FORBIDDEN HISTORY
JF-Expert Member
- Jul 28, 2024
- 202
- 521
Huyu mwamba kila kinachotoka mdomoni mwake ni matusio from juma tatu hadi jumapili .
Sio saa kumi na mmoja alfajiiri hadi usiiku wa manane.
Haiwezekani mwanadamu wa kawaida awe wa matusi asilimia 90 ya muda wake.
Kwa mwenendo huu ni ishu ya afya ya akili, msaidieni kijana huyu kama uongo ata comment kwa matusi hapo chini😁