msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Jenista Mhagama Akabidhi Msaada wa Serikali wa Kibinadamu Nanyamba na Tandahimba

    Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) imetoa misaada ya kibinadamu kwa kaya 184 za kata ya Kitaya Halmashauri ya wilaya ya Nanyamba na kaya 160 kwa kata ya Michenjele Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba. Zoezi hilo limeongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera...
  2. K

    Msaada wa logo ya jina la biashara

    Salamu wakuu, Najikongoja kuamka baada ya kupata anguko na ajali pia,nimeregister jina la baishara BRELA (wazawa general supplies limited). Naomba msaada kwa mdau yoyote kunisaidia kutengeneza logo wakuu. WhatsApp number 0742666736 kwa mawasialiano zaidi. Shukrani sana, Mungu awabariki!
  3. Naomba msaada mshahara wangu uliositishwa uendelee kuingia

    Samahani, naomba kusaidiwa ili mshahara wangu ulisimamishwa kipindi cha Rais Magufuli. Naomba msaada wenu mnisaidie ili mshahara wangu uendelee kuingia asanteni
  4. R

    Msaada wa program ya kuchagua UDOM

    Nisaidie tumsaidie huyu kijana kufanya maombi ya kujiunga na chuo UDOM 1. Pass za kijana ni 13 III G studies D, Geogr D, Chemistry E , Biology D, BAM F 2. Kozi gani anaweza kusoma UDOM be it Degree or Diploma
  5. N

    Msaada mawasiliano ya dermatologist mzuri Mwanza na hospitali anakopatikana

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nna changamoto inayohitaji daktari wa ngozi, sasa nahitaji wenye uzoefu wanisaidie mawasiliano ya daktari mzoefu. Mahali: Mwanza
  6. P

    Msaada kupata mafao NSSF baada ya kuachishwa kazi

    Jamani naomba msaada kwa anaeelewa kuhusu mafao ya NSSF. Mimi nimewahi kuajiriwa kama professional na baada ya mkataba nilifungua madai NSSF nikalipwa kwa mfumo wa 33.3% ya mshahara wangu kwa muda wa miezi 6 then muda ukapita nikiwa napambana na maisha. Baada ya muda nikapata kazi ambayo si...
  7. Naomba kujuzwa location ya Saphire glass industry

    Nawasalimu kwa jina la atiaye pumzi ya uhai. Anayejua lication ya kilipo kiwanda cha Saphire Glass industry Mkuranga anielekeze. Nielekezen mtu toka mkoan kama nilivyo nachukua route ipi
  8. T

    Msaada wa Tv flat screen bajeti 200k

    Wakuu habari za humu, naomba msaada wa kutajiwa TVs bland nzuri kwa bei ya laki mbili mwisho ndo bajeti yangu, nipate tv flat inayoendana na hela yangu, natanguliza shukrani 🙏🙏
  9. Watengenezaji sofa msaada

    Heshima kwenu. Naomba kujua kuhusu mbao zinazotumika kutengenezea sofa. Je ni mbao ngumu au Kuna aina nyingine???
  10. Mwenye kujua Apps nzuri ya music player msaada tafadhal

    Habar za usiku wananzengo!! Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Kwayeyote mwenye kujua apps nzuri ya music player kwenye simu naomba anitajie tafadhali ili ni download niweze kuskiliza good music na mimi kwenye kijitambo changu
  11. Msaada: Gari yenye plate number ya njano kwa matumizi ya nyumbani natakiwa kulipia LATRA

    Nina gari ndogo aina ya Pickup Toyota Hilux. Gari hii ina plate number ya rangi ya njano. Kwa maana hiyo siitumii kwa kufanya biashara yoyote ni yangu tu ya kifamilia. Naomba kuuliza je, gari kama hii inahitaji kulipia LATRA? Naomba msaada wenu.
  12. "zilipotokea na zinapokwenda" pana utofauti ?

    Mfano una daftari la kurekodi stock inavyoingia kutoka stoo au ukinunua, na pia unarekodi stock ikitoka aidha kwa kuwauzia wateja ama kuibiwa. ni sawa kuandika "zilipotokea na zinapokwenda" ama kuna maneno yapi yanaweza kuwa mbdala mzuri
  13. Msaada wa App inayoweza kugenerate autocaption za kiingereza

    wakuu salam Ninaomba msaada wa Application kwa ajili ya kugenerate aoutocaption kwa lugha ya kiingereza. Au kwa video za lugha ya english. Ninajaribu kwa Capcut inafika mwisho inagoma. Sijaua kwa nini. Msaada kwa mwenye maarifa zaidi.
  14. Je, Mungu anapokupa jaribu anakuacha upambane nalo au anakuletea na usaidizi wake? Mjamzito anataka msaada wangu, hatujawahi kuwa na mahusiano

    Nina miezi sita sina ajira wala kazi na hali yangu ya uchumi ni mbaya mno, sina hata pa kuhemea. Juzi nimekutana na mdogo wa rafiki yangu, tuliishi wote huko Arusha, dada ni mjamzito anasema amefukuzwa na bwanake, na bwanake karudisha na nyumba waliyokuwa wakiishi. Nimemwambia urudi kijijini...
  15. Natafuta msaada wa kupata mwongozo nipate Visa kwenda Canada

    Wadau ebu nisiongee sana naomba nisimame kama kichwa cha habari yangu nilivyoandika kwa atayekuwa na msaada au mawazo yoyote napokea
  16. Msaada. Nifanyeje desktop icons zionekane

    Wataalama naomba maelekezo ya jinsi ya kufanya ili hii laptop icons zaa desktop zionekane Kama kawaida. Kwa sasa muonekano ni huu
  17. Msaada kurudisha Yahoo mail adress tafadhali

    Habari ndugu Nakuja hapa naomba mnisaidie Nilikua na Yahoo adress ambayo imeshikilia vitu vingi lakini kikubwa kikiwa ni attached credentials zangu ambazo ni vyeti vyangu na docs nyingine za muhimu Original hard copy ya vitu vyote hivyo nimepoteza Nimejaribu kwenda kwenye help desk za yahoo...
  18. Msaada: Napata mtihani kupata field

    MREJESHO: Nimefanikiwa kusaidiwa kupata field wakuu, mungu awabariki wote mliotoa mchango wenu wa kimawazo katikabuzi huu. 🙏 Wakuu habari za wakati huu, Wakuu habari za wakati huu, Nakuja kwenu kwa ombi la unyenyekevu: Msaada katika kutafuta fursa ya mafunzo kwa vitendo. (FIELD). Kwa sasa...
  19. Msaada: Wapi naweza kupata Maziwa ya watoto wadogo ambayo ni Protein Free (hypoallergenic infant formula milk)

    Habari ya kazi Wakuu. Ndani ya mkoa wa Dar es salaam, maziwa hayo yasiwe ya Soya au Almond. Kwa kampuni yoyote ile inayozalisha maziwa ya watoto.
  20. Msaada wa kitabibu kupunguza genitial herpes kujirudia rudia, kila nikikaribia period

    Habari zenu ma Dr. natumai mu wazima wa afya. Naomba kwenda moja kwa moja kwenye mada, ni kwa muda wa miaka miwili na kitu sasa nimekua nikisumbuliwa na vipele ambavyo vinatokea ukeni kila nikikaribia perio, hivi vipele vinaanza kama blisters (ni sawa na vile vidonda vya homa vinavyotokeaga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…