Msaada wa freezer

Msaada wa freezer

cacutee

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2024
Posts
1,685
Reaction score
4,282
Habari wapendwa?

Je una freezer ambayo huitumii? Au unaweza kunisaidia nipate freezer? Ninaomba unisaidie. Hata kama ni kwa kununua uwezo wangu utakuwa kulipa kwa awamu maana kipindi hiki nimekuwa na Mambo flani yameingilia.

Watu wa Mungu Mimi ni mwanamke mjasiriamali wa vinywaji ( juices). Ili nifanikishe kuwafikia wateja wangu ambao tayari ninao bila vikwazo Nina uhitaji wa freezer maana kwa sasa Nina fridge ambayo sehemu ya kugandisha sio kubwa.

Hii changamoto inanikwamisha kupata mzigo wenye ubaridi wa kutosha kwa wakati.

Ninaomba mwenye nayo au ushauri wa namna rahisi ya kuipata anishauri tu.
Asanteni
 
Uza fridge ulilonali.kisha unganisha kununua freezer.inayobaki unalipa kidogo kidogo
Hata used zipo nyingi watu wanauza
 
ushaulizia bei ya size unalotaka
ushaenda dukani kuulizia?
Samahani dear, nilikuwa busy na biashara. Sikuwa online.
Tayari nimeshafanya research ninajua size ninayotaka. Ujazo ni Lita 300 na bei inaanzia laki 7 kuendelea kulingana na brand. Pamoja na hili simfungi yeyote atakayehitaji kunisaidia hata kama akiwa na freezer ya ujazo wa chini ya hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom