msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada kwa watu wazanzibar au wale ambao washawai kwenda Zanzibar na ni wenyeji

    Ishu yangu ni hii naomba kwa anaejua hawa jamaa wanaouza baskeli ambao ni Meridian bit tech limited je ni kweli wapo Zanzibar? na wanafanya hii biashara ya baskeli tafadhalini Sana kwa anaejua anijuze nipate kujua asante Swala langu ni hilo Tu wakuu
  2. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuendelea na maombi ya chuo baada ya kuchaguliwa

    Habari za leo wana JamiiiiForums, Naombeni mnijuze. Mimi nilifanya application ya chuo cha afya cha serikali na nikachaguliwa nursing. Ila nimejaribu kufanya tena application ili nichague kozi nyingine lakini niki login ili nifanye application wananipongeza tu kwa kuchaguliwa na hakuna option...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Hints za written Interview za Examination Officer II na Registration Officer II

    Habari wana JF, Msaada wa Hints za written Interview za Examination Officer II na Registration Officer II.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimekuta kibubu kina 30,000/- tu baada ya kuweka pesa karibu miezi 5, nifanyeje?

    Habari, Jamani naomba msaada wa aina yeyote ile, nimechanganyikiwa sana sana. Niende kwenye mada; Mimi ni dada ambaye najishughulisha na biashara ya kuuza matunda, sasa basi nimepanga mahala naishi mwenyewe, nina tabia ya kuhifadhi pesa ndani, yaani ule mfumo wa kuweka kwenye kibubu. Yaani...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    Naandika hili nikiwa na hasira sana Msaada mwenye kujua spray yeyote au sawa inayoweza chafua hali ya hewa kwa muda mfupi na kusababisha pasikalike Au dawa ambayo ukichoma itaharibu hali ya hewa kwa muda mfupi yaani ilimradi pasikalike Msaada tafadhali kwa anaejua moja kati ya hilo
  6. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kutuma maombi ya kazi NSSF

    Wakuu habari zenu? Kuna nafasi kadhaa za kazi zimetangazwa na NSSF, naombeni msaada njia ya kutuma maombi ni kupitia posta ama kuna njia nyingine, maana naona kule ajira portal hazipo. Ahsante in advance.
  7. JamiiForums Tanzania Muonekano wa Dudu Baya unasikitisha. Mliomtumia kumchafua Ruge mpeni msaada

    Kama mnavyomuona huyu mwamba, inaonekana ana hali mbaya sana, inamaana wale mliokua mnamtumia amchafue Ruge na Cloudz. Mmemtema au?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya shipping agent na bandari kavu wanawaumiza sana clearing agent

    Wakuu poleni na majukumu. Napenda kuelezea dukuduku langu kuhusu biashara ya clearing and forwarding kwa hapa Tanzania. Hii ndio biashara yenye CHANGAMOTO nyingi kuliko biashara yeyote hapa Tanzania. Kwa upande wa serikali wanajitahidi, Ila shida nimeiona kwa hizi shipping agent na bandari...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria unahitajika tafadhari

    Habari zenu wakuu, Mnamo tarehe 09/07/2023 nilifanya muamala kutoka simu yangu kwenda kwenye kampuni moja ya michezo ya kubahatisha 'kubet'. Ni kampuni kubwa tu kwa hapa Tz. Hiyo fedha haikuingia kwenye akaunti yangu ambayo ipo kwenye hiyo kampuni. Nilifanya nao mawasiliano wakasema kuna...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kupata juu ya Interview ya TRA

    Wadau JamiiForums, Naombeni kwa Yoyote anayeweza kunipa mbinu za kwenda dar kufanya interview Alafu nikimaliza nirejee kazini cku ya j3 maana interview yenyewe ipo dar na mm nipo singida. Je, kuna bus za ucku Dar to Singida? Naombeni maoni yenu.
  11. S

    JamiiForums Tanzania AVN imekuwa mateso sana kwangu. Naomba msaada

    Nawasalimu Nyote Nimekuwa na changamoto ya kupata AVN nilihitimu Diploma 2015...nikafanya hatua zote za online za kuiomba AVN nikafika mpaka NACTE wakaagiza chuo kiandike barua ya kuomba kufunguliwa mfumo waingize matokeo yangu sasa ni wiki ya tatu inaenda ya nne nikipiga simu chuoni...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria tafadhali

    Ninaomba msaada wenu wakuu. Kwenye makaburi ya kinondoni alipokua amelazwa marehemu mama yangu kuna kaburi la mtu mwingine na limejengelewa haswa. Nini nifanye nipate haki ya sehemu ya mama yangu? Mama yangu alifariki mwaka 2001 na hatujakuta hata msalaba. Na huyo waliyemzika amezikwa 2021.
  13. JamiiForums Tanzania Msaada katika ku-confirm kozi kati ya programu hizi

    Habari zenu wakuu, Nahitaji msaada niconfirm kozi ipi kati ya hizi ambazo nimechaguliwa katika second selection. Kozi zenyewe ni Bsc in Environmental health science-RUCU, Bsc in Agriculture in general-SUA na Bsc in Laboratory Science and Technology-MUST. Naomba ushauri uangalie zaidi kuhusu...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye kufahamu kuhusu malipo ya Serikali

    Ndugu WanaJf, Jana niliweka hapa bandiko linalohusu pesa za kujikimu wilaya ya Ileje kufanyiwa zengwe na baadhi ya viongozi,Kuna issue mpya imeibuka ambayo tunaomba wanaojua humu watusaidie sisi ajira mpya. Issue yenyewe ni hii:pesa za kujikimu zimetolewa na zimefika halmashauri,wakaziweka...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kozi ya basic truck driving veta na kozi ya heavy goods vehicle N.I.T

    Habari zenu wakubwa! Kama mada inavyo jieleza mimi nina miliki leseni ya daraja d. Ila nataka niongeze daraja mpaka e. Sasa nashindwa kuelewa natakiwa kwenda veta au n.I.T? Na je kama ni veta, nikimaliza kozi ya basic truck driving naweza pata leseni daraja e? Na je naweza ajiriwa kama...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Msaada king'amuzi cha Azam

    Nina king'amuzi cha antena cha Azam, mtoto sijui kabonyeza wapi kimeandika No subtittle, halafu haibadili chanel, hiyo naitoaje?
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Interview TRA Civil Technician (ll)

    Habari wanajf, Naomba kwa yeyote anaefahamu TRA wanatoa aina ganii ya maswali kwenye written interview maana ndiyo mara yangu ya kwanza kuona interview ya civil engineering TRA, ninachojiuliza je? Watauliza maswali yanayohusiana na kada yangu au yanayohusiana na Mambo ya Kodi na vitu vingine...
  18. JamiiForums Tanzania TANESCO ibinafsishwe kwa muwekezaji maana haina tija kwa taifa na msaada kwa Watanzania

    Mada hii ianzishwe maalum kwa manufaa yetu sisi wananchi toachane na bandari ambayo inaweza pia ikawa inatusadia au haitusadii, tuachane na mchakato wa katiba, tujikite kwenye mchakao wa kubinafsisha TANESCO na Shirika la maendeleo la petroli TPDC, uchumi wowote wa nchi duniani unaanza na sekta...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Msaada vijiji gani nipeleke dagaa wa Mwanza?

    Habari wakuu. Nataraji kufanya biashara ya kuuza dagaa wa wakavu wa mwanza,Vijiji gani naweza kupeleka dagaa na nikawauza kwa bei ya jumla? Ama hata isipokuwa kuuza kwa jumla ama reja reja? Vijiji ama miji iwe Ni kuzunguuka ukanda huu wa ziwa na maeneo ya Tabora na Igunga ama ikishindikana...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Nilipata ajali mkono wa kulia haufanyi kazi japo nafeel

    Wakuu habari, kama mmeona sikuwa active hapa online, hata kwenye simu kwa wale mliokuwa na my contacts since March. Nitaelezea one day ilikuaje but kwa wale mnaofatilia habari mtakuwa mliona this year March ilitokea ajali mbaya sana ya treni ya Tazara, mtu aliyegongwa it was me, na nilikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…