalimbali na wasio na ulemavu pindi wanapohitimu elimu zao ama ngazi ya cheti hadi shahada hasa katika utawala huu wa serikali ya awamu ya tano.
Tumesikia kauli mbalimbali...
Habari za Jumamosi
Haya mambo haya ndani ya wiki mbili hizi hatujazoea, kupishaha na magari sana sana coastal zenye waombolezaji kiasi hiki, barabarani unaweza kupishana na coastal zilizobeba miili ya wafu zaidi ya 9 kwa siku, hali hii sikuizoea kabisa.
Unaweza kujiuliza kuna ajali gani...
Kuna mtu nilikuwa nabisha nae sana leo, mimi ni muhitimu wa level ya degree kwenye coz zetu hizi ambazo kila chuo ukienda zipo, ila MEDICAL DOCTOR Kiukweli kabisa kutoka moyoni siamini kama kweli kuna mtu amemaliza hiyo course hana ajira, labda mnisaidie wenzangu wa JF.
Huku harakati za uchaguzi zikiendelea majeshi ya uganda na magari yao wameonekana wakipita mitaani leo kama wanaenda vitani
kwa nini majeshi huhusishwa na siasa kweli ni sahihi??
Habari za mwaka 2021 wadau
Twende kwenye mada, nikiwa somewhere nausubiri mwaka mpya nilipata msala nadhani wengi mnajua maeneo unayoishi mtu lazima kunakuwa na vijana wahuni wanaokaa hapo mtaani, hawa watu wakikuzoea sometime ni shida wanaombaomba usipime kila akikuona iwe baa iwe njiani...
Tukumbuke kuwa lugha yoyote imebeba utamaduni wa wazawa wa lugha husika. Na matusi hutofautiana kutoka lugha moja hadi nyingine. Neno ambalo ni tusi katika lugha ya Kiswahili huenda lisiwe tusi katika lugha ya Kiingereza.
Pengine umekuwa ukiyatumia kwa ‘kuiga ’, yaani umeyasikia kwenye "movies"...
Kwanza naomba kueleweshwa hii ya TCRA kutoa amri na kupanga bei/kupandisha bei katika kampuni binafsi huru ambazo si za kiserikali hii imekaaje, maana sielewi kupitia hili tamko.
======
Mamlaka ya mawasiliano TCRA imeyataka makampuni ya mitandao kulipa kodi adi asilimia 30% ya bidhaa za laini...
Niliwahi andika miezi kadhaa,
....
Nirudi kwa mkuu wa kituo Kawe, ndugu yangu naomba niwajulishe kuna wizi unatokea Kawe Mtoni na maeneo ya bar za Soweto mpaka kanisa la Victory. Kila siku wamama wanaporwa wanabakwa majuzi tumekuta nguo za ndani njian....
Vigenge vya wahuni mnavijua kule Mtoni...
Tukiacha kundi dogo la Viongozi wa Kisiasa wa Chama kilichojimilikisha madaraka, kwa kweli hali ya maisha kwa Wananchi ni ngumu sana huku mtaani,tuache kuvunga..
Hela hakuna wakuu, Ukitoka nyumbani na sh. laki moja unarudi huna hata sh. 100...bila shaka hali hii hainikabili mimi peke yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.