Katika dunia hii watu tunapaswa kuishi kwa upendo na kuhurumiana. Musiba amefanya kosa kwa hiyo aombe msamaha.
Unaukumbuka ule wimbo wa zamani,ulikuwa wimbo wa Western au Jamhuri Jazz Band,au sijui nani,walikuwa wanaimba,"Ingawaje wewe ndie mwenye makosa lakini naomba unisamehe". Watu wa zamani...