Msaada: Jinsi ya kutuma maombi ya kazi NSSF

GIANT90

Member
Apr 16, 2015
45
22
Wakuu habari zenu?

Kuna nafasi kadhaa za kazi zimetangazwa na NSSF, naombeni msaada njia ya kutuma maombi ni kupitia posta ama kuna njia nyingine, maana naona kule ajira portal hazipo.

Ahsante in advance.
 
Hizo kazi wanaotakiwa kuomba ni wale wanaijitolea NSSF kwa sasa(INTERNAL)hivyo wewe wa nje huruhusiwi kuomba
 
Wakuu habari zenu?

Kuna nafasi kadhaa za kazi zimetangazwa na NSSF, naombeni msaada njia ya kutuma maombi ni kupitia posta ama kuna njia nyingine, maana naona kule ajira portal hazipo.

Ahsante in advance.
Mjombaa hiyo post tumeshaambiwa ya ndani fanya vitu vingine vya tija naona unaendelea kupoteza muda wako
 
IMG-20230918-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom