Hujapigwa mkuu ndio bei zilivyo kwa sasa.Wakuu.
Mtungi mdogo nilikua nanunua 24,000/= Tsh sahivi napiga simu niletewe naambiwa 28,000/=
Jamaa anasema imepanda. Oyaaah! Kama kweli nitapikia kuni aisee.
Umeuliza bei mwezi huu?Tunasemaga Dar maisha mepesi kumbe michezo tu. Mtungi mdogo Arusha ni 22,000, mkubwa 45,000 sijajua kwa mwezi huu May
Tutarudi kupikia umeme.. zile induction cooker wanadai zinatumia umeme kidogo
Na mkaa ni bei gani? Kwa guniaHujapigwa mkuu ndio bei zilivyo kwa sasa.
Imeongezeka 4000/=
Hapo line ya 3 mbona nimesema kabisa kwamba sijajua kwa mwezi huu May 😂Umeuliza bei mwezi huu?
Kama wameongeza 4000, basi huku itakuwa 26,000Hujapigwa mkuu ndio bei zilivyo kwa sasa.
Imeongezeka 4000/=
Bei ya mkaa inategemea na sehemu uliyopo mkuu.Na mkaa ni bei gani? Kwa gunia
Ukipiga hesabu bora mkaa , labda gesi uchukue tu kwa vile vyakula vya kupika haraka na kuwahi kazini🤔Bei ya mkaa inategemea na sehemu uliyopo mkuu.
Kwa Mimi nilipo 45000.
Shetani hana rafikiPole sana mkuu, nnje ya mada ,hivi wale waliopewa majiko ya gesi kipindi cha uchaguzi ya kiisha gesi wanajaziwa huko lumumba?
Mna nafuu ya 2000.😂Kama wameongeza 4000, basi huku itakuwa 26,000
Huko kwa kuhamia sasa😂🙌🏾Edo kissy 😀 njoeni mjaze kwetu View attachment 3588099
Mkuu,yani uhame mji kisa elfu mbili?Huko kwa kuhamia sasa😂🙌🏾
Bei wanajipangia au Kuna utaratibu?