Msaada: Nimekuta kibubu kina 30,000/- tu baada ya kuweka pesa karibu miezi 5, nifanyeje?

NYOTA YA JAAH

Senior Member
Sep 14, 2022
142
218
Habari, Jamani naomba msaada wa aina yeyote ile, nimechanganyikiwa sana sana. Niende kwenye mada;

Mimi ni dada ambaye najishughulisha na biashara ya kuuza matunda, sasa basi nimepanga mahala naishi mwenyewe, nina tabia ya kuhifadhi pesa ndani, yaani ule mfumo wa kuweka kwenye kibubu. Yaani hizi ambazo naweka kwenye kibubu ni kwa ajili ya kulipa Kodi, kwahiyo ndio maana nahifadhi ndani.

Nimeanza kuweka pesa toka mwezi wa 5 mwaka huu, nahifadhi kwa ajili ya kulipa Kodi kwa ajili ya muhula unaofata, Kodi yangu yaisha mwezi wa 10.

Jana wakati nimepumzika nikajikuta natamani kujua hadi sasa nimefikisha sh. ngap ili nione kama naweza kulipa kabisa au niongeze ili itimie nilipe Kodi yangu ya mwezi unaofata, chumba nalipa elf 50 ambayo huwa nalipa kwa miezi 6 ili niwe huru kufanya mambo mengine.

Cha ajabu nilichokuta sijui hata niseme nini, yaani niliishia kulia na kucheka kwa pamoja! Nimekuta elf 30 tu wakati nilikuwa lazima ingekuwa hata laki 2 au zaidi.

Jamani jamni hali ilivyo ngumu halafu unapata janga kama hili kiukweli niliishiwa nguvu, tangu jana hadi leo sijatoka kwenda kokote, nahisi kama naumwa.

Jamani kwa anayefahamu haya mambo ya Chuma Ulete naweza rudisha pesa yangu na kama inawezakana je nifanyeje au ndio nishikuru tuu niongee na mwenye nyumba mapema anipe muda wa kujitafuta?

Yaani sijui hata la kufanya, please please naomba mnisaidie cha kufanya sielewi nifanye nini!
 
Kwanza pole sana kwa mkasa uliokufika, kwa kweli janga siyo dogo lakini maisha yanaendelea.

Tuliza mawazo kwanza ili pressure iweze kushuka halafu ndiyo unaweza kuona nini la kufanya. Kwa kweli la kufanya ni kuanza kusevu tena, lakini hivi hakuna njia nyingine zaidi ya kibubu? Huna akaunti benki angalau kila mwisho wa wiki hata ukahamisha kwa simu?

Usiogope nenda benki ukafungue akaunti, kila ukipata fedha ziweke kwenye simu halafu mwisho wa wiki unazihamishia kwenye akaunti yako. Hapo chuma ulete hatokupata.
 
Habari....!!! Jamani naomba msaada wa haina yeyote ile nimechanganyikiwa sana sana , niende kwenye mada mi mdada ambaye najishughulisha na biashara ya kuuza matunda Sasa basi nimepanga mahala naishi mwenyewe , nina tabia ya kuhifadhi pesa ndani yani ule mfumo wa kuweka kwenye kibubu na yani hizi ambazo naweka kwenye kibubu Kwa ajili ya kulipa Kodi so ndo mana nahifadhi ndani nimeanza kuweka pesa toka mwezi wa 5 mwaka huu, nahifadhi Kwa ajili ya kulipa Kodi Kwa ajili ya muhula unaofata yani Kodi yangu yaisha mwez wa 10. Jana wakati nimepumzika nikajikuta natamani kujua hadi Sasa nimefikisha sh ngap ili nione kama naweza kulipa kabisa au niongeze ili itimie nilipe Kodi yangu ya mwezi unaofata maana chumba nalipa elf 50 so Huwa nalipa Kwa miezi 6 ili niwe huru kufanya mambo mengine lakini cha ajabu nilichokuta sijui hta niseme nini yani niliishia kulia na kucheka Kwa pamoja nimekuta elf 30 tuuu wakati nilijua lazima ingekua hata laki 2 au na zaidi jamani jamni Khali ilivyo ngumu halafu unapata janga kama hili kiukweli niliishiwa nguvu Toka Jana hadi Leo sijatoka kwenda kokote nahisi kama naumwa . Jamani Kwa anayefahamu haya mambo ya CHUMA ULETE je naweza rudisha pesa yangu na kama inawezakana je nifanyeje au ndo nishikuru tuu niongee na mwenye nyumba mapema anipe mda wa kujitafuta yani sijui hata la kufanya please please naomba mnisaidie cha kufanya sielewi nifanye nini .
Pole sana mkuu wangu

Jaribu kufungua akaunti bank au hifadhi hela kwenye simu.

Siku hizi shetani ni watu kamili
 
Kwanza pole sana kwa mkasa uliokufika, kwa kweli janga siyo dogo lakini maisha yanaendelea.

Tuliza mawazo kwanza ili pressure iweze kushuka halafu ndiyo unaweza kuona nini la kufanya. Kwa kweli la kufanya ni kuanza kusevu tena, lakini hivi hakuna njia nyingine zaidi ya kibubu? Huna akaunti benki angalau kila mwisho wa wiki hata ukahamisha kwa simu?

Usiogope nenda benki ukafungue akaunti, kila ukipata fedha ziweke kwenye simu halafu mwisho wa wiki unazihamishia kwenye akaunti yako. Hapo chuma ulete hatokupata.
Asante, nashukuru Kwa ushauri wako.
 
Sijui kwanini mnapenda hivyo vibox, kuna njia nyingi na salama za kutunza hela mfano mitandao ya simu hasa Vodacom, benki au basi iweke hata kwenye begi la nguo kuliko hivyo vibox vya ajabu ajabu... amini kitu ulichobuni mwenyewe au kinachotumiwa na watu wengi kwa wakati mmoja, benki ni sehemu salama sana kwa utunzaji wa pesa
 
Habari, Jamani naomba msaada wa aina yeyote ile, nimechanganyikiwa sana sana. Niende kwenye mada;

Mimi ni dada ambaye najishughulisha na biashara ya kuuza matunda, sasa basi nimepanga mahala naishi mwenyewe, nina tabia ya kuhifadhi pesa ndani, yaani ule mfumo wa kuweka kwenye kibubu. Yaani hizi ambazo naweka kwenye kibubu ni kwa ajili ya kulipa Kodi, kwahiyo ndio maana nahifadhi ndani.

Nimeanza kuweka pesa toka mwezi wa 5 mwaka huu, nahifadhi kwa ajili ya kulipa Kodi kwa ajili ya muhula unaofata, Kodi yangu yaisha mwezi wa 10.

Jana wakati nimepumzika nikajikuta natamani kujua hadi sasa nimefikisha sh. ngap ili nione kama naweza kulipa kabisa au niongeze ili itimie nilipe Kodi yangu ya mwezi unaofata, chumba nalipa elf 50 ambayo huwa nalipa kwa miezi 6 ili niwe huru kufanya mambo mengine.

Cha ajabu nilichokuta sijui hata niseme nini, yaani niliishia kulia na kucheka kwa pamoja! Nimekuta elf 30 tu wakati nilikuwa lazima ingekuwa hata laki 2 au zaidi.

Jamani jamni hali ilivyo ngumu halafu unapata janga kama hili kiukweli niliishiwa nguvu, tangu jana hadi leo sijatoka kwenda kokote, nahisi kama naumwa.

Jamani kwa anayefahamu haya mambo ya Chuma Ulete naweza rudisha pesa yangu na kama inawezakana je nifanyeje au ndio nishikuru tuu niongee na mwenye nyumba mapema anipe muda wa kujitafuta?

Yaani sijui hata la kufanya, please please naomba mnisaidie cha kufanya sielewi nifanye nini!
Kanywe Konyagi hakuna namna.
 
1. Tayari una majibu ni chuma ulete.
2. Pili umesikika unahitaji kodi😂

Hata hivyo hiyo ni NYOTA YA JAAH usijali😂😂
 
Mbona hujasema ulikuwa unahifadhi kiasi Gani? Sasa kama ulikuwa unatumbukiza mia 200 Kila siku unashangaa nini?
 
Nilikuwa chuo bimkubwa akanipa kibubu cha chuma kile cha kiwandani kina finishing nzuri na rangi kama jar ya canned food. Nikawa naweka hela ila sasa sikuwa naweka hela ya kupokea mtaani, naweka inayotoka benki au kwenye mihamala ya simu.
Baadae nikakivunja kibubu kwa uzinzi wangu. Hata hivyo nilikuwa nishaijua UTT Amis.

Kuweka hela benki ni rahisi kwenda ATM kuitoa, kuweka mobile banking ndio kabisa ni sawa na hela unayo mkononi mara mtu kakukopa mara umetamani kununua kitu, kuweka fixed deposit mpaka uwe na pesa ya pamoja mara moja. Hivyo njia zote huwa sioni kama ziko effective kama kuweka UTT Amis ambayo ukitaka kuipata utasubiri siku kama tatu hivyo huwezi kuitoa kwa njia za ghafla bila kupanga.
 
Habari....!!! Jamani naomba msaada wa haina yeyote ile nimechanganyikiwa sana sana , niende kwenye mada mi mdada ambaye najishughulisha na biashara ya kuuza matunda Sasa basi nimepanga mahala naishi mwenyewe , nina tabia ya kuhifadhi pesa ndani yani ule mfumo wa kuweka kwenye kibubu na yani hizi ambazo naweka kwenye kibubu Kwa ajili ya kulipa Kodi so ndo mana nahifadhi ndani nimeanza kuweka pesa toka mwezi wa 5 mwaka huu, nahifadhi Kwa ajili ya kulipa Kodi Kwa ajili ya muhula unaofata yani Kodi yangu yaisha mwez wa 10. Jana wakati nimepumzika nikajikuta natamani kujua hadi Sasa nimefikisha sh ngap ili nione kama naweza kulipa kabisa au niongeze ili itimie nilipe Kodi yangu ya mwezi unaofata maana chumba nalipa elf 50 so Huwa nalipa Kwa miezi 6 ili niwe huru kufanya mambo mengine lakini cha ajabu nilichokuta sijui hta niseme nini yani niliishia kulia na kucheka Kwa pamoja nimekuta elf 30 tuuu wakati nilijua lazima ingekua hata laki 2 au na zaidi jamani jamni Khali ilivyo ngumu halafu unapata janga kama hili kiukweli niliishiwa nguvu Toka Jana hadi Leo sijatoka kwenda kokote nahisi kama naumwa . Jamani Kwa anayefahamu haya mambo ya CHUMA ULETE je naweza rudisha pesa yangu na kama inawezakana je nifanyeje au ndo nishikuru tuu niongee na mwenye nyumba mapema anipe mda wa kujitafuta yani sijui hata la kufanya please please naomba mnisaidie cha kufanya sielewi nifanye nini .
Kabla hujaitimisha kuhusu chuma ulete, ebu pia jaribu kujiridhisha katika suala zima la usalama wa nyumba yako. Nakubaliana kabisa na wachangiaji waliokupa ushauri kuhusu utunzaji wa pesa zako katika mfumo wa kibenki ama wa simu kwa njia ya kidigitali.

Uhalifu upo kila sehemu, usijekuta kuna mtu ana funguo za kuweza kuingia ndani ya nyumba yako, na anatumia fursa hiyo ya kuweza kudokoa fedha katika kibubu chako. Weka mtego na utambamba tu, watoto wa wenye nyumba wengine ni watundu sana.

Weka mtego wa panya karibu na kibubu chako kilichojaa makaratasi, utakaye muona ana jeraha katika vidole vyake vya mkononi, basi tambua ndiye! Kama tayari unamhisi, basi anza kumpa taarifa za kumchombeza na kumpenyezea habari kuwa safari hii mambo yako ni safi, kwa kuwa kibubu chako kimenona unono!

Lakini angalizo tu ni kuwa mdokozi asije kuwa ni shemeji yetu mwenyewe. Kwa kuwa kikulacho ki nguoni mwako.
 
nilivyokuwa naanza kutafuta Hela nilikuwa natunza kwenyebegi.

nilikuwa nadili nakulinda funguo tu nandani haingii mtu hata rafiki.usikute ulishawahi ingiza mtuhumo akakuibia kama ulikuwa namtindo wakuingiza wachumbazako humo
Kibubu mtu anqweza kuiba kirahis tu kama akiamua mm nishawahi weka Hela nikabanwa😀 nikachukua kiwembe nikachonga kidogo kwenye tundu nikatoa Hela na kijiti na kibubu kikabaki kma kilivo na sio rahis mtu kujua 😀😀
NB.sikuiba zilikuwa zangu
Na kuhus chumaulete nasikia ipo sana hasa ukinunuaVibubu mitaani
Njia rahis tafuta kopo mfano la chupa ya lotion iloisha yenye tundu dogo weka hii unatunza hata kwenye begi la nguo unafunga sio rahis mtu kujua ndani kuna Hela
 
Nilikuwa chuo bimkubwa akanipa kibubu cha chuma kile cha kiwandani kina finishing nzuri na rangi kama jar ya canned food. Nikawa naweka hela ila sasa sikuwa naweka hela ya kupokea mtaani, naweka inayotoka benki au kwenye mihamala ya simu.
Baadae nikakivunja kibubu kwa uzinzi wangu. Hata hivyo nilikuwa nishaijua UTT Amis.

Kuweka hela benki ni rahisi kwenda ATM kuitoa, kuweka mobile banking ndio kabisa ni sawa na hela unayo mkononi mara mtu kakukopa mara umetamani kununua kitu, kuweka fixed deposit mpaka uwe na pesa ya pamoja mara moja. Hivyo njia zote huwa sioni kama ziko effective kama kuweka UTT Amis ambayo ukitaka kuipata utasubiri siku kama tatu hivyo huwezi kuitoa kwa njia za ghafla bila kupanga.
Bank hata mm siwez hiyo inawafaa wenye asset nying Kwamba wakiwa nashida hawawazi hizo ela ila sie tia maji tia maji maji ni mtihani
 
Back
Top Bottom