msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Naomba mada nzuri ya Utafiti wa Kisayansi itakayotikisa Duniani

    Hope ni wazima. Wakuu nataka nifanye research itakayo tikisa dunia na ulimwengu wa sayansi kwa ujumla. Wakuu naomba mawazo yenu je nifanye juu ya topic ipi??
  2. JamiiForums Tanzania Msaada jamani hizi gari 3 Mazda CX5, Mitsubish Outlander SportsstyleEditon, Toyota Vanguard

    Naombeni msaada mwenye uzoefu au ufahamu wa hayo magari matatu lipi ni bora katika vipengele vya 1. Utumiaji mafuta 2. uimara 3. Speed 4. Kupatikana vipuri 5. Ukisasa zaidi 6. Mwonekano mzuri. 7. Bei zake sokoni Zote zikiwa za mwaka unaofanana au kutofautiana kidogo tu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Huyu binti simuelewi. Naombeni ushauri

    Shikamooni wakubwa, Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 22 nipo chuo mwaka wa pili. Kwenye darasa ninalosoma yupo msichana ambaye mmoja nampenda sana na ni rafiki yangu sana ila shida inapokuja kila napojaribu kumfungukia kuwa nampenda amekuwa mtu ambaye hanipi jibu straight kuwa amekubali au...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gari langu lina tatizo la kushtuka stuka nikiwa barabarani

    Habari wana JF. Naombeni ushauri kwa mafundi au yeyote anayeweza kujua tatizo la gari langu. Nina gari aina ya Hirrier vijana wanaita (matako ya nyani). Gari hili nimenunua mwishoni mwa mwaka 2018. Takribani miezi mitatu, gari lilianza tatizo la kushtuka stuka (inakita) ukiwa mwenye mwendo. ...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanasayansi

    Wanasayansi wanasema huko anga za juu kuna galaxy trillion mbili na kila galaxy ina nyota 200 billion Cha ajabu wanasema nyota moja ni kubwa Kuliko dunia yetu. Je ukubwa wa anga ukoje? Ukubwa wa anga ukoje Hadi ukabeba vitu vyote hivyo Kama anga imebeba vitu vyote hivyo basi salute kwa Mungu.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

    Nimepigwa mno na single mothers ambao niliamini baada ya 'kupigika' tungeyajenga vizuri sana kwa maana wameshayajua maisha, lakini wapi! Wa kwanza kanipiga, visa havieleweki tu kila siku. Mwishowe tukaamua yaishe. Wa pili kanipiga, mtoto akikohoa kidogo tu zinaanza safari za 'kwenda kumtibu'...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Kila inapokaribia mitihani napata stress kali nashindwa hata kulala naishia kupostpone chuo. Naomba msaada

    Habari wana JF, Mimi nina tatizo kila nikiamua nisome chuo basi ikikarbia mitihani napatwa na hali ya anxiety au kichwa kujam. Hii hali imepelekea mimi kupostpone au kuacha chuo mara tatu. Sasa nnaona kabisa Nahtaji elimu ili inikomboe na umaskini. Nifanye nini kupambana na hii hali...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada kujaza fomu ya passport online

    Habari zenu wakuu ? Niko hapa najaza fomu ya kuomba Passport online. Nimefika hii hatua natakiwa nijaze dhumuni la safari na maelekezo yanasema ni lazima kujaza. Sina safari yoyote bali nahitaji tu kuwa na passport. Kwa wenye uzoefu natokaje hii hatua ? Nashukuruni sana kwa msaada wenu.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Baa ya Kitambaa Cheupe Tabata inaungua moto

    Nipo kwenye gari nimeshindwa kupiga picha ila hali ndio ilivyo kwasasa. Habari zaidi nini chanzo cha moto ni huko baadae, wahusika wakija kuhojiwa.
  10. JamiiForums Tanzania Msaada changamoto ya kujiunga x Twitter

    Wasalaam pana Page naitafuta kwenye app ya x Twitter napata changamoto kujiunga au mwenye Twitter anisaidie jinsi ya kujiunga maana napata mapicha picha nikitaka kujiunga mara sijui your not robot nk. Au mwenye Twitter nimpe page anisaidie kuisearch.
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata cheti cha kuzaliwa cha mama

    Habari, Kijana wenu nahitaji msaada wa haraka wa kupata cheti cha kuzaliwa cha mama, mama ukazaliwa 1962 ocean road. Je, nawezaje kukipata kupitia Rita kwa njia ya haraka? Mwenye msaada anisaidie.
  12. H

    JamiiForums Tanzania IT ilivyokuwa msaada mkubwa kwangu - Read and get motivated

    Habari napenda leo ku_share story ya namna ambavyo IT imekuwa backup kubwa sana kwangu kila ninapokwama. Mimi sio IT kwa kuingia darasani lakini nimejifundisha mwenyewe in a hard way. Mwaka 2015 nikiwa nimemaliza Diploma ya kilimo napambania ajira bila mafanikio nilipost hapa JF kuwa nafanya...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu makato ya Serikali

    Wakuu kuna bwana mdogo kapata kibarua sehemu lakini bahati mbaya au nzuri msahara wake wameuweka katika mwaka, kwahio kashindwa kujua makato yake yatakua vipi. Kaja kwangu nimsaidie, lakini pia nimeshindwa kung'amua kama hizo allowance nazo zitakatwa Kodi au la. Annually Gross salary...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Sheria gani inatumika kutenga maeneo kulingana na matumizi mbalimbali?

    Idara ya ardhi inapotenga eneo kuwa hii ni la viwanda, makazi, soko, shule kanisa, msikiti, Open Space, Soko etc, inatumia sheria gani kuingia kwenye eneo la mtu na kuligawa kwa matumizi mbali mbali as such? Kote bila fidia. 2. Eneo la mtu unalipitisha barabara bila fidia. What is the law...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada wana JF wenzangu, nina msongo wa mawazo

    Napitia changamoto za msongo wa mawazo, nafikiria kujiua tu. Napitia mfululizo wa matukio yakunikatisha tamaa kabisa. Nmejariwa kusoma but sijawahi kupata kazi. Kinacho niumiza zaidi nlikua nmeachiwa gari 2 za home coaster kufanya biashara. Nlikata TLB ya special hire nmefanya kama miezi...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa kimapenzi tafadhali

    Swali tu . Uwe mwanaume au mwanamke niambieni eti mpenzi wako akikuomba picha zako za kuonesha sehemu zako mf. Za mapaja,maziwa mwili kwa ujumla utatuma? Au utakata just asking.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Qatar Charity yatoa msaada wa tani 90 kwa wananchi wa Hanan’g

    Ubalozi wa Qatar Tanzania kwa kushirikiana na Tasisi ya Qatar Charity, kwa niaba ya Serikali ya Qatar, imewasilisha misaada muhimu ya kibinadamu kwa waathirika wa Maporomoko ya Udongo yaliyotokea Hanang mkoani Manyara. Shehena ya misaada hiyo iliyotolewa leo tarehe 18 Februari 2024 kwa kutumia...
  18. JamiiForums Tanzania Rafiki mjane Bibi John aliyekosa msaada, nasikitika sikumzika

    Salam ziwafikie JF members. Ni mwanamke aliyebarikiwa kupata watoto 5, wakike 2 na wakiume 3. Tuliishi katika Kijiji kimoja huko katika ardhi ya Mtemi Milambo mkoa unaosifika kwa zao la tumbaku. Rafiki yangu alikua ni mtu wa karibu sana na mama yangu mzazi. Aliachwa na mumewe Toka miaka ya 90...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tunaenda kuomba msaada kwa nchi ambazo Mawaziri wanatumia treni

    Tanzania ni nchi ambayo msemaji wa chama anatembea na msafara! Magari ya milioni 400 kwa gari moja. Tunaenda kuomba msaada na kodi za wazungu kwa nchi ambazo mawaziri hawana misafara na wanapanda treni na watu wa kawaida. Tanzania kuna mpaka walindaji wa kufungua milango tu🤔 Yote haya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natoka sana jasho na kidole gumba kinawaka moto

    Wana Jamii Forum nawasalimu sana wote, wakubwa kwa wadogo. Nina shida ya Afya!. Naombeni msaada; Juzi Jumapili iliyopita, mafua yalinianza na kwa kuwa huwa inanishikaga nikadhani kawaida tu lakini cha kushangaza ni kwamba nilianza kukohoa kikohozi kikali japo sio kavu na nilienda Hospital...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…