Msaada lodge nzuri Tanga mjini jirani na stend

Msaada lodge nzuri Tanga mjini jirani na stend

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,791
Reaction score
4,485
Habar wakuu Niko njiani kuelekea Tanga,naomba wazoefu wa tangu lodge nzuri karibu na stend au mjini kiwango ni 30000-45000
 
Habar wakuu Niko njiani kuelekea Tanga,naomba wazoefu wa tangu lodge nzuri karibu na stend au mjini kiwango ni 30000-45000
Njoo ufikie kwangu barabara ya 3. Gharama zote kwangu kulala, kula na kunywa (Tuwasiliane 0716676060). Nirushie picha kwa whatsapp ukiwa umebinuka nikuone vizuri. Nimesaidia vijana wengi kama wewe
 
Mkuu unatafuta lodge karibu na stendi kuu ya Mabasi Kange au stendi ya zamani iliyopo kati kati ya mji? Kama ni Kange sina uzoefu ila kama ni kati kati ya mji nenda pale barabara 14 Kuna lodge kama zote na ni kama 200meters kutoka hapo stendi.
 
Stend gani mkuu? Last time nililala Durban Lodge. Sio pabaya. Wana rooms za kuanzia Elfu 20 na kuendelea.

Pia jirani yake kuna Bwanjai. Nishawahi lala wana rooms za kuanzia elfu 30. Tatizo izo lodge zipo uswahilini kabisa yaani ukikaa kwenye barcon unaona nyumba za watu tu.

Kama unajiweza kakae Dolphin, wana rooms za kuanzia 45 kama sijakosea.

I recommend Bwanjai.
IMG_8562.jpeg

Umbali hadi stand ya city centre ni km 2 tu.
IMG_8563.jpeg

Sema Tanga lodge zao zote zina harufu ya maji taka (nya). Ni kwasababu wao wameunganishwa na mfumo wa maji taka, kwahiyo ujinga wa ule mfumo, unarudisha harufu ndani. Tofauti na hizi za mashimo.
 
Tanga si kuna stendi mbili pale, ya mabasi na daladala au?...hukosi yaani ukizunguka hata mwenyewe Tu lodges kibao zipo au uliza wenyeji hapo karibu. Halafu lodge zao bei chee kabisa.
 
Tanga si kuna stendi mbili pale, ya mabasi na daladala au?...hukosi yaani ukizunguka hata mwenyewe Tu lodges kibao zipo au uliza wenyeji hapo karibu. Halafu lodge zao bei chee kabisa.
Siunajua mgeni mara yakwanza kufika Tanga,kwaiyo tunauliza tupate sehemu nzuri yakulala usingizi nzuri kuliko changamka nauhakika wa chakula kizur
 
Back
Top Bottom