Kuna baadhi ya shipping agent na bandari kavu wanawaumiza sana clearing agent

BrownRange

JF-Expert Member
Dec 25, 2020
927
1,190
Wakuu poleni na majukumu.

Napenda kuelezea dukuduku langu kuhusu biashara ya clearing and forwarding kwa hapa Tanzania.

Hii ndio biashara yenye CHANGAMOTO nyingi kuliko biashara yeyote hapa Tanzania. Kwa upande wa serikali wanajitahidi, Ila shida nimeiona kwa hizi shipping agent na bandari kavu.

Kuna baadhi ya shipping agent na bandari kavu wanawaumiza sana clearing agent, kwa kuwa na tozo ambazo hazieleweki zimetokea wapi. Kila kipengele unajaziwa tozo ambazo mtu mwenye akili timamu unajiuliza hizi tozo ni za Nini.

Ushauri

Mamlaka zinazohusika nawaomba muwaite shipping agent, bandari kavu, na clearing agent kila mtu atoe malalamiko yake, la sivyo watu watakuja kuumizana kwa tozo za ajabu ajabu

Naomba kuwasilisha
 
Kwani mwisho wa yote hizo tozo si analipa mwenye mzigo ambaye ndio end-user wa bandari?
 
Sawa, sisi end user tunateseka sana, wengine ni end user, pia ni ma agent, tunaliwa kotekote, tozo nyingi halafu kubwa kubwa
 
Wakuu poleni na majukumu.

Napenda kuelezea dukuduku langu kuhusu biashara ya clearing and forwarding kwa hapa Tanzania.

Hii ndio biashara yenye CHANGAMOTO nyingi kuliko biashara yeyote hapa Tanzania. Kwa upande wa serikali wanajitahidi, Ila shida nimeiona kwa hizi shipping agent na bandari kavu.

Kuna baadhi ya shipping agent na bandari kavu wanawaumiza sana clearing agent, kwa kuwa na tozo ambazo hazieleweki zimetokea wapi. Kila kipengele unajaziwa tozo ambazo mtu mwenye akili timamu unajiuliza hizi tozo ni za Nini.

Ushauri

Mamlaka zinazohusika nawaomba muwaite shipping agent, bandari kavu, na clearing agent kila mtu atoe malalamiko yake, la sivyo watu watakuja kuumizana kwa tozo za ajabu ajabu

Naomba kuwasilisha
Mkuu ungeainisha hizo tozo, nijuavyo ni kuwa tozo zote zinatozwa kwa mujibu wa tarrif ya Bandari na zimeizinishwa na TASAC.

Kwa huduma ya Clearing & Forwarding, karibu Ruaha Freight Ltd,

Wasiliana nasi;

Ruaha Freight Ltd,
Umati building 3rd Floor, Room No 18 Samora Avenue / zanaki street Dar es Salaam. P.O.Box 62442
Dar es Salaam
.
Email: info@ruahafreight.com
Website: www.ruahafreight.com
Tel: +255222128447

Mob: +255718 866 651 (call or whatsapp).
 
Back
Top Bottom