Uchaguzi: Uganda magari ya jeshi yasambazwa mtaani

Ack

Member
Dec 21, 2016
88
87
Huku harakati za uchaguzi zikiendelea majeshi ya uganda na magari yao wameonekana wakipita mitaani leo kama wanaenda vitani



kwa nini majeshi huhusishwa na siasa kweli ni sahihi??
 
Uchaguzi huu hautakuwa HURU wala wa HAKI 7 tena kwa dikteta M7
Tatizo Museveni hatakiwi na waganda wakiwemo hata wanajeshi aliowapa magari , waganda wanajua kwamba Museveni kishazeeka na kibaya zaidi afya yake ya akili haiko sawa ikiwemo na ugonjwa mbaya wa BPH
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Safari hii hatuitaji wakimbizi bk Kama moja ya mikoa yetu, Museven tumemlea kama nchi ,but KWA Sasa akubali hawezi shinda Uchaguzi mY be KWA mtutu wa bunduki,and he will pay
 
Mkuu kwani Watanzania tulimtaka huyo anayejiita mwendawazimu aendelee kubaki madarakani? Hata yeye mwenyewe alijua hapendwi na umati kwenye kampeni za Lissu Nchi nzima ukamtia hofu kubwa hivyo akaamua kufanya uporaji.

Hivyo ndivyo huko itakavyokuwa huko Uganda hiyo January 20th na wengi wataumizwa, kutiwa vilema na hata kupoteza maisha yao.
Tatizo Museveni hatakiwi na waganda wakiwemo hata wanajeshi aliowapa magari , waganda wanajua kwamba Museveni kishazeeka na kibaya zaidi afya yake ya akili haiko sawa ikiwemo na ugonjwa mbaya wa BPH
 
Safari hii hatuitaji wakimbizi bk Kama moja ya mikoa yetu, mseven tumemlea Kama nchi ,but KWA Sasa akubali hawezi shinda Uchaguzi mY be KWA mtutu wa bunduki,and he will pay
Kilichotokea Tanzania ndio kinakwenda kutokea Uganda, ushindi wa kimbunga.
 
Ubinafsi unaturudisha nyuma sana. Yaani tumbo la mtu mmoja anaona ni muhimu kuliko watu mamilioni! masikini tunaenda nasi huko Mungu tusaidie
 
Askari wa kiafrica wote wanafanana wanaishi maisha magumu Sana kwa kuwalinda watawala dhalimu wasiojali maslai yao
 
Back
Top Bottom