Acha kutumia maneno haya mtaani nii matusi makubwa sana

Course Coordinator

JF-Expert Member
Jul 27, 2019
1,681
3,063
Tukumbuke kuwa lugha yoyote imebeba utamaduni wa wazawa wa lugha husika. Na matusi hutofautiana kutoka lugha moja hadi nyingine. Neno ambalo ni tusi katika lugha ya Kiswahili huenda lisiwe tusi katika lugha ya Kiingereza.

Pengine umekuwa ukiyatumia kwa ‘kuiga ’, yaani umeyasikia kwenye "movies" nawe ukaanza kuyatumia. Au pengine wewe ni mmoja wa vijana ambao hawana maadili, ambao wamekuwa wakichukulia matusi kama kitu cha kawaida kwao, lakini mtu akianza mwenyewe kukutukana mwambie tu "same to you "

Maneno machafu na kuudhi ya lugha ya Kiswahili na kiingereza ni kama nyoko, mpumbavu, mtoto wa malaya, malaya, k'mako, mshenzi, shoga, punguani, mjinga, nk.

Kwa kiingereza ni kama vile snitch, bitch, funkin bitch, bitch boy, ashole, stupid, hopeless, motherfucker, pussy, tackle, teet, Peugeot, negro, bastard, idiot etc.

Sasa nini baadhi ya maana ya matusi hayo.
1. Bitch: Bila shaka wengi wetu tumekuwa tukilitumia neno hili tunapokuwa tumechukia. Neno hili humaanisha ‘mbwa wa kike’. Kwaiyo mtu akikuita ‘bitch’ anamaanisha wewe ni mbwa, na sio mbwa tu, bali mbwa wa kike.
(Literally, a bitch is a female dog. It is used as an insult based on a comparison to a dog).
Mfano: “What are you talking about you ‘bitch’!”

2. Pussy: Neno hili pia nimekuwa nikilisikia kwa vijana wa kitanzania wakilitumia sana. Neno hili lina maana tatu ambazo zote ni mbaya: moja, hutumika kumaanisha paka anayefugwa. Mbili, hutumika kumaanisha ‘sehemu ya siri ya mwanamke, yaani ‘uchi’, na tatu, hutumika kumaanisha ‘kufanya mapenzi na mwanamke’. Ivyo tafadhali sana, tusipende kutumia neno hili kisa tumelisikia kwenye nyimbo fulani ya Hip Hop.

(A word pussy, is a dirty word which is considered as a taboo in English. It is used to mean a pet cat, woman’s vagina, and also extended meaning as a term for “sex with women” or “women” in general)
Mfano: “Hey Jane, stop talking to a pussy!”

3. Shit: Neno hili humaanisha ‘kinyesi, mavi’. Kwa bahati mbaya sana ni miongoni mwa maneno ambayo yanatumiwa sana na vijana wetu hasa waliopo vyuoni. Kidogo tu utasikia “shit!”, amesahu kitu kidogo “shit!”. Kwa kawaida neno hili hutumika kuonyesha hasira au kuchukizwa na jambo fulani.

(The word ‘shit’ is an offensive word used to express anger, annoyance, fear, or disappointment. It’s a solid waste that comes out of your body)
Mfano: “Stop talking shit to me”

4. Bastard: Neno hili humaanisha ‘mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa’, kipindi ambacho mama yake bado anadanga, watoto wa mjini wanamwita ‘Mdangaji'. Ni ukweli kuwa hakuna anayependa kuzaliwa nje ya ndoa, na hata kama umezaliwa nje ya ndoa sidhani kama utafurahi watu wakikuita “wewe mtoto wa nje ya ndoa njoo hapa”. Kwaiyo katika Kiingereza neno hili hutumika kama tusi, hasa pale unapotaka kumtukana mtu usiyempenda.

(Besides the usual usages of a child out of wedlock and a suitable name for someone you don’t like, bastard is used as an insulting word which some people use about a person, especially a man, who has behaved very badly).
Mfano: “What do you mean, bastard?”

5. Motherfucker: Neno hili limekuwa likitumiwa sana na wasanii ambao ni Wamarekani weusi (Black Americans) katika nyimbo zao. Kwa bahati mbaya vijana wa kitanzania nao wamekuwa wakiiga na kulitumia katika maongezi yao ya kawaida. Ni neno linalomaanisha ‘mtu anayefanya ngono na mama yake, tena mama yake mzazi’. Ni neno baya sana hakika. Hutumika kama tusi kwa mtu aliyekuudhi kupitiliza kiasi kwamba unamchukia balaa.

(It can mean precisely as it sounds, one who has sex mothers, but it was originally meant as "one who has sex with their own mother". It is used as an insulting word, very offensive for someone you hate or for someone who has made you angry).
Mfano: “Go away you motherfucker”.

6. Nigger: Neno hili kwa kawaida humaanisha ‘mtu mweusi’, lakini historia yake ndio imelifanya kuonekana tusi. Kwa ufupi, neno hili linatokana na watu weusi kutoka nchini Nigeria waliokwenda kuishi Marekani miaka ya nyuma kidogo. Watu hawa walikuwa weusi kweli kweli, na walikuwa na nguvu sana, waliishi kwenye mazingira magumu sana wakiwinda misituni. Walikuwa na hasira sana na waliwachukia Wahindi Wekundu na watu weupe waliokuwa Marekani kwa kipindi hicho. Kwaiyo toka kipindi hicho neno hili likaanza kutumia kuelezea “MTU MWEUSI AMBAYE NI MSHAMBA, HAJASTARABIKA, MWOGA, NA ANAYEOGOPA WATU WEUPE”. Ni story ndefu, nitaelezea kwenye post ijayo.

(Rooting from the lands of Nigeria, Niggers were large muscular people who are made to live in extreme conditions in USA. They were ill tempered creatures, dumb, under the protection of liberals. A word used nowadays to describe the stereotypical black person who: believes the world owes them for something that happened 150 years ago, hates white people, thinks cops are racist because they shot 50 cent for resisting arrest, and believes that gang violence actually solves problems. Don't mistake a Nigger for a Black. Black's behave like normal human beings, while Niggers act like retarded monkeys)

Mfano wa mazungumzo ya wazungu:

A child: “Dad, I want to marry an African woman”
Father: “could you please shut up, you nigger!”

Unaweza kuongezea pia ili kuwaokoa vijana wengi wanaozania kujua matusi kidgo ndo kujua Kiingereza.
 
Tusi hutegemea muktadha na wazungumzaji.

Mfano katika darasa la baiolojia ikitajwa quuma haiwezi kua jambo la kushangaza.

Muafrika kumuita muafrika mwenzake niga siyo tusi. Akimuita wakiwa wamegombana au kwa dharau ni tusi.

Mzungu akimuita mweusi niga ni tusi haijalishi wanagombana au hawagombani.

Mwanao akikuamkia 'Sh'amoo' badala ya shikamoo ni tusi. Ila wewe umuamkie sh'amoo au shikamoo ni tusi.
 
Tusi hutegemea muktadha na wazungumzaji.

Mfano katika darasa la baiolojia ikitajwa quuma haiwezi kua jambo la kushangaza...
Of course, ukimuita mtu mshenzi.

Let say ...John ni mshenzi wa mathematics amepata A.
 
Stupid nalo ni tusi? How?

Maneno mengine yame evolve sana

Bitch linakuja na Bitchin...hapo unasemaje?
 
Kuna dogo nilikuwa foleni sasa ye alifika mda ila jina lake likawa haliitwi nikaskia jina langu limeitwa badala ya yeye,, sasa wakati naamka niingie kupata Huduma nikawa naangalia niliowaacha nyuma huku naenda yule dogo alichofanya ni kuninyooshea kidole cha kati juu vingine vimeinama chini mithili ya wa USA walivokuwa wanamtusi trump baada ya uchaguzi.
Roho iliniumaaaa mpaka leo nikasema atalipwa tu,, maana sio kosa langu kumpita nimeitwa nikatae iweje.
 
Tukumbuke kuwa lugha yoyote imebeba utamaduni wa wazawa wa lugha husika. Na matusi hutofautiana kutoka lugha moja hadi nyingine. Neno ambalo ni tusi katika lugha ya Kiswahili huenda lisiwe tusi katika lugha ya Kiingereza...
Nashkuru (thanks God) hapo ktk maneno hayo (matusi) hakuna hata Moja ktk kamili ya Kiarabu... Kiarabu kiliyochangia uzao wa KISWAHILI !!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom