msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi

    Naamini mko njema wakuu Katika maisha yangu yote sikuwahi kuwaza kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi iwe wa umma au binafsi Niliamini kwamba mwanamke ili awe na mapenzi ya kweli lazima awe muda mwingi nyumbani akitekeleza majukumu ya nyumbani na watoto Kingine niliamini mwanamke akianza...
  2. JamiiForums Tanzania Nimejichanganya: Naombeni msaada

    Wakuu poleni natumai mpo macho na wale wagonjwa Mungu awatie nguvu. Ipo hivi mimi ni mfanyakazi kwenye ofisi moja huku Tunduma Masasi karibu na Lilongwe road. Sasa, kuna single mother nimeanza naye mahusiano kama unavojua hawa viumbe hawatunzi siri. Sasa juzi tulikuwa tunapiga stori na wana...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Gesi ya kupikia imepanda bei au napigwa?

    Wakuu. Mtungi mdogo nilikua nanunua 24,000/= Tsh sahivi napiga simu niletewe naambiwa 28,000/= Jamaa anasema imepanda. Oyaaah! Kama kweli nitapikia kuni aisee.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada lodge nzuri Tanga mjini jirani na stend

    Habar wakuu Niko njiani kuelekea Tanga,naomba wazoefu wa tangu lodge nzuri karibu na stend au mjini kiwango ni 30000-45000
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Familia imedhulumiwa mafao ya marehemu baba yetu.

    Wasalam wanaJF Bila shaka mu wazima wa afya kama mimi hapa. Leo bwana nimekuja na jambo linalotesa moyo wangu kwa muda mrefu sana. Familia yetu imedhulumiwa mafao ya marehemu baba yetu. Mzee wangu alifariki mwaka wa 2015 akiwa amebakiza miaka takribani miwili kustaafu. Mimi enzi hizo nilikuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Labda anabelle anahitaji msaada kama wa makebo, msimtenge

    Hawa vijana wamejawa na matusi, sasa imepelekea anabelle kubadirisha jina la kuomba kufanyiwa mapenzi. Hii yote ni kutokana na mentallity ya matusi waliyonayo. Mimi naona ni ishu ya afya ya akili. Muwasaidieni hawa jamaa
  7. JamiiForums Tanzania Watumiaji wa AliExpress, Msaada wenu tafdhali

    Mimi nimetumia AliExpress muda kidogo umepita, mwaka 2025 nilitumia mara moja tu, tena pale mwanzoni, juzi hapa naingia nahitaji kuagiza kitu nakuta mauza uza. Shipping method ni moja tu, "Free shipping" na hakuna option ya kuchagua na hujui nani ataleta mzigo, pia muda ni mrefu sana, mfano na...
  8. JamiiForums Tanzania Msàada mtandao wa X (twiter )unagoma nikidownglod kwenye simu

    Tangu nimeflash simu huu mtando ndio pekee umegoma niki downglod pamoja na kutumia vpn lakini wapi Yani kuna mda kama unataka kukubali naingiza user name na pasward nalog in inazunguka kiasi alafu inakata yenyewe cm inarudi kawaida kama nime exit vile. Nifanyenye?
  9. JamiiForums Tanzania Natakiwa kufika Dar kesho jioni, nipo Simiyu Bariadi mda huu.Kama Kuna dereva yeyote anapita njia hii naombeni msaada wakuu nina 40k tu mfukoni

    Wakuu natakiwa siku ya kesho niwe Dar ila nauli ya kufika Dar Sina nina 40k tu, naombeni kama Kuna dereva anapita hii njia ya Bariadi - dar anipe rift nifike dar wakuu. Naombeni sana madereva 🙏 Update;Nilifanikiwa na maisha yanaenda fresh tu
  10. JamiiForums Tanzania Mfereji wa Hormuz: Marekani ameomba msaada wa kijeshi kutoka Korea Kusini

    The Financial Times linasema: Marekani imeisisitiza serikali ya Korea Kusini kujiunga naye kijeshi katika kusaidia kufungua mfereji wa Hormuz. Hili limekuja baada ya Raisi Donald Trump kuwataka Korea Kusini kuingia kwenye oparesheni ya kijeshi iitwayo PROJECT FREEDOM kwasababu Manowari zake...
  11. JamiiForums Tanzania Kama member anahitaji msaada wa msongo, aombe tu atasaidia na wanajamvi

    Huyu mwamba kila kinachotoka mdomoni mwake ni matusio from juma tatu hadi jumapili . Sio saa kumi na mmoja alfajiiri hadi usiiku wa manane. Haiwezekani mwanadamu wa kawaida awe wa matusi asilimia 90 ya muda wake. Kwa mwenendo huu ni ishu ya afya ya akili, msaidieni kijana huyu kama uongo ata...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada watoto kung'ata meno wakiwa wamelala

    Habari wakuu Naomba msaada wenu watoto wangu Kila ukifika usiku wakiwa wamelala hung'ata meno hili itakua ni tatizo Gani
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kutoka kwa wasajili LINE

    Wadau salam. Nahitaji kununua line ya kuuzia bando (HALOTEL) Nauliza je process zipi nifuate ili nikibadli umiliki (NIDA) line usipoteze sifa ya kuuza bando?
  14. JamiiForums Tanzania 🎓 Wanafunzi wa Postgraduate — Research yako inakusumbua? Msaada huu hapa...

    Habari wadau, Natumaini mnaendelea vizuri. Niko Morogoro, "mkoa wa vyakula vyuo na seminar", na tunaendelea vizuri. Kwa waislamu ni siku ya ibada, kwa wasabato ya maandalizi na wengine wanapanga kesha (Furahiday). Kazi iendelee... Kipindi hiki ni cha research na presentations. Natumaini...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Nashindwa kuchangamana na watu

    Natumai mmekuwa na wakati mzuri sana wa mapumziko ya leo. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 ni mfanyakazi kwenye halmashauri X. Nimekuwa na changamoto zifuatazo 1. Nakosa amani watu wanapoweka attention kwangu 2. Nashindwa kuchangia mada ama hoja mezani 3. Nashindwa kukaa na watu kwa muda...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutoka kicheko cha Mtandaoni hadi Msaada Halisi: Jinsi “Kwa Mbae” ilivyowaunganisha Wakenya

    Video ya TikTok ya mtoto mwenye umri wa miaka mitano, Musa Kihara, anayejulikana kama mtoto wa “Kwa Mbae,” imegeuka kuwa chanzo cha msaada mkubwa baada ya Wakenya kujitokeza kwa wingi katika uwanja wa Kajiunduthi, Kaunti ya Tharaka Nithi, kusaidia familia yake. Video hiyo iliyosambaa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Sweden kusaini Mkataba wa Ufadhili wa Dola Bilioni 10 kwa Tanzania kuwezesha Mradi wa SGR

    Taasisi za mikopo ya mauzo nje za Sweden (Sweden’s export-credit institutions) zinatarajiwa kukamilisha makubaliano ya ufadhili kwa sehemu za tatu na nne (Lots 3 na 4) za reli ya kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) Aprili 28 jijini Dodoma. Hatua hii inaelezwa na pande zote kama hatua muhimu...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Je, ikitokea tukaachana na mwanamke mali tutagawana hali tuliwa hatukufunga ndoa?

    Mimi ni nimeishi na mke wangu kwa miaka 8 I mean hatukufunga ndoa na tumefanikiwa *kujenga nyumba *kuwa na biashara ndogo ya uwakala *Kupata watoto watatu Ishu iko hivi mwaka mmoja uliopita nilianza kuhisi mahusiano kupoteza mwelekeo, hadi sasa mwanamke anadai tuachane akafanye maisha yake...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Mume wangu hajitumi. Anaweza kulala siku nzima nyumbani na akaona ni sawa tu

    Habari za leo wana jamvi, tafadhali msaidie rafiki hapa, kama bandiko lake linavyoeleza... Nimeolewa miaka mitatu iliopita na mume wangu ni dereva wa bolt. Tatizo kubwa alilo nalo ni hajitumi, yani anaweza kulala siku nzima nyumbani na akaona ni sawa tu. Anapenda sana kwenda kwao, kila siku...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada wa freezer

    Habari wapendwa? Je una freezer ambayo huitumii? Au unaweza kunisaidia nipate freezer? Ninaomba unisaidie. Hata kama ni kwa kununua uwezo wangu utakuwa kulipa kwa awamu maana kipindi hiki nimekuwa na Mambo flani yameingilia. Watu wa Mungu Mimi ni mwanamke mjasiriamali wa vinywaji ( juices)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…