Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,333
- 6,889
Wakuu poleni natumai mpo macho na wale wagonjwa Mungu awatie nguvu. Ipo hivi mimi ni mfanyakazi kwenye ofisi moja huku Tunduma Masasi karibu na Lilongwe road. Sasa, kuna single mother nimeanza naye mahusiano kama unavojua hawa viumbe hawatunzi siri.
Sasa juzi tulikuwa tunapiga stori na wana hapa kazini wakawa wanaponda mara single maza haolewi… kiukweli niliumia sana, cha ajabu katika stori zangu na huyu single mother si nikamtania watu wanasema umechuja na umejichokea!
Kesho yake kaja kuwauliza. Kwahiyo mimi naonekana mmbeya.
Wadau, nawezaje kurudisha urafiki na hawa masela niliowachoma? Maana maneno yote ameshayarudisha kwao