Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,846
- 3,373
Mimi nimetumia AliExpress muda kidogo umepita, mwaka 2025 nilitumia mara moja tu, tena pale mwanzoni, juzi hapa naingia nahitaji kuagiza kitu nakuta mauza uza.
Shipping method ni moja tu, "Free shipping" na hakuna option ya kuchagua na hujui nani ataleta mzigo, pia muda ni mrefu sana, mfano na angalia leo May 10, mzigo unasoma watadeliver July 15, Mbona kama ni mrefu sana, na kwa uzoefu wangu ilikua ikisoma Siku 21 maximum mwezi, leo ni miezi miwili na zaidi, aliye agizisha hivi karibuni anipe uzoefu tafadhali.