Msaada wa Kupata juu ya Interview ya TRA

White sky

Member
Mar 15, 2021
22
17
Wadau JamiiForums,

Naombeni kwa Yoyote anayeweza kunipa mbinu za kwenda dar kufanya interview Alafu nikimaliza nirejee kazini cku ya j3 maana interview yenyewe ipo dar na mm nipo singida. Je, kuna bus za ucku Dar to Singida? Naombeni maoni yenu.
 
Hata hapo Singida ukienda stend ukaulizia hutokosa majibu, nafikiri hayawezi kosa maana Dar Singida siyo mbali ni kama tu kwenda Mbeya mwendo usiopungua masaa 11 to 12
 
Wadau JamiiForums,

Naombeni kwa Yoyote anayeweza kunipa mbinu za kwenda dar kufanya interview Alafu nikimaliza nirejee kazini cku ya j3 maana interview yenyewe ipo dar na mm nipo singida. Je, kuna bus za ucku Dar to Singida? Naombeni maoni yenu.
Umesoma? Hicho ndio kitu cha kwanza kabla ya KUKURUPUKA kwenda kwenye INTERVIEW.

nirudi ktk MADA.

GARI zipo ila uwe makini kama una vitu vya Thamani viache nyumbani.
Nilikuwa nakushauri uchukue IT utawahi kufika SINGIDA.

Why nasema UMAKINI? kuna baadhi ya Gari wanajifanya wanasafiri kumbe ndani wale watu wote wanajuana, ww ndio unakuwa mtu KATI wanakuwekea Madawa, unazimia wanakuibia na kukutupa.
 
Kwanini usiombe ruhusa hata ya siku 2 hapo unapofanyia kazi ili uwe na Uhuru na safari yako?

Maana huwezi jua, unaweza kwenda DSM kwa kutoroka alafu ukapata shida njiani, inaweza kukuletea tatizo ofisini kwenu.

Kila la kheri
 
Gari zinakosaje panda gari binafsi zipo nyingi tuu asubuhi ukifika piga pepa lako wasikudanganye kuhusu wizi mtangulize Mungu nishapanda almost mwaka mzima chagua chuma nzima ukimaliza pepa wahi IT pale mbezi kesho yake uko kazini Singida Asubuhi.
 
Sawa mkuu lzm tukajaribu bahati
 
Kwanini usiombe ruhusa hata ya siku 2 hapo unapofanyia kazi ili uwe na Uhuru na safari yako?

Maana huwezi jua, unaweza kwenda DSM kwa kutoroka alafu ukapata shida njiani, inaweza kukuletea tatizo ofisini kwenu.

Kila la kheri
Mzee ukiona hv ujue nishaomba ruhusa wakaninyima ndio maana natafuta njia nyingine. Sio kila mtu anapenda kukuona unafanikiwa tena wengi wanajua hizi ruhusa za muda huu ni za kwenda kwenye interview ya TRA maana zimesambaa kila kona
 
Gari zinakosaje panda gari binafsi zipo nyingi tuu asubuhi ukifika piga pepa lako wasikudanganye kuhusu wizi mtangulize Mungu nishapanda almost mwaka mzima chagua chuma nzima ukimaliza pepa wahi IT pale mbezi kesho yake uko kazini Singida Asubuhi.
Asante mkuu mbezi zipo sehemu gn? Na huwa zinatoka dar saa ngp?
 
Mzee ukiona hv ujue nishaomba ruhusa wakaninyima ndio maana natafuta njia nyingine. Sio kila mtu anapenda kukuona unafanikiwa tena wengi wanajua hizi ruhusa za muda huu ni za kwenda kwenye interview ya TRA maana zimesambaa kila kona
Pole sana Mkuu, kama utakuwa na uwezo nenda hadi Dodoma uchukue flight ya Dodoma - Dar

Watanzania tuna roho za korosho sana, unakuta anayekubania hivyo yeye amebakiza miaka 8 ama 10 ya kustaafu hivyo hataki wengine wafanikiwe
 
Mkuu watu wana roho mbaya yaani acha
 
Ndio ni Kweli ndo maana naona wacha nikapambane hata ile ya WCF nilikosa kwenda sasa hii sitaki kuacha kwenda
Nenda Mkuu, kwani hapo ulipo unafanya sekta binafsi ama ya Umma?

Kama ni ya Umma, ni rahisi kwenda kokote unapotamani iwapo upo ndani ya serikali
 
Back
Top Bottom