msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali iachane na kukumbatia dini kama silaha ya msaada itaiponza

    Serikali ya Tanzania kukumbatia dini hasa viongozi wa kikristo na kiislam kutaiponza kwani hawa ndiyo chachu ya anguko la HAKI kwa kufanya kinyume na wanayoyahubiri wamekuwa wezi,vibaraaka,mafisadi,wango,matajiri,nk kwa maslahi yao na viongozi mafisadi. Hawana hekima na busara za kutumika...
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania UDSM main campus mliwekea taa za Barabarani kwa Msaada ila sasa zote zimekufa

    1. Wazee wa jalalani walipewa Msaada na LIONS CLUB kufungiwa taa za solar kwenye barabara na mitaa main campus (bure) ukipita usiku hizo taa zimekufa karibu zote kumebaki Giza totoro. Mule ndani kwa sasa kumekua hatari sana. Hivi Uongozi hapo wanaweza nini zaidi ya kununua Magari ya kifahari...
  3. Rico redi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa U.T.I sugu

    Shapata tiba shukrani wakuu
  4. MUCOS

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu uigizaji

    Wakuu habari zenu Nawiwa kufanya sanaa ya kuigiza hapa nyumbani ( Bongo Movie). Hivyo naomba msaada kidogo kuhusu haya: a. Nataka kujua kampuni nzuri ninayoweza kuitumia kushoot movie yangu kwa bajeti ndogo isiyozidi M.4 (Kwa anayejua tafadhali anijuze) b. Natamani kutumia stori au hadithi...
  5. ANKO JEI

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa sifa hizi naweza kuwa Assistant Lecturer?

    Habari wakuu, naombeni msaada wa haraka kwa ufafanuzi au ushauri. Nimekua na passion ya kuja kufundisha vyuo vikuu kwa muda sasa, lakini kuna jambo linanitatiza hapa. Undergraduate nilisoma Human Resources Management (GPA 3.2) Naomba izingatie hii GPA. Kozi hii haikuwa passion yangu, nilisoma...
  6. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Tanzania pamoja na nchi nyingine 8 imepokea msaada wa $10.8m kutoka TDF and the World Bank Group

    Mfuko wa Biashara na Maendeleo (TDF) na Group ya Benki ya Dunia wameingia makubaliano matano ya msaada yenye thamani ya dola milioni 10.8 kwa ajili ya programu ya ASCENT. Programu hii itatoa mifumo ya kupikia safi na nishati ya jua kwa zaidi ya 350,000 kwa watu milioni 1.8 katika nchi nane za...
  7. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu, nataka kufungua Lounge Kisiwa cha Mafia

    Habari zenu wakuu, nimezamilia kufungua lounge mafia, muziki mzito, vinywaji vyote, chakula, na michezo mbalimbali, kwa njee bonge moja la car wash, hapo vipi wakuu au tutachezea za uso? King La Jr
  8. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msaada muhimu zaidi kuliko yote unaohitajiwa na waTanzania

    Wakati tunawashukuru wote waliosimama na kupaza sauti zao juu kuhusu mauaji ya waTanzania waliouliwa kikatili sana wakitafuta HAKI mbalimbali za msingi mwezi Oktoba 2025; ni wakati sasa. kuwakumbusha kuwa kulaani mauaji hayo pekee haitoshi. Tuwaombe, wakati juhudi zetu za kutafuta haki hizo...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusitegemee msaada wowote wa JWTZ siku ya D9

    MO29 tulikuwa na matumaini makubwa kuwa jeshi lipo upande wetu wananchi na tuliaminishwa hivyo, badala yake likawa linashuhudia wananchi wakipigwa risasi na polisi MBELE YA MACHO YAO bila msaada wowote. Inasikitisha. Safari hii D9, Watanganyika wote wenye mapenzi ya dhati na nchi yetu tusiweke...
  10. bongo-live

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu Nina maumivu makalii baada ya kuzama chumvini... Msaada jmn!

    Aisee mwenzenu mwana jf kwanza poleni kwa kadhia za maandamano ata mm vijana wa genz walinkimbiza mno kitaa tarehe 30 baada kutokea mtaan na shati langu la kijani, mazeee ilkuwa shidaa... Baadae kupooza maumivu yangu nlimpata binti mmoja kifaa kizuri kweli kweli cha matumizi ya sanaa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Upi ni muda sahihi kumeza dawa za minyoo?

    Huwa nachanganyikiwa kwa kweli. Maana utakuta unaambiwa unatakiwa kutafuna asubuhi kabla ya kula. Huku wengine wakisema hata kama umekula ni sahihi. Je , upi ni wakati sahihi?
  12. size 96

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani kwa mwenye uzoefu na madini ya vito

    Kwa mwenye ujuzi hii ni mali au ni mawe tu kama kuna anaejua anijuze tafadhari ni Vito vya aina gani hivi na soko lake ni wapi kwa Tanzania
  13. Teby feO

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata host kwa wadau wanaoishi ughaibuni

    Habari wakuu. Ni muda sasa nimekuwa nikihangaika kutafuta mtu wa kunishika mkono niweze kusafir nje ya nchi kutafuta maisha lakini nimekumbana na changamoto ya kutokupata mtu wa kunishika mkono hivyo kwa mtu yeyote anayeishi ughaibuni hasa schengen country naomba msaada wa kunishika mkono hata...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuikomboa Tanzania inahitaji msaada wa nchi nyingine kiuvamizi kama Uganda, la sivyo tutaishi maisha ya kumwaga damu

    Kipindi walichopitia Uganda utawala Idd amin ilikuwa ni ngumu kumtoa mtu ambaye mwenye matendo kama utawala wa ccm ambao ukiendelea tokea kila awamu za wanaoshika madaraka. Kama watawala wanabebwa na vyombo vya ulinzi wabaki madarakani na kumshikilia kwa vyeo vyao ni ngumu kutumia maneno...
  15. Msolo

    JamiiForums Tanzania Mungu Muumbaji ndio msaada wa hakika tupopatwa na shida za maisha

    Fikiria Mungu kama mtengenezaji (manufacturer) wa kifaa cha kipekee sana, kifaa ambacho hakina duplicate, hakina serial number nyingine, na hakina manual inayoweza kuelezea kila undani. Hicho kifaa ni mwanadamu. Kila mtengenezaji wa kifaa anajua muundo wa ndani, waya gani unaenda wapi, program...
  16. Mlume Ndago

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kubadilisha cheti changu kuzaliwa pamoja na baadhi ya herufi za majina yangu na mama yangu

    Habari wakuu, Poleni na msiba wa kitaifa tunaoendelea kuuomboleza. Moja kwa moja nijikite kwenye mada husika kwa kuwaomba msaada wa mawazo na ushauri kwa ujumla. Mimi nina cheti cha kuzaliwa lakini cheti changu ni cha zamani sana kimetoka tangu mwaka 1988. Katika cheti changu jina langu...
  17. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Redcross kwa siri wanaandikisha majina ya familia zilizopoteza ndugu zao. Huku walio ughaibuni kutafuta msaada.

    Najuzwa hapa kuna nchi mbili jirani watafaidika na kinachoendelea hapa nchini. Nchi moja iko magharibi, nyingine ipo kaskazini. Mtoto wa profesa tayari juzi usiku alitembelewa na watu kutoka nchi za ulaya kwaajili ya mpango usiojulikana. Hayo yakiendelea huko ndani ya nchi Kundi la Redcross...
  18. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wajuzi: Je hizi brake pads bado zipo vizuri au zimekwisha?

    Wadau wa spare za magari, naombeni mnijuze kuhusu hizo brake pads kama bado zinaweza kutumika au zimeisha kabisa. Ni Toyota genuine parts
  19. I

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji excel ya fuso

    msaada nahitaji hii axle shaft ya hii fuso. kama unayo tuwasiliane kupitia 0623593536
  20. 888I

    JamiiForums Tanzania 🧐Magari ya Rais Samia: Msaada JamiiForums! Hizi Range Rover za Misafara Zina Sifa Gani Hasa?

    Ndugu Zangu Wanajukwaa! Mimi si mtaalamu wa magari kabisa, nimeona Range Rover hizi nyeusi, ndefu katika misafara ya Rais Samia Suluhu Hassan hasa baada ya kuapishwa kwake. Nimejaribu "ku-Google" (gugo huko!) na nimejifunza mambo machache. Ninaomba mnisaidie kufafanua kwa wale wenye ufahamu...
Back
Top Bottom