msamaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kibaha: Watu wawili waliotoka jela kwa msamaha wauawa

    Watu wawili waliotoka gerezani hivi karibuni kwa msamaha wa Rais wameuawa baada ya kukamatwa wakidaiwa kuiba vitu mbalimbali huko kwa Mathiasi mjini, Kibaha mkoani Pwani. Watu hao walifungwa kwa makosa ya wizi katika kesi ya jinai namba 273/2020 na 260/2020 na walipata msamaha wa Rais wa...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Samia umetia aibu kubwa sana,usipewe msamaha

    KITENDO cha kuahirishwa kwa pambano la Simba na Yanga lililokuwa lichezwe jana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, kumewafanya wadau wa soka kucharuka na kudai ni aibu kubwa kwa soka la Tanzania, kwa mechi kuahirishwa kienyeji kwa sababu za kisiasa, huku wengine wakisema kuna kitu nyuma ya...
  3. Maji Chai

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yaninatesa, ninayempenda anawasiliana na mimi akitaka yeye

    Habarini wakuu Nampenda mtoto mmoja hivi, she's not so beautiful ila ndo hivyo moyo umependa jamani ila ananinyanyasa mno kwakweli. Hajibu text zangu mpaka pale anapojisikia, nampigia hapokei yaani yeye ananitafuta akipenda yeye. Amekuwa akifanya mengi ya ajabu ila nikihoji anakuja juu...
  4. Lager

    JamiiForums Tanzania Grace usije tena gheto

    Kila tukikosana na nikataka tuachane basi unakuja gheto kuomba msamaha na mara zote msamaha nautoa bila hata kuongea chochote yani ukinipa tu na msamaha natoa!. Kusema kweli Grace sijapenda tabia yako hii ya kumaliza makosa yako kwa njia ya kidikteta telezeshi! Visa vyako ni zaidi ya msamaha...
  5. rikiboy

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kuomba msamaha kwenye Mapenzi ni udhaifu

    Mapenzi yana nguvu sana hasa kama Hujawahi kuumizwa, lakini katika Makosa yote mtu hasa mwanaume anaweza kuyafanya kwenye mahusiano bhasi ni KUOMBA MSAMAHA kwa kosa ambalo sio lako ili mradi tu usimpoteze mwanamke ulienae ni Uboya wa kiwango cha lami. Omba msamaha kwa kosa ulilofanya sio manzi...
  6. MWAKITWINO

    JamiiForums Tanzania Inabidi Watanzania tumuombe msamaha Rais Magufuli

    Nimejaribu muda sasa kuchunguza jinsi kiongozi wetu mkuu wa nchi alivyo na hasira mara zote aongeapo na sisi wanachi wake ni kama kuna kitu kikubwa sana kipo ambacho sisi wa tz tulimkosea maana Najiuliza: 1) Tulipata tetemeko akaongea nasi kwa hasira sana; kwani mimi ndo nilileta tetemeko...
Back
Top Bottom