Bajeti za Afrika Mashariki zilisomwa kwa pamoja siku ya Alhamisi lakini magazeti na vyombo vya habari vya Tanzania havijajadili bajeti ya mtanzania bali kuanzia bungeni hadi mtaani mjadala ukuwa wa mbowe na masihala na mjadala wa bajeti unaohusi maisha ya watanzania ukawekwa kapuni.
Kwa nchi za...
1. Namba za Magari Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu
Namba za magari yanayitumika kumbeba Rais au Makamu wa Rais na Waziri Mkuu haziandikwi namba wale herufi katika kibao chake, bali huwa na nembo ya taifa ya Bwana na Bibi. Kwa Kiingereza magari haya hufahamika kama State Cars.
2. Spika wa...
Usiku wa kuamkia leo nimeota kuwa kuna mfalme mmoja katika nchi ambayo jina limenitoka, katoa zawadi ya njiwa wazuri kwa watu mashuhuru katika sherehe aliyoiandaa kwa yeye kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa (Birthday).
Nilijiuliza sana maana ya ile ndoto na baada ya kutafakari kwa kina...
Huu mtaa naupenda sana maana huwa haukosi amsha amsha.
Jirani yangu hapa ni mstaafu basi ukiamka tu kwenda kupambana huko utakuta kakaa nje ya uzio wa nyumba yake, basi lazima akusimamishe muongee ataishia kukubomu tip kwa ajili ya kwenda kwa mangi ili "aamke".
Ukishamalizana tu na mstaafu...
Tito Magoti anatakiwa aje mtaani ajenge Taifa lake...Inaumiza sana..
Moyo unauma sana nikiwafikiria wafrika wenzetu ambao walipoteza maisha ili mzungu aondoke . Africa tulimuondoa mkoloni lengo siyo kumuondoa mzungu kwakua alikuwa na sura mbaya No. Nadhani babu zetu waliaamini tukimtoa Mzungu...
Je, mtaani kwako sukari inapatikana?
Kama inapatikana bei elekezi inazingatiwa?
Una maoni gani mengine kuhusu sukari.
Nategemea kuonana na waziri wa biashara soon so nilitaka nimpelekee hoja hii maana wengi mlilalamika hapa kwamba mmeacha kunywa chai na wengine mkadai sasa mnaamkia mbege na...
Nina mifano mitatu ya kweli kabisa:
1. Nimewahi kuingia gerezani kwa usiku mmoja, huko nilikutana na mtu mmoja aliyepewa kesi ya mauaji kwa sababu hii. Alikuwa anapita njia akakuta jamaa kadhaa wanampiga mtu, akabaki hapo kama mshangaaji. Siku kadhaa zikapita aliyepigwa akafariki, polisi...
Hapa naandika kwa majonzi kwa kusikia jinsi Watanzania wenzetu wanavyougua Corona na wengine kupoteza maisha. Poleni nyote.
Kinachoumiza zaidi ni namna baadhi yetu tunavyoteteana hata kunapokuwa na uzembe kwenye hatua zinazochukuliwa kutulinda na Corona.
Kuna wanaosema Nahodha wetu ni shujaa...
1. Angalia kama mganga huyo ana miliki property yoyote which is capable of being stolen .. eg bodaboda, mifugo mikubwa etc.
Lazima watu wengine pia wawe Wana fahamu kuhusu Mali hiyo ya mganga. Kwamba bodaboda inayo endeshwa na Jamaa fulani ni Mali ya huyo Bwana Mganga.
2. Nenda kaibe.hiyo...
Jamani bei ya sukari imeanza kupanda sasa kilo ni 3200 huku bei ya unga nayo ikipanda sana hadi 2100 kwa kilo
Sukari ni baada ya serikali kupiga marufuku kuingiza sukari kutoka nje?
Nashindwa kuelewa kwanini bidhaa nyeti kama sukari izuiwe kutoka nje kwa maneno eti wanalinda viwanda vya ndani...
Habari wana JFs MMU.
Hali si siri tena. Mambo yamebadilika ghafla. Twaweza kusema asante corona! Japo imekuja na mabalaa ya kuugua na baadhi ya vifo huko duniani na Leo Tz R.I.P Issa H. Mtibwa( kama sijakosea jina).
Pamoja na madhara hayo kwa upande mwingine Corona imekuja na matokeo chanya...
Hatimaye mfalme wa taarabu Alhaji Mzee Yusuph ametangaza rasmi ujio wake kwa mara nyingine kwenye muziki wa taarabu.
Kwa kifupi tangu mfalme akae nje ya muziki wa taarabu , muziki wa taarabu ulikosa radha kabisa maana waimbaji waliobaki wanapiga piga kelele tu cha maana wanachokiimba hakuna...
Tatizo kubwa hapa nchini ni kwamba pale inapotokea janga, mlipuko wa ugonjwa basi wafanya biashara hutumia nafasi hiyo kujinufaisha. Kuna vifaa kama hand sanitizer, medical face masks vimekuwa katika uhitaji mkubwa sana kwa ajili ya kujikinga na virusi vya corona.
Serikali kupitia waziri wa...
Leo nimesoma gazeti la HabariLeo, limeandika
'MKUU wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi ametoa wito kwa Jeshi la Magereza Iringa kuruhusu wafungwa wake kuchimba mitaro ya miradi ya maji inayosimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Iruwasa) ili kupunguza deni la zaidi ya Sh milioni 300...
Idara ya afya mlione hili, mwizi ambae alikamatwa na wananchi wa kata ya Kerenge kitongoji cha kilole wilaya Korogwe ambae alikutwa na vyandarua vya zahanati ya Kerenge ambayo ni Zahanati ya serikali yuko huru kwa dhamana na kesi haipelekwi mahakamani tangia tarehe 29/11/2019 mpaka leo hii...
MKITAKA POLISI WAWAHI KWENYE TUKIO MTAANI AU KIJIJINI KWENU; WAAMBIENI CHADEMA HAWA HAPA WANATAKA KUFANYA MKUTANO
TUKIO likitokea huku Mtaani kwetu Siku hizi, huwa hatupati shida kupata msaada wa haraka kutoka Polisi, ni fasta tu wanatia timu eneo husika. Wakishuka tu kwenye Gari wanaanza...
Wadau,Tanzania kwenu!
natumaini hapo ulipo ni kwema, giza likizidi kushika kasi nakutana na watu wanabishana alafu kila mmoja anakomaa yeye anajua, basi ikafuatia muda nasikikia "kwani wewe una jiwe(degree)ngapi?"
Nimebaki nastaajabu sana.
Ngoja nikapate kahawa kwanza maana nasikia baadhi ya...
Katika mtaa niliyo bahatika kujenga banda langu la kuishi nime-"wachapa" mno wanawake. Si wake za watu, si mabinti za watu wala mabeki tatu, wote nimeburuza
Kila anayejibebisha anapata bakora anaondoka. Mtaani kwangu nimebatizwa jina la la utani naitwa "Mashine"
Sasa naona kilomita zimesonga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.